Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Pole Sana ....binadamu unabidi umtazame Kama mti ulivyo

-Matunda
-oxygen
-Kivuli

Ukiona binadamu amekosa mambo yote hayo matatu basi kuumia kujiumiza kuumizana hakukwepeki.
 
Miaka mitatu sasa mwanetu.
Upo humu utoe feedback? ile 120 ipo vilevile?
Tupe mrejesho mkuu, vipi vicheko bado vimetawala hapo nyumbani au unashinda bar kukimbia kelele za nyumbani?😄😄
Tuko vizuri wakuu , heshima imetawala kabisa binti hana makuu mimi pia najitahidi kuplay part yangu ,tumejaaliwa mtoto mmoja tayari.
Labda mambo yaje yaharibike mbeleni huko 😂😂
Ningewatajia kabila ila mtasema nina ubaguzi (natania).
 
Tuko vizuri wakuu , heshima imetawala kabisa binti hana makuu mimi pia najitahidi kuplay part yangu ,tumejaaliwa mtoto mmoja tayari.
Labda mambo yaje yaharibike mbeleni huko [emoji23][emoji23]
Ningewatajia kabila ila mtasema nina ubaguzi (natania).
[emoji23][emoji23]mkuu umetudisiapointi sana sisi tulitaka tusikie kuwa nyumban kwako saivi hakukaliki kumewaka moto, lkn wai ayu pruving asi wrong mkuu
 
[emoji23][emoji23]mkuu umetudisiapointi sana sisi tulitaka tusikie kuwa nyumban kwako saivi hakukaliki kumewaka moto, lkn wai ayu pruving asi wrong mkuu
Wanasema kati ya watu 10 walio kwenye 3 ndo wanafurahia ndoa zao ! Huenda mimi pia ni miongoni mwa hao watatu kaka 😂😂
Kila mtu na bahati yake bhana !
 
[emoji16][emoji16]

Kwamba ww unaweza kumdhibiti kila ke? Hilo halipo. Huwezi kubadili tabia za mtu mzima na hizo ndio zinafanya ndoa nyingi kunvunjika.

Suruhisho, kama mwanaume ni kufanya assignment yako vizuri kabla hamjaoana, kuhakikisha mchumba wako ni managable + utamhandle. Ukishakosea hii hatua basi uko mbolo n visa baada ya visa
 
Wanawake wakuoa wapo nitafutie bia nne nikufundishe ndugu huyo alikuwa mwewe
 
Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.
Yaani kama ulikosea na ukazaa naya basi hili ni kosa la Pili.

Namna ya kuacha watoto bila Baba yaani unaona bora uvumilie tu.

Lakini huwa tunawambia mnatuona sisi waahamba tumepitwa na wakati.

Ulitaka Corporate ladywenye pesa zake.

Vipi Pesa zake si ulizifaidi lakini?
 
Tuko vizuri wakuu , heshima imetawala kabisa binti hana makuu mimi pia najitahidi kuplay part yangu ,tumejaaliwa mtoto mmoja tayari.
Labda mambo yaje yaharibike mbeleni huko 😂😂
Ningewatajia kabila ila mtasema nina ubaguzi (natania).
Kaka, hana mdogo wake uniunganishe naye?

Au hata kama ana ndugu yake yeyote wa karibu...

I'm serious
 
Yeye ndo alikosea kuolewa na wewe.

Corporate women are not for the weak men.

Only Alphas can and believe me, a man can change a woman only if he is man enough.
A woman is a being full of confusions, she don't know even herself, today she can declare that " she loves you than her parents and there is no way can leave you, may be by death" & and tomorrow there come the declaration "I hate you than Satan" hahahaha...being masculinary enough isn't enough to control a woman if her true intentions to rebel have stood...so, take heed..take care of your health, love yourself, stand on what truth is, take hobbies, get busy, build yourself financially...care less about women, stop arguing with women, be a man enough to yourself.
 
We ni mwanamke au mwanaume?
 
Watz wakiwemo wewe babako na mamako ee safi sasa toa hoja acha personal attacks af sku zote ulikuwa wapi uje kujibu leo yasiyokuhusu kukoza kazi nako ni kazi pole. Linda marinda
Mimi ni genius haswa ....mtu mwenye akili nyingi duniani....sasa jamaa kasema alimwezeshe huyo demu maana yake kabla ya kuoana ndiyo alimkuta duni ila alimwezesha na kumwinua hadi walipo fikia kuoana tayari demu alikuwa na uwezo na connection nyingi kutokana na kuwezeshwa na huyo jamaa ....sasa kakosea wapi au wewe kichwa chako ndiyo kina akili za kuchambia.
 
SAwa njoo bas nikupakate nikuchambishe kiongozi tumia akili zako genius kulinda Marinda
 
SAwa njoo bas nikupakate nikuchambishe kiongozi tumia akili zako genius kulinda Marinda
Uliza kwanza mimi ni nani humu JF sifanyaki kazi za kulinda marinda kaziyangu ni kupasua mrinda yenu walinda marinda yahee ...achana na kulinda marinda yako leta tuya tafune mabasha tupo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…