Hahaha... Na hautasikia wanalilia haki zao.Hahahahah ndio maana baada ya watu kujua hawa ni watumwa kwenye pesa basi wanaitanguliza popote pale wanapowahitaji na kweli mambo yanaenda! Unaweza kuwakusanya hata watatu ukaenda kuwafanyisha 3 some 😅
Acha ujinga na wewe!!! Sasa ili iweje mkuu? Ndo Sababu hawa wanawake wanatukimbia kama akili zenyewe ndo hizi.... Unajua mazara yakufanya ivyo mkuu?Mimi nimgekuwa jamaa hapo ningefanya juu chini huyo mwanamkw ajione si lolote si chochote kwangu
Kwanza ningedili na hio kazi yake inayompa jeuri ningechafuaia reputy akose wateja anonymously bila yeye kujua
Pumbavu sana[emoji1787][emoji1787]
Si ndiyo hao mnao okota okota mnakuja kujumuisha wanawake wote ni sawa sipo usingizini ,mwanaume ukiwa unajitambua huwezi jichanganya na kuoa pasua kichwa maana utakua makini na pia utamshirikisha mungu,shida mnachukulia swala la ndoa ni la kawadia linahitaji hekima na utulivu nina amini hakuna mkamilifu na huwezi kupata mkamilifu ila kuna mengine mtaweza kuyajenga pamoja mkiwa kwenye ndoaMkuu, amka kwenye huo usingizi, unaota.
Hawa wanawake wa Beijing hauwajui.
Uwiiiii mnaishije humo ndani kaka ebu jaribu kujishusha uone na siku amua tu kupika atajifunza..Ndoa hiziNGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.
How is wanting someone to be responsible a sense of inferiority complex?According to what I believe it a bit challenging to explain it in a simple way, Yani inferiority ina involve mtu mwenye low esteem, someone who is toxic, narcissistic, Mr perfect too much controlling, na vile mwanamke akimzidi kitu yeye anajiona less mwanaume Yani to me inferiority complex inabeba mengi it's hard to explain
Wanaume tunapungua kwa kasi sana. Eti naye anatetea kupika na mke yupo!!!Mkuu
Hivi umeoa?
Tuanzie hapo kwanza!
Hivi kupika kwenye nyumba ,hivi kuna mjadala wa hili kweli?
Like seriously?
Are you joking aisee?
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee Leo umekuja eeeh, nini maana ya feminist element kwanza?Typical career women' arguments here!
Mnajishaua na eti "low self esteem,mara toxic,mara narcissit,mara controlling,etc" as if ni wanaume pekee wana haya wagonjwa wao wanajitoa kwenye list!
Yaani mmejaa Feminist elements!
Hayo ni magonjwa gender zote mbili wanazo tena in equal amount sio una single out wanaume pekee...
Sasa basi,weka hoja inayo apply kwa group moja tu specific ndio tutakuelewa!
Uwiiiii mnaishije humo ndani kaka ebu jaribu kujishusha uone na siku amua tu kupika atajifunza..Ndoa hizi
Ninachukuaga leo nimeamua kukutuma kama mke wangu ina maana kufuata maagizo mpaka ligi?!😅😅😅Naomba kuuliza hivi wewe ukichukua maji kwenye water dispenser utakufa?
Ujue vitu vingine uvivu wetu huishia kulaumu tu wengine bila sababu,
Kwenye maisha tukijofunza kutokutegemea watu makwazo yatapungua sana
😅😅😅😅😅😅 mama yako alikuwaga na msaidizi pale kwenu? Alikuwa hafanyi yote ulioainisha hapo?Wakuu tuelewane kufua,kupika,usafi wa nyumba sio kazi ya mkeo jamani ,kazi ya mkeo kukuzalia watoto nankufanya mapenzi na wewe kazi zingine apate msaidizi pia lakin isiwe kama sheria
Hata hivyo, wewe ndiye mtumiaji wa penseli, ichonge vile kawaida inatakiwa, lkn kubwa zaidi ichonge penseli kwa kadri ya mahitaji, matakwa na mapenzi yako!!
Baba angu akinituma namkimbia naweza vunja hata mguu, pia my daady is a kind of understanding man na ni muelewa mno tena hapendi ujinga ujinga wa vitu vya wanaume wavivu, I grow kwa kumuona vitu vingi akifanya tena bila kutegemewa kufanyiwa na mtu, sio yeye tu wanaume wote wa ukoo wetu, husaidiana majukumu na haijawahi kuwa kosa, so I wonder humu watu kulalamika Hadi kutaka kunyweshwa maji kwa uglass too much boseness ni hatari ya dangerIla baba yako akikutuma ni sawa?
Baba yako anaruhusiwa kuku-bully ila mumeo hapana?Wakati wote ni wanaume basically!
Feminists hamnaga akili,yaani mpo hapa kupambana na waume zenu ambao ni wanaume kama baba zao wale wale...
Mpo radhi kupokea mnachoita unyanyasaji toka kwa baba zenu ila kwa waume zenu hapana?
Kama mnapiga hiki mnachoita unyanyasaji kwanini msipinge kwa yeyote yule mwanaume baba na waume zenu inclusive?
Useless feminists m,po confused!
Mkuu, kwani wewe ukimtuma kitu mwanao au mdogo wako inamaanisha ukikifanya wewe utakufa? Haha...Naomba kuuliza hivi wewe ukichukua maji kwenye water dispenser utakufa?
Ujue vitu vingine uvivu wetu huishia kulaumu tu wengine bila sababu,
Kwenye maisha tukijofunza kutokutegemea watu makwazo yatapungua sana
Kwa sababu wanaume mumeaminishwa kuwa kuzidiwa vitu na mwanamke ni kosa na Hilo ndio tatizo lilipoanzaHow is wanting someone to be responsible a sense of inferiority complex?
Hilo ndo huwa nashangaa kwamba baba yake akimtuma ni sawa ila mumewe akimtuma anamuwekea ligi?Ila baba yako akikutuma ni sawa?
Baba yako anaruhusiwa kuku-bully ila mumeo hapana?Wakati wote ni wanaume basically!
Feminists hamnaga akili,yaani mpo hapa kupambana na waume zenu ambao ni wanaume kama baba zao wale wale...
Mpo radhi kupokea mnachoita unyanyasaji toka kwa baba zenu ila kwa waume zenu hapana?
Kama mnapiga hiki mnachoita unyanyasaji kwanini msipinge kwa yeyote yule mwanaume baba na waume zenu inclusive?
Useless feminists m,po confused!
Mazara [emoji777]Acha ujinga na wewe!!! Sasa ili iweje mkuu? Ndo Sababu hawa wanawake wanatukimbia kama akili zenyewe ndo hizi.... Unajua mazara yakufanya ivyo mkuu?
Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Ndiyo tuwaseme sasa hapa hao pasua kichwa ili wanyooke. Hahahaha...Si ndiyo hao mnao okota okota mnakuja kujumuisha wanawake wote ni sawa sipo usingizini ,mwanaume ukiwa unajitambua huwezi jichanganya na kuoa pasua kichwa maana utakua makini na pia utamshirikisha mungu,shida mnachukulia swala la ndoa ni la kawadia linahitaji hekima na utulivu nina amini hakuna mkamilifu na huwezi kupata mkamilifu ila kuna mengine mtaweza kuyajenga pamoja mkiwa kwenye ndoa