Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Yaani asipoambiwa chakula tayari ni kesiπŸ˜’kweli ni jamii zilizotulea kwa mfumo huo, sorry what are those kitchen politics? Sijaelewa unataka usiambiwe chakula kimeisha?nk.
 
Muwe mnasoma na kuelewa. Msiwe mnarukia mambo bila kuelewa! Kwa hiyo mimi ndiye nilipelekwa unyago siyo? Miaka 12 haitoshi kujua kuwa kinyeo inabidi kitolewe kwenye kuku kabla ya kupikwa.


Sasa si ukae nae siku moja umfundishe badala ya kuendelea kulaumu

Wengine tunajua cz tulifundishwa kuandaa nyumbani tukiwa wadogo
Ukute ye hakupata hio fursa
 
Asilimia 80% ya wanawake humu JF wanaojikuta wanaharakati wa 50/50 na feminist wengi wao Wana sura personal tackless .! Sura za baba ,hawajawahi pendwa wakijiangalia kwa kioo Ni wanajiona madume.
Na wengi wao ndo wale waathirika wa Punyeto na vile vibomba vya chooni..! Walishajiwekea mbadala ya kumaliza nyege zao.
Dem mzuri lazima apendwe athaminiwe na automatically atajua wajibu wake kwa mme wake.
Hawa wabovu ambao hata kutembea nao njiani Ni shida au kwenda nao kwa harusi huwezi ..! hua Wana sum Kali anajua hawez pendwa kamwe.
*Hapa sizungumzii slay queen Wala wadangaji.
 
Ni kweli kuna hali hiyo pia. Ni wazi huyo mke hana tabia ya kujishusha, Ni wale wanawake ambao Mume akimwaga mboga yeye anamwaga ugali.

Ukiona Mke anakuwa hivyo unapata jibu kuwa kuna mgogoro/ uhasama kati ya mume na mke na kupelekea Mke kuhamishia upendo wote kwa watoto. Hivyo Jambo lolote utakalowarekebisha au kuwakataza watoto, yeye Mke lazima atakuwa kinyume nawe. Naikumbuka hali kama hii ilijitokeza sana kwa wazazi wangu siku za nyuma.

Utakuja kushangaa pale Mume akianza kurejesha upendo kwa mkewe na kufurahia yote ayafanyayo, Mume akiwachapa watoto au kuwasema na mke nae anakuwa upande wa Mume kuwakaripia watoto.
 
Umeandika ukweli michepuko na kukosa uaminifu ndio huleta ukaidi, na kama no michepuko it's easy to reconcile
 
Kwa wale ambao wanaishi mazingira yanayohitaji Mwanaume kupelekewa maji bafuni nashauri wanawake endeleeni kuwapelekea wanaume wenu maji bafuni maana kwa kufanya hivyo ni sehemu ya kuonesha mahaba na mapenzi.

Mwanamke umeitwa kuwa mlezi wa familia kama jukumu la msingi.

Iwapo umeolewa na aina ya Mwanaume anayeteka apelekewe maji bafuni (Mwinyi) mpelekee tu kwa furaha huku ukiona fahari kumtumikia mumeo bila manung’uniko may lawama.

Usimlinganishe mume wako na wa jirani yako maana hawafanani walivyokuzwa na kulelewa mazingira yalikuwa tofauti.

Marriage couples are unique in most cases, we should not treat all the same apart from all things which are in common but modalities can differ!

The one who read must understand.
 
Kwa mambo unayopenda ulitakiwa uoe mama wa nyumbani...

U cant have a corporate lady and a house wife at once
Kuna vitu utakosa
ht km hana dinner meetings

Natamani tungesikia upande wa mkeo
Ukute matumizi ulikua hutoi dada akaona apambane na kazi aingize hela aweze kuishi
 
Jibu hoja achana na ku attack vitu personally umefilisika kihoja, jf sio beauty pageant useme wanabagua wachangiaji wewe mrombo au umeshalewa Ile chang'aa inayowamaliza wanaume nguvu za kiume huko ROMBo ndio maana mke kakukimbia, usituchafue wanawake wa humu kwa kujificha na sura mara tackle that's very low to a great thinker.
Hoja hujibiwa kwa hoja
 
Muwe mnasoma na kuelewa. Msiwe mnarukia mambo bila kuelewa!

View attachment 2037959
Umemchukulia hivyo
Na km ushajua udhaifu wake
Acha mambo ya kupika yafanywe na binti wa kazi ambae mshamfundisha

Ama section ya kuku na samaki afanye dada
Mama afanye anayoyaweza zaidi

Ama unahisi wewe as a husband and father uko kamili gado kila sehemu 100%??
Mkeo angefunguka hapa tungeshangaa
 


Je umewezaje kuyafahamu hayo usemayo?

Je umetumia kipimo gani kujua hayo ili yamkini tuweze kusadiki uyasemayo?

Tafadhali elezea kwa kina.
 
Mwanaume machine napo msingi, ukiwa unampiga mkeo mkuyenge na kumkojoza hata kugombana kutaisha kabisa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe ugomvi sio wa pesa tu! Nafikiri ifikie wakati ndoa ziwe kwa ajili ya starehe za ngono tu kila mtu aishi kwake tu...
 
Mwache aendelee kupika tu wakati mke anajua kabisa ni uzoba anaofanya kisha atavuka mitaa aende akampikie mwalimu wake wa GYMπŸ˜…
 
Ok, mama. Ngoja nijaribu miaka mingine 12 tukiwa hai. Kwamba Watanzania wote mil 60 wanaweza kuwa na housegirl ni assumption nzuri! Sasa house girl wa house girl atatoka wapi, Malawi?
 


Kwa taarifa yako unapaswa kufahamu kuwa hakunaga Mwanamke mbaya kwa sura au vyovyote [emoji108]

Mwenyezi Mungu ameumba kwa uzuri na kupendeza.

Usitake kukosoa kile Mungu alichokiumba kwa ukamilifu ukamkufuru wewe.

Kila Mwanamke ni mzuri .

Sometimes hutegemea anavyojiweka na matunzo tu.

Wewe Yani nachelea kusema ni mtu wenye wa aina fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…