Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

wanajisahaulisha tu hawa. kwanza akitoka amechoka kazini hata kitombo hatoi anasema amechoka sembuse kuanza kuosha vyombo, kupiga kudeki sijui kufua. pyuuuuu
 
Kati ya mwanaume na mwanamke anayetumikishwa ni nani hapa Duniani? Kutimiza wajibu wako ni kutumikishwa? Si Bora uishi mwenyewe sasa.
Kwani wapi imeandikwa wajibu wa mwanamke ni kufanya kazi za nyumbani? au ni mfumo dume tu uliowekwa na nyinyi wanaume wenyewe
 
Umeongea kishabiki.mm ukiniambia nichague bora mwanamke anaejiuzia maandazi kuliko hao walioajiliwa hadi kufunga mtoto nep hawajui
 
Katikati ya mstari naona una tatizo kubwa sana la kisaikolojia linalohitaji msaada wa haraka sana.... samahani kama umekwazika
Kuna shida mahali kwa binti huyu, nimepenyezewa hapa anakimbilia late 30 bila ndoa, kitu ambacho nimekujua gundua ana jeuri na mjivuni na hii si nzuri kwa mwanamke, wapo wanawake wana vyeo, mishahara mikubwa na elimu kubwa ngazi ya U- proffesa wala hutoona analilia kumpikia mke wake.

Huyu mwanamke kuna shida mahali katika serikali ya ubongo wake, na sio huyu tu wapo wengi humu wanajazana ujinga masaa 24.

Usimshangae Nature ishamkataa ataendelea kuwa sperm deport ila ndoa ataisikiliza kwa wengine.
 
Kwani wapi imeandikwa wajibu wa mwanamke ni kufanya kazi za nyumbani? au ni mfumo dume tu uliowekwa na nyinyi wanaume wenyewe
Imeandikwa kwenye maadili ya jamii za kiafrika,huwezi acha usifanye na uishi mwenyewe..

Kwani wewe hapo unapoishi na majirani zako unaona nani wanafanya hizo Kazi? Umewaona wanaume? Uje uwaulize wapi pameandikwa watakupa jibu.
 
Wewe ni kichaa, ukapimwe akili, yani uteseke kwa ajili ya watoto?

Ukipata stroke hao watoto watacover bill ya matibabu?
 
Ni aibu kuacha puu yako.
Nachelea kusema kuna baadhi ya watu ni matokeo ya malezi mabovu...
Mimi nimekulia maisha ya kumsaidia bi mkubwa..
Nilikua naosha vyombo,napika,nachota maji kwa baiskeli mtaa wa pili,asubuh kabla ya kwenda shule nafagia uwanja.

Na nilikua nafanya yote hayo bila kulazimishwa ni kwa mapenzi yangu kwa mama yangu...

Na hata kuna ngedere nilikua naishi nae miaka ya nyuma,tulikua tunasaidiana majukum ya nyumbani...
Sio kwa sababu mimi ni bwege laaa!ni ubinadam na mapenzi pia.
Sioni kama ni gharama kusaidiana majukum.
 
Uzuri ni kwamba wanatambua hilo haliwezekanai ila wanashupaza shingo tu. Mambo kwa ground hayako hivi wanavyoyashupalia. Mambo kusaidiana jamani ndio maana tunaweka house maids. Sasa pesa tunatafuta za nini ikiwa haziwezi kuturahisishia maisha yetu?

House maids wanafanya majukumu kwa maelekezo yetu, pale inapobidi na muda unapopatikana basi tutafanya ila isiwe eti ni lazima as if sie ni machines ebo!!
 
Hahahahahah hawajuagi show kali! Baada ya miezi 6 tu chali harusi sikuhizi watu wanafanyia fashion tu 😅 ila saikolojikale hawana ukomavu wa ndoa!
 
Hawa ndio wanaume sasa.

Extrovert hebu kuja hapa ufundwe maana kabishi haka katoto jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji1787]
 
Mkuu ilikuwaje ukaoa mke kilaza namna hio au ndio mlikutania KFC 😅🤭🤣 penzi likachipua? Au ndio zile connection za dada yangu hana mtu nikuunge nae😅
Mkuu vp ulipotea ghafla,nacheki nakuta umepigwa ban
 
Sitetei wanaume ama wanawake irresponsible.

I just want everyone to do his/her part. Mwanaume ahakikishe anahudumia na mwanamke ahakikishe analea familia.

Inapotokea mwanamke ni msomi na anataka kuitumia elimu yake, tena wamekubaliana na mmewe kwa amani basi afanye kazi. Lakini hiyo kazi isimfanye ashindwe kutimiza majukumu yake ya msingi (Malezi ya familia).

Zaidi ya yote; ninapinga mwanaume kufanya kazi za nyumbani isipokuwa kwa sababu za kiafya kwa mkewe.

Note: Mwanamke kufanya kazi za nyumbani ni kutimiza wajibu, siyo utumwa.
 
Ingekuwa kuna ugumu kuliko majukumu ya mwanaume basi makaburini kungejaa wanawake,sasa ni wengi lakini wanaume wachache wameyajaza makaburi.
Makaburini si mnakwenda kwa viranga vyenu, hebu itathminini life style yenu mjue wapi mnakosea. Si huwa mnaona sifa eeh? Kumbe hamjui mnalikaribia kaburi.
 
Imeandikwa kwenye maadili ya jamii za kiafrika,huwezi acha usifanye na uishi mwenyewe..

Kwani wewe hapo unapoishi na majirani zako unaona nani wanafanya hizo Kazi? Umewaona wanaume? Uje uwaulize wapi pameandikwa watakupa jibu.
Ndio maana nimekujibu ni mfumo dume, lakini pia inaweza kuwa kipindi hizo tamaduni za majukumu ya nyumbani ni ya mama zinawekwa kina baba walitimiza wajibu wao kwa kuhudumia familia mke akabaki na majukumu ya nyumbani tu. Lakini tamaduni hizo haziwezi kuendelea kushikiwa bango sasa hivi kipindi ambacho mke na mume wote wanatoka kutafuta. Muda unapoamua kuoa mke mfanyakazi jua tu hawezi kukuhudumia kama yule anaeshinda nyumbani full time.
 
Hili hakuna mtu kalikataa 😛 swala ni kusingizia eti hata glass ya maji kumpa mumeo huwezi kisa mmetoka wote kazini! Huo ni utoto wa hali ya juu, au kupakuwa chakula mle unaona kama utumwa you must be death!
 
Mmeishiwa hoja mmeanza personal attacks na wimbo wenu uleule.
 
Ishu ya Samson na Delila ni tofauti kidogo.

Upendo unaambatana na matumizi sahihi ya akili.

Ukiona mtu hadi anashindwa kutumia akili yake ujue huo siyo upendo ila kupagawa (obsession).
 
Yaan anakunya halafu haflash? Mbona huyu ni mnyanyasaji?

Wanawake kazi tunayo asee[emoji848]
 
Oa pale unapokuwa umejiandaa kuwa baba, kubeba majukumu yako.
Sasa wewe unafikiri unaoa kwa ajili ya nini???
Anafikiri anaoa kwa ajili ya kumbato tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…