Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

A bitter truth, wengi hawatakubaki lakini ndio uhalisia
 

Aise we dada ubarikiwe wewe na uzao wako. Pasina shaka umeolewa na uko ndani ya ndoa yenye upendo na furaha tele keep it up.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo umeamua mdogo wangu!!!hao ndo wanaume mamà!!
 
Saa Tisa unaamshwa na mkono unapapasa kaah...ila nyie watu mweeeh![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!!
Mdogo wangu we unaelewa haya mambo, saa tisa usiku usingizi umekukaba jamaa anaanza mambo yake, lazima upanue huna ujanja.
 
Kati ya samia na mwigulu nani anafanya kazi nyingi
Samia ndiyo anafanya kazi nyingi mkuu usitake tudanganyane hapa! Mwigulu ni kiongozi wa wizara moja while Samia ni kiongozi wa nchi nzima hapo anayetakiwa kuumiza kichwa zaidi ni Samia!
 
Woooiiìiii kwa hiyo tuache kusomesha mabinti zetu au tuwasomeshe tuu ila wawe mademu za watu na sio wake za watu??
Swali zuri sana, yaani sijui hawa wenzetu wa jinsia tofauti wana mawazon gani

Ukisoma huu uzi utahundua the way they look down at us, wanashindwa kuelewa hata wao wana mapungufu yao meeengi ila tunayavumilia tu na maisha yanasonga mbele

Yaani wanatujadili hadi wanatukosea heshima, utadhani mwanamke ni perfect human being, kasoro ndogo ndogo tu za kumalizana na wake zao wanakuja kuzianika humu
 
Mkuu bila shaka nawe unatimiza majukumu yako yote! Huulizii mshahara wa mkeo na unamhudumia kwa kila kitu yeye pamoja na watoto na unalipia bills zote peke yako!

Na kama anafanya yote hayo mwanamke anakwenda kwenye kiajira kufanya nini ?! Au ndo umalaya wenu tu, au ndo ufeminist mavi au vyote ?! Shenzi
 
Wewe mwenyewe biblia huijui, ungeijua husingeleta ligi za kipuuzi humu kwani biblia imebaanisha majukumu ya mwanamme na familia kwenye ndoa.
Teh mkuu sisi maandiko tunayajua vizuri sana ila huwa tunaamua kutambaa na beat tu! Mwanaume ukiacha kutimiza majukumu yako nasi tunaacha kutimiza yetu siyo ninyi kujifanya maandiko kuhusu majukumu yenu hamyaoni ila mnataka sisi maandiko ndiyo tuyafuate kikamilifu teh!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora tu wale michemsho ya wasaidizi wa kazi.
Aahh kwa kweli! Wanajifanya humu oo mimi mke wangu asipotimiza majukumu yake lazima nichepuke, muulize sasa kwamba je mke wako akitimiza majukumu yake yote ndiyo hautachepuka, wanahamia kwenye nature utasikia oo unajua sisi wanaume kuchepuka ni nature tu ila tunawapenda teh!
 
Kumbe mkuu ulimsomesha kabisa...

Kikao cha mwisho cha wanaume pale Namtumbo,, katibu alisisitiza sana hili jambo kuwa mchumba hasomeshwi...

Wewe ukaona anaimba ngonjera...
Pole sana mkuu..
Wanawake wa sasa hakuna sehemu utaenda na ukashinda... Jamii iko upande wao....
Ukimfumania,,, utaambiwa ulikuwa humkazi vizuri
Asipokuheshimu,, utaambiwa hujaishi nae kwa akili
Akiwa malaya,, utaambiwa hukumridhisha..
Asipotimiza majukumu kama hvo,,,utaambiwa kwasabu huna madusko..

Kila kitu akifanya mwanamke,, lawama zinaenda kwa mume..

soma hiki kitabu kitakusaidia
The subtle art of not giving a F*¢.
 
Tutakwenda nao hivi hivi, usijichoshe.
 
Dooh hapo sasa ndipo ulipoharibu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uliniambia ninywe soda ila hukusema idadi, sasa mimi kosa langu nini jamani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Ningekuwa mimi ningemfungulia kesi ya madai, na kwakuonesha kwamba niko serious ninge hakikisha kesi ingesimamiwa na kibatala, mtobesya pamoja na mallya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…