Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nilishawahi andika makala humu! Hizi ndoa za watu kukutaniaga KFC na lodge tu eti ni wachumba huwa zina matatizo sana[emoji28]

Piga probation kwanza! Mwanamke unaetazamia awe mke unakaa nae ndani kwa mwaka au zaidi kisha utaona matokeo yake! Mwanamke wa hovyo ndani ya miezi michache utagundua tabia zake zote mbovu ila hawa wa kuja ijumaa na kuondoka jpili hawa ni ngumu sana kumjua tabia zake!
Kuanzia sasa inabidi tukubaliane probation minimum ni 4 years au sio mazee
 
Ndio mtafte wanawake size yenu, mahusiano huwa hayana tofauti na kuvaa nguo au kiatu, ukichagua kiatu kikubwa lazima kikupelekwete tu, wewe hupendi design flani ya mwanamke ila Kuna wanaume Wana mpenda alivo na anaelewana tu
Na ndio uendelee na hao Marioo unao kutana nao.
 
[emoji3][emoji3] Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana
Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
Mzilankende
 
[emoji16][emoji16] Unaongea tu hapa, lakini I am sure ukimkuta mtoto wako anafanya kazi za kike itakuwa habari nyingine.
Kwanini iwe tabu, maana ka wako busy wanunue dish washer, washing machine, kupika tu wali waweka kwa Raisi cooker wewe wageuza tu ukiweka hivyo lawama zinapungua kwa mwenzi wako technology imerahisisha mno mambo bana
 
Suala la kubebewa maji sio ishu kabisa , ishu ni kusema kua huwezi kumuhandle mumeo , ww nahisi unatakiwa ukapimwe mkojo aisee
Ni mu handle mume vipi au unataka nikimubeba mgongoni ndio niwe nime mu handle?
 
Defensive mechanism
Na ndivyo wanavyo-play. Wanafanya mind manipulation halafu ndiyo wanakugeuza kuwa mwanamke huku wao wakichukua nafasi ya mwanaume. Halafu wanakusifia upo romantic, gentleman na majina kama hayo. 😁
 
Kwanini iwe tabu, maana ka wako busy wanunue dish washer, washing machine, kupika tu wali waweka kwa Raisi cooker wewe wageuza tu ukiweka hivyo lawama zinapungua kwa mwenzi wako technology imerahisisha mno mambo bana
Au siyo 😀
 
Anajimekapu na kuvaa madera kwenda kwenye vikoba

Wakati jamaa mwenye mke kakalia kibao cha mbuzi korodani ziko nje anakuna nazi.[emoji1787]

Huyo ndio jentomeni corporate ladies wanemtaka[emoji1787][emoji1787]
Sikuhizi Nazi hazikunwi unanua na unakuniwa bure kabisa acheni kujichosha
 
Wababa hawa wa miguu juu na ulalamishi ndio wakubadilisha bulb na kufyeka kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo mnadate na masharobaro...wanaume mnawapiga chini kisa hawana swaga....


Kuna mtu alishawahi uliza kwa Nini wanawake mnapenda kwa wanaume wahuni wahuni....
 
Back
Top Bottom