Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Acha ujinga na wewe!!! Sasa ili iweje mkuu? Ndo Sababu hawa wanawake wanatukimbia kama akili zenyewe ndo hizi.... Unajua mazara yakufanya ivyo mkuu?

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Nafanya hivyo ku seize my lost powers and Authority

When she has nothing ,guess where she will go.

Hapo asijue tu akijua umeharibu
 
Umekosea au ulishindwa kwenda kasi na mkeo...???
Katika mahusiano lazima kuwa na adjustments hasa miaka 7 ya kwanza

Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
 
Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
Mkuu nimecheka kama jambo la kufurahisha kumbe la kuhuzunisha ,nimefatilia michango ya wengi wanamtumia lawama jamaa hawajui changamoto za kuishi na mwanamke ,yaani wanamaauzi madogo madogo ambayo kwa mwanamme huwa ni makubwa ,wakati mwingine ndoa nyingi zinasavaivu kutokana na hatma za watoto ila zinalovunjika inakuwa hakuna namna watu walishajaribu njia zote na zimefeli ,
Haya mambo sio rahisi kama mtu anavyochangia humu na kutoa hukumu na lawama .
 
Pole Sana mkuu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Wababa hawa wa miguu juu na ulalamishi ndio wakubadilisha bulb na kufyeka kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapa hatuzungumzii heshima mkuu.

Tunazungumzia majukumu na kazi za nyumbani kwa wanandoa ambao wote wanaenda kazini na wote wanarudi nyumbani usiku huku kila mmoja akiwa na mwili wa nyama na amechoka.
Mkuu,

Primary responsibility ya mwanaume ni kuhudumia familia, wakati ya mwanamke ni kulea familia.

Ni jambo la ajabu sana mtu anapoacha au anaposhindwa kutimiza majukumu yake ya msingi akiwa busy na majukumu ya mwenzie.

Wewe fanya kazi, lakini kama unaona hauwezi kufanya kazi na bado ukatimiza majukumu yako ya msingi kama mwanamke chagua moja - kazi au familia.

Hakuna sababu ya kumlazimisha, yes kumlazimisha, mwanaume naye afanye majukumu yako.

Usione wanaume wabaya kwa sababu ya irresponsibility yako... With due respect.
 
Mkuu inferiority complex imeua ndoa yako kizembe na wewe siutafte kazi ya ki corporate wewe ni stubborn in nature, ndio madhara ya kuoa mke kisa yuko vizuri financially, ona ndoa umezeeka eti una achana unafikiria asiye corporate ndio mambo mepesi eeeh.
Pole mkuu mkeo alikuwa mvumilivu sana Yani moments unampiga anakuvumilia tu I'm sure tukimleta na yeye atapika nyongo hapa utaukimbia huu uzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume wakubebewa maji bafuni akapimwe akili
Suala la kubebewa maji sio ishu kabisa , ishu ni kusema kua huwezi kumuhandle mumeo , ww nahisi unatakiwa ukapimwe mkojo aisee
 
Kwani kupika ni dhambi yeye apike ka anataka na anajiskia kufanya hivo no problem at all, Yani awe anaskia njaa na vitu viko afe njaa akisubiria mtu amfanyie, na ka amechoka ale huko huko ashibe Cha kufia nini?
😁😁 Unaongea tu hapa, lakini I am sure ukimkuta mtoto wako anafanya kazi za kike itakuwa habari nyingine.
 
Mkuu unaweza kuta sio chamgamoto za malezi

Wengi wao wamekengeuka ukubwani baada ya kuwa uwezo wa kuingiza senti mbili tatu ukichagiza ma harakati za ufeminisn ndio kabisa

Vichwa vimeota mapembe.
 
Inferiority complex inamfanya mwanaume awe kipofu wa kusimama ka head of family, Matokeo yake hata changamoto za kutatua kikawaida kwa kutumia akili yeye atalaumu kazi na kipato Cha mkewe kuwa ndio ina mpa jeuri, na kusahau kutofautiana kuko tu mtu awe msomi au lah, mtu anayelalamika badala ya ku solve tatizo na too much lawama yeye ndio ana shida
 
Tuombe Mungu,haya maisha ya ndoa bila ya kuwa karibu na Mungu usitegemee muujiza...
 
Na kwa kuyajua hayo, tunakuwa hatuna muda wa kushinda na wanawake wenye viburi na ubeijing mwingi.
Ndio mtafte wanawake size yenu, mahusiano huwa hayana tofauti na kuvaa nguo au kiatu, ukichagua kiatu kikubwa lazima kikupelekwete tu, wewe hupendi design flani ya mwanamke ila Kuna wanaume Wana mpenda alivo na anaelewana tu
 
Inaonekana JF na Twitter ni dunia ya kipekee kabisa aisee. Sio kwa standars hizi zinazosetiwa humu. Japo naishi kwenye jiji na pia kuwa sehemu ya hawa corparate and very hectic women lkn sijawahi kushuhudia yaliyoandikwa humu.
[emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] wengine tunaish mikoan sio dar hivyo pambn nawakwenu
 
Dawa ya mwanamke jeuri kama wewe ni mimba kila mwaka hadi akili ikukae vizuri[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah Mimi na control uzazi na nitazaa mfululizo kama nitataka, kama staki sizai ng'o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…