Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kuanzia sasa inabidi tukubaliane probation minimum ni 4 years au sio mazee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nilishawahi andika makala humu! Hizi ndoa za watu kukutaniaga KFC na lodge tu eti ni wachumba huwa zina matatizo sana[emoji28]
Piga probation kwanza! Mwanamke unaetazamia awe mke unakaa nae ndani kwa mwaka au zaidi kisha utaona matokeo yake! Mwanamke wa hovyo ndani ya miezi michache utagundua tabia zake zote mbovu ila hawa wa kuja ijumaa na kuondoka jpili hawa ni ngumu sana kumjua tabia zake!
Na ndio uendelee na hao Marioo unao kutana nao.Ndio mtafte wanawake size yenu, mahusiano huwa hayana tofauti na kuvaa nguo au kiatu, ukichagua kiatu kikubwa lazima kikupelekwete tu, wewe hupendi design flani ya mwanamke ila Kuna wanaume Wana mpenda alivo na anaelewana tu
Hahahahaha sure kabisaWalijichanganya sana, mwanamke akishakuwa mbishi mbishi tu ni red flag[emoji28]
Mimi sikutanagi na wajinga nakutanaga na watu wakubwa tunasaidiana maisha na connection, huyo Mario msingi kiuno amtake nani wengine tumetumwa kutafta hela mjini, too ambitiousNa ndio uendelee na hao Marioo unao kutana nao.
Hio inferiority complex wanaoinadi ni defensive mechanism hawana jipyaNani hapo ni inferior: mwanamke ambaye hataki kutimiza majukumu yake akihisi ataonekana inferior - ananyanyaswa au utumwa - ama mwanaume anayemtaka mwanamke atimize majukumu yake ipasavyo?
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana[emoji3][emoji3] Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Kwanini iwe tabu, maana ka wako busy wanunue dish washer, washing machine, kupika tu wali waweka kwa Raisi cooker wewe wageuza tu ukiweka hivyo lawama zinapungua kwa mwenzi wako technology imerahisisha mno mambo bana[emoji16][emoji16] Unaongea tu hapa, lakini I am sure ukimkuta mtoto wako anafanya kazi za kike itakuwa habari nyingine.
Ni mu handle mume vipi au unataka nikimubeba mgongoni ndio niwe nime mu handle?Suala la kubebewa maji sio ishu kabisa , ishu ni kusema kua huwezi kumuhandle mumeo , ww nahisi unatakiwa ukapimwe mkojo aisee
Hata kupika??[emoji16][emoji16] Unaongea tu hapa, lakini I am sure ukimkuta mtoto wako anafanya kazi za kike itakuwa habari nyingine.
Na ndivyo wanavyo-play. Wanafanya mind manipulation halafu ndiyo wanakugeuza kuwa mwanamke huku wao wakichukua nafasi ya mwanaume. Halafu wanakusifia upo romantic, gentleman na majina kama hayo. 😁Defensive mechanism
[emoji23][emoji23][emoji23] kweliLabda kama ana shida ya mgongo
4yrs ?? Dah hatar sanaKuanzia sasa inabidi tukubaliane probation minimum ni 4 years au sio mazee
Au siyo 😀Kwanini iwe tabu, maana ka wako busy wanunue dish washer, washing machine, kupika tu wali waweka kwa Raisi cooker wewe wageuza tu ukiweka hivyo lawama zinapungua kwa mwenzi wako technology imerahisisha mno mambo bana
Budget Ijayo Sanamu Yako Tutaijenga WapiMbona wanaume tulisha kubaliana hapa ndani kwamba hakuna kuoa...😕
Mwanao anapika halafu mke wake amekaa pembeni...Hata kupika??
Sikuhizi Nazi hazikunwi unanua na unakuniwa bure kabisa acheni kujichoshaAnajimekapu na kuvaa madera kwenda kwenye vikoba
Wakati jamaa mwenye mke kakalia kibao cha mbuzi korodani ziko nje anakuna nazi.[emoji1787]
Huyo ndio jentomeni corporate ladies wanemtaka[emoji1787][emoji1787]
Sioni shida, labda ni mazoea yao...kuna wanandoa wengne kuna kazi wanaweza saidiana kama kupika tu mimi sioni shida.Mwanao anapika halafu mke wake amekaa pembeni...
Amepigwa na kitu kizito huyo mkuuUmesahau Nakadori ni mchepuko wa mjomba wake?
Tatizo mnadate na masharobaro...wanaume mnawapiga chini kisa hawana swaga....Wababa hawa wa miguu juu na ulalamishi ndio wakubadilisha bulb na kufyeka kweli [emoji16][emoji16][emoji16]