Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

😅😅😅😅😅😅 nilishawahi andika makala humu! Hizi ndoa za watu kukutaniaga KFC na lodge tu eti ni wachumba huwa zina matatizo sana😅

Piga probation kwanza! Mwanamke unaetazamia awe mke unakaa nae ndani kwa mwaka au zaidi kisha utaona matokeo yake! Mwanamke wa hovyo ndani ya miezi michache utagundua tabia zake zote mbovu ila hawa wa kuja ijumaa na kuondoka jpili hawa ni ngumu sana kumjua tabia zake!
 
Wakuu tuelewane kufua,kupika,usafi wa nyumba sio kazi ya mkeo jamani ,kazi ya mkeo kukuzalia watoto nankufanya mapenzi na wewe kazi zingine apate msaidizi pia lakin isiwe kama sheria
Haha... Ni kazi ya nani sasa?
 
Duh pole mkuu Mungu pekee ndio mwenye kutetea ndoa yako.
Chakukushaur muache aendlee naupuuzi wako usimjal kama chakula ucipokipenda unamuachia unainuka unaenda kulal ili kuepusha mzozo
 
Hata kumkunjia mumeo nguo zilizo andaliwa na beki tatu ni ngumu pia?
 
kwani baba yake analala nae? yani ufananishe status ya baba na mume mbona jua na mwezi
 
Hongera sana kulelewa hvyo ...na omba Mungu umpate wa kufanana nae!hawa wa kwetu wako tofauti na wenyewe tunaona kawaida tu..

Rudi kazini,pika fua boxers ,and so forth....
Hvyo yaani!
Hongera sana omba Mungu umpate wa aina ya baba zako na ndugu zako wa kiume!
Ukikutana na hawa wetu tulowazoea utasaga menoo!
 
Kwa sababu wanaume mumeaminishwa kuwa kuzidiwa vitu na mwanamke ni kosa na Hilo ndio tatizo lilipoanza
Nani hapo ni inferior: mwanamke ambaye hataki kutimiza majukumu yake akihisi ataonekana inferior - ananyanyaswa au utumwa - ama mwanaume anayemtaka mwanamke atimize majukumu yake ipasavyo?
 

Hata nikitaka kubadilisha chanel namtuma mke wangu[emoji23][emoji23]
 

Hapo bold utakuwa umeongea tu, just for the fun of it. Utafurahi your hubby kucheat, yaani kabisa utafurahi! Utani wa mwaka huu...
 
Ok kama mmekubali kusaidiwa sasa muache kupiga kelele za wivu
 
Michepuko ishawaroga huko hata akili haifanyi kazi tena.
Hakuna mwanamke asomheshimu mwanaume wake, ukiona hauheshimiwi ujue wewe ni jipu haustahili heshima.
Na we binadamu ambao naturally ni wakorofi, hao unawazungumziaje?
 
ALIYEKUAMBIA HELA YA MWANAMKE NI YA FAMILIA NI NANI?,MIMI NINA LAKI 3,MKE WANGU ANA LAKI 5,NIKIULIZWA MNA SH NGAPI HAPO NYUMBANI JIBU SAHIHI NI SH 300,000 NA SIO 800,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…