Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Inafikirisha...

Hatahivyo story yako inawalakini.

1. Unataka uwekewe maji bafuni? Wewe kwako hauna private shower? Kwa jinsi ulivyoandika wewe ni mtu wa kipato cha kati. Unaishi wapi?

2. Kufuliwa. Umeshindwa kununua washing machine?
Acha mbwebwe na sifa za kihaya za kiboya, au umenunua Washing Machine juzi??

NI watanzania wangapi wenye Washing Machine?

Pia wapo Matajiri wengi tu wanaweka Shower kwny public bathrooms lakini kwny Bedroom hawatumii...its a matter of choice
 
🙆🙆🙆Unazungumzia Watanzania gani hao?

kila mmoja awe na private shower?

washing machine?

Maelezo ya kusadikika haya

Upo Tz kweli au ni wale slay queen vichwa panzi akili kisoda 🤠
 
Soma uelewe wewe kimburu.

1. Huyo jamaa anaonyesha ni mtu wa kipato cha kati. Hasa ukisoma maelezo yake, sasa ashindwe vipi kuwa na shower ahangaike kupelekewa maji bafuni? Unaakili wewe?

2. Kama upo Arusha town au miji mikubwa ni kawaida kuwa na washing mashine si ufahari au utajiri.

Umeelewa wewe fisi maji?
 
🙆🙆🙆Unazungumzia Watanzania gani hao?

kila mmoja awe na private shower?

washing machine?

Maelezo ya kusadikika haya

Upo Tz kweli au ni wale slay queen vichwa panzi akili kisoda 🤠
Huyo jamaa kutokana na maelezo yake inaonyesha ni mtu wakipato cha kati.

1. Kuwa na mashine washine nyumbani si ufahari. Inasaidia kurahisisha kazi zakufua. Pia si bei ghali kununua kulingana na ukubwa wa mashine.

2. Inaonyesha pengine story ya uongo au huyo jamaa hana mipango.
 
Pole
 
Hunaga akili we shangazi
 
Nimekuwa maskini kwa kukosea kuoa noma sana,Bora Bora kuoa kijijini Tena asiye soma!
 
Huyo uliyemwambia hivyo yupo Arusha au Dsm? Bora hata ungemwongelea mtu aliyeko Nairobi au J'burg sio Bongo

leave Pride away,
 
Mta ndio nini sasa wewe Kobe?

Hebu kwanza, kajifunze kuandika

Pili, Acha Ushamba

Tatu, Acha dharau, heshimu watu

Hayo yatakusaidia ukizingatia.
Mtu mwenye kipato cha kati ni rahisi kumiliki washing mashine, si ufahari.

Wewe hoja yako hapa ni nini?

Mtoa mada ameeleza mengi na ukimsoma utaona sababu za yeye kumlalamikia wife hazina mashiko sana kama angekuwa na mipango.

Wewe bwana wako huwa unampelekea maji bafuni na kumfulia?
 
Poleni sana wote mliopigwa na vitu vizito kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…