Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Si kweli kufanya kazi ka punda sio kigezo Cha usafi, usafi ni hulka tu ya mtu, Yani na watoto watatu au wanne, niwafanyie hayo, yote, nipike, nideki bado watoto hawajalia nijichoshe Ili nionekane mke mwema never kwa kweli naamini kwenye ku delegate powers, maisha mafupi kujitesa better find two nannies, na siwezi acha kufanya kazi ya kuingiza hela niwe busy na kazi za nyumbani siwezi kabisa aisee
Kuwa active ni kigezo namba moja cha mtu msafi, ukiwa mtu wa kukaa kaa tu naamini hata usafi wako wa ndani ni wa mashaka sana, mtu anayetumatuma ovyo ni mvivu naturally hivyo hata usafi binafsi hawezi.

Tulee watoto, tusaidiane majukumu, nyumba sio ya mmoja na watoto sio wa mmoja.
 
Jamani nimeufatilia huu mjadala Kwa karibu sana, wanaume mmefunguka, mmelalamika, Ila Naomba niulize, unalalamika mkeo hakupikii, hapangi nyumba, ni lini ulimsifia mkeo Kwa hizo shughuli? Jamani udhaifu WA mwanamke ni masikio yake, maneno matamu yanaweza kumfanya mke awe mtumwa wako na awakane hata ndugu zake.
Mimi huyu mbaba Kwa kweli nashukuru, anajua kuappreciate....nikimpikia ananisifia, si ofisini kwake, si Kwa ndugu zake wote wanajua mkewe anajua kupika😂...
Pia ananihamasisha, kidogo mara kanisuprise oven, mara mashine ya kusagia Nyama, mara food processor....Kwa nini nisimpikie hata Kama narudi kazini saa Saba ya usiku?
Sasa wewe huna muda WA kununua viamba upishi, unasubiri acheze vikoba anunue kisha unataka upikiwe....😂😂

Wanaume mjiangalie mnajikwaa wapi, wengi mna visirani viso msingi.
 
Nashangaa hii mada ni kwaajili ya WANAUME WALIOKOSEA KUOA... Lakin yanakuja manamake manungayembe yaliyoshindikana kwa tabia zao chafu huko... inawezekana hata na yenyewe yameisha achika huko na sasaiv ni masingo maza, yanatetea ukubuhu wao kwa nguvu sana 🚮🚮🚮 Idiots!!
 
Samahani mkuu...
Hauna mdogowako wakike Kama wewe...😋
 
Nashangaa hii mada ni kwaajili ya WANAUME WALIOKOSEA KUOA... Lakin yanakuja manamake manungayembe yaliyoshindikana kwa tabia zao chafu huko... inawezekana hata na yenyewe yameisha achika huko na sasaiv ni masingo maza, yanatetea ukubuhu wao kwa nguvu sana 🚮🚮🚮 Idiots!!
Mkuu, ebu punguza hasira kwanza..😜
Kwani skuzile haukuepo kwenye kikao..☹️
 
Wanaturudishaa nyuma, kwa hiyo ule muhutasari tunarudia?
Naona mwenyekiti anatakiwa atangaze kikao cha ghafla, na siku ya kikao atakae lewa/chelewa hato ruhusiwa kushiriki kikao aiseeee...😕
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ni kweli hili ni janga na hyo inferiority complex huwafanya muanze kuwanyanyasa wanawake zenu kihisia na kuwa control too much, kiasi mkifikiri mnajenga kumbe mnaharibu na hizo gubu zenu.
Unajifanya kutoa ushauri hapa lakin inawezekana wewe ni msimbe na singo maza, na hauoleki ( Nungayembe)
 
House girl ni house keeper.

Uzoefu unaonesha kutoeleweka kabisa kwa kazi za yaya majumbani.

Sasa nawapa take home assignment mka google muone majukumu ya house keeper ni yepi?!

Kinachotakiwa ni mke ndani ya nyumba kuwa meneja/supervisor wa kazi zote za ndani baba baba akiwa Director.

Kuwa close supervisor maana yake unatakiwa uwe unashiriki kwenye utendaji wa activities husika mara kwa mara kwa kadiri iwezekanavyo kivitendo.

Na mke anatakiwa asijisahau kila wakati chakula kiwepo mezani kwa wakati na kwa ubora ambao angepika yeye.
House girl anafua mpaka boxer za baba mwenye nyuma na chupi za mama mwenye nyumba.
 
Jamani nimeufatilia huu mjadala Kwa karibu sana, wanaume mmefunguka, mmelalamika, Ila Naomba niulize, unalalamika mkeo hakupikii, hapangi nyumba, ni lini ulimsifia mkeo Kwa hizo shughuli? Jamani udhaifu WA mwanamke ni masikio yake, maneno matamu yanaweza kumfanya mke awe mtumwa wako na awakane hata ndugu zake.
Mimi huyu mbaba Kwa kweli nashukuru, anajua kuappreciate....nikimpikia ananisifia, si ofisini kwake, si Kwa ndugu zake wote wanajua mkewe anajua kupika[emoji23]...
Pia ananihamasisha, kidogo mara kanisuprise oven, mara mashine ya kusagia Nyama, mara food processor....Kwa nini nisimpikie hata Kama narudi kazini saa Saba ya usiku?
Sasa wewe huna muda WA kununua viamba upishi, unasubiri acheze vikoba anunue kisha unataka upikiwe....[emoji23][emoji23]

Wanaume mjiangalie mnajikwaa wapi, wengi mna visirani viso msingi.
Mamy K wewe utakua Ni mzuri unapendwa na kupendeka pia ndo maana unafanyiwa yote hayo..! Nikisema mzuri namanisha mzuri wa kila kitu heshima busara nk....! Hawa wanawake wanaoleta porojo za 50/50 Ni wabovu Kuanzia sura na kila kitu na hawako kwenye ndoa ma single maza walijochokea na maisha na hamna wa kuwapenda
 
Back
Top Bottom