Mkuu
Umefanya la maana kupiga chini hiyo maneno
Haiwezekani eti baba katoka kazini akakuta kazi zake za nyumbani asifanye eti kachoka au eti mwanamke nae azifanye.
Na kazi za baba ni nyingi wanafanya:
Kurekebisha umeme wa nyumba,kuchimba mitaro,kupiga rangi,mafriji yakiharibika ni wewe,kubadili bulbs,kufweka,magari yakiharibika,ikitokea shoti,mabomba na masinki yakivuja au kupasuka,kuziba pancha,kubadili matairi,madirisha,paa likivuja,pipe za gesi zikiharibika,kununua hardware,kupanda sehemu zote ndefu,TV zikiharibika,mageti yaki-jam,watu wakija kuvunja usiku uzuie,kusimamia vibarua na mafundi wa kazi mbalimbali,etc
Baba hawezi toka kazini kazikuta hizo kazi eti asizifanye eti kachoka au eti mwanamke pia azifanye ni kazi sawa
Ila mwanamke akitoka kazini eti kupika ni debate eti sio kazi yake eti kachoka na baba nae apike
Then watu wapo hapa wadiscuss this nonsense,like really?
Tumefika huku?
Kazi za nyumbani zinaleta mjadala wote huu?
Ni ukosefu wa maadili tu na watu walikosewa kufundishwa gender based roles zao sawasawa!