Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Uliza kwanza mimi ni nani humu JF sifanyaki kazi za kulinda marinda kaziyangu ni kupasua mrinda yenu walinda marinda yahee ...achana na kulinda marinda yako leta tuya tafune mabasha tupo ...
kaziyangu
nimeachia kusomea hapa mkuu. wekeza kwenye elimu ya uandishi pia ukirndelea kulinda marinda machache yaliyobaki.
 
We are pretty confusing Son. That I agree.
 
Inafikirisha...

Hatahivyo story yako inawalakini.

1. Unataka uwekewe maji bafuni? Wewe kwako hauna private shower? Kwa jinsi ulivyoandika wewe ni mtu wa kipato cha kati. Unaishi wapi?

2. Kufuliwa. Umeshindwa kununua washing machine?
 
Dah!....
 
[emoji3][emoji3] Nina mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Haya mambo hayana formula, ombea ndoa yako lakini pia itunze
 
vinyoya kama vinyoya 🤣😂😂 hali yako kwa sasa mkuu ?
 
Hapa ishu sidhani Kama ilikuwa kukosa kuoa ila tu mwanamke hubadilika sana na umri na exposure lakini pia umaarufu. Wanawake walio wengi wakiona tu wao ni maarufu kuliko wewe hapo watatafuta walio maarufu kuliko wao na hapo ndio shida huja kwenye ndoa.

Huyu wangu namuangalia tu mikato yake. Siku hizi amekuwa bize sana. Chumbani anapatikana wakati wa kulala tu😀 iwe Wkend yeye anafanya shughuli za kazini au yupo social media. Anamaliza 1.9GB kwa siku mtandaoni. Akichoka analala. Hashauriki ni sababu yupo karibu na bosi kazini yeye ndio mhasibu hapo kazini Baada ya kutoka masomoni. A namuona bosi ni muhimu kuliko mimi.
Wadau ndoa hizi inabidi kuziwekea mikataba. Mtu akibadilika basi iishie hapo.
Mtu ananunua wiki mnnaelewana akimiss chezo tu🤔
 
Huyo dada alokosea sana kuoleaa na wewe... umemkuta mtu ana maisha yake na ndoto zake... ulitakiwa.. ukubali njia zake na siyo kuja kumbadilisha.. umekosea sana.

Huyo mwanamke atampata anayeendana nae na maisha yatapendeza sana.... wewe ulitakiwa kwenda kuoa binti aliyefeli kidato cha nne yaani kapata ZERO kabisa... na akae home akuwaze wewe na akutumikie wewe...

Huyo mwanamke anahitaji mwanaume matured.

Upumbavu kabisa kupiga mke kama hamuelewani mwite mzamini wako wa ndoa mwelieze changamoto mtatue au hata wazazi wake. Unataka kuua?? Shenzi kabisa. Ulioa uje uue?

Kimsingi hata mama wa nyumbani utampiga tena sana... maana ndivyo ulivyo
 
Kuna Wanawake wameumbwa kutobadilika, yaani ukimuoa huku ukitegemea kuwa atabadilika unakuwa umeingia chaka kabisa
 
Hatari sana.
Waliopo kwenye ndoa malalamiko
Walio nje ya ndoa wanaitamani ndoa
 
Hukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.

Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…