Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Nilichomanisha hujanielewa nadhaniSasa kuhitaji kuheshimiwa na kunyenyekewa ndio inferiority complex? Pole Sana Rudi kwenye dictionary ,ni wajibu wa mwanamke kufanya hivyo ila alishindwa lazima mwanaume alinde status yake kwa gharama yeyote.
hivi nyie wanaume ukilala na mwanamke mwingi unakuwa unafanya kumkomoa mke wako au vile tu kidudu kimewasha. yaani utumie dhana zako mwenyewe halafu akili yako ikuaminishe kuwa unamkomesha mtu. mpyuuuu hamtuji vizuriiiiSawa sawa umuweke umlipe maana hio haiishiagi hapo ni ratiba mpaka za kitandani😅
Kwa sababu gani?Nyooo.... utafikaga mbinguni hoiii we falaa[emoji28]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kudeki ni minor issue na sio wale waume qanaoamimi, eti mke kumfulia nguo kwa mkono ndio love hyoAjabu sana jamani.
Halafu kama huyu akimuoa cariha lazima apangiwe zamu ya kudeki kuosha vyombo na kupika.
Sababu hajielewi kwa nini anaoa.
Hahahahahaha mwanamke unaoa wa nini sasa kama kazi zote unaweza fanya mwenyewe😅! Unajua lazma Gap lionekane bana kwa mjuba😅 yani mke awe ame add value!Kwanza inakuwaje mwanaume unajua kupika aisee... Raha ya mwanamke kuolewa na wanaume kama sisi tunaojua kupika chai tu ili aoneshe ufundi wake jikoni. Siyo mwanaume unajua kupika kuliko hata mke wako. Haha...
Hahaha... Wanaweza hata kuyasifia yananukia vizuri. Hii jinsia Mungu anaiona.Hapo ndio umeongea sasa uzuri hela ikiwepo hata kuflashi mavi huwa mna flash bila kulalamika😅
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mwanamke anafanya makusudi! Yani unapikaje kijambio cha kuku[emoji28]
Wapo wenye shule wanaji sacrifice kuhudumia waume na watoto zao as they get everything they want! Pesa ipo yani[emoji23][emoji23]oa mke asiye nashule na awe ana baki tu nyumbani ndio atakufanyia yote hayo Ili ujione mwanaume rijali[emoji23][emoji23]
Hata mjini wapo.[emoji23][emoji23]kaoe wa kijijini mkuu
Hahahahah ndio maana baada ya watu kujua hawa ni watumwa kwenye pesa basi wanaitanguliza popote pale wanapowahitaji na kweli mambo yanaenda! Unaweza kuwakusanya hata watatu ukaenda kuwafanyisha 3 some 😅Hahaha... Wanaweza hata kuyasifia yananukia vizuri. Hii jinsia Mungu anaiona.
According to what I believe it a bit challenging to explain it in a simple way, Yani inferiority ina involve mtu mwenye low esteem, someone who is toxic, narcissistic, Mr perfect too much controlling, na vile mwanamke akimzidi kitu yeye anajiona less mwanaume Yani to me inferiority complex inabeba mengi it's hard to explainCan you please define inferiority complex according to your understanding.
Hii ni rahisi kuongea ukiwa haujaowa" na ukiwa kwenye ndoa ni ngumu mno kutoka!!! Cuz kuna garama zakutoka na ndo panapokuwa pagumu maybe uwe muislam mkuu... Hii inabidi tufundishe mpaka dakika ya mwisho bila kuchoka, hawa wanawake tukienda nao speed hakuna utae weza kuishi nae mkuuKumbadilisha mtu mzima Ni kazi na swez kupoteza mda kufanya hvo.
Kwa nn nilazimishe kukaa na mtu ambae naona chemistry zinakataa.
[emoji23][emoji23][emoji23] humu JF kila mwanaume ni kichwa Cha nyumba na tajiri eeehHakuna mwanaume wa design hiyo unless awe analelewa na mwanamke........Yaani hata kitanda kutandika mnabishana kisa wote mnafanya kazi ? Na wewe ni wale wale , huwezi kuja kuolewa unless uoe
Haha... Unakuwa hautofautiani na wasiooa, zaidi unawazidi stress tu. Na hii ndiyo sababu wengi waliooa hawa feminists wanatamani kutoka kwenye ndoa.Hahahahahaha mwanamke unaoa wa nini sasa kama kazi zote unaweza fanya mwenyewe😅! Unajua lazma Gap lionekane bana kwa mjuba😅 yani mke awe ame add value!
Sasa hamna value addition bado nguo unajifulia na kujipigia pasi, Unajipikia huyo mke kazi yake yeye kujimekap na kutoka na kuingia ndani kupika anataka muagiziege chips tu😅
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haya bana mkuuMiaka hii kuoa ni kujitafutia majanga yanayoweza kuepukika. Sitaki kuharibu utulivu wa nafsi, akili pamoja na uhuru nilionao nyumbani kwangu.
Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!
Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.
Naomba kuuliza hivi wewe ukichukua maji kwenye water dispenser utakufa?Hili hakuna mtu kalikataa [emoji14] swala ni kusingizia eti hata glass ya maji kumpa mumeo huwezi kisa mmetoka wote kazini! Huo ni utoto wa hali ya juu, au kupakuwa chakula mle unaona kama utumwa you must be death!
Mkuu, amka kwenye huo usingizi, unaota.Kuna couple zinainjoi maisha wajameni nikiona hivi watu kupitia mapito kwenye ndoa zao huwa nasemaga makosa huwa yanafanyika wapi,maana kuna couple zinafurahia neema za ndoa yao kwa kuwa walianza kupendana kwanza then mambo mengine yakafuata .... mambo ya okota okota huleta tafrani mbeleni,na wanaume tuchunge sana mikono yetu kwenye kupiga hawa wenzetu katika kitu napinga vikali ni hilo na haikufanyi kuwa dhaifu mwanamke asikushinde kupanga hoja na usimzoeshe kubishana nae ndiyo maanaa anakupanda kichwani