Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kuanzia sasa inabidi tukubaliane probation minimum ni 4 years au sio mazee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nilishawahi andika makala humu! Hizi ndoa za watu kukutaniaga KFC na lodge tu eti ni wachumba huwa zina matatizo sana[emoji28]
Piga probation kwanza! Mwanamke unaetazamia awe mke unakaa nae ndani kwa mwaka au zaidi kisha utaona matokeo yake! Mwanamke wa hovyo ndani ya miezi michache utagundua tabia zake zote mbovu ila hawa wa kuja ijumaa na kuondoka jpili hawa ni ngumu sana kumjua tabia zake!