Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Kuwa active ni kigezo namba moja cha mtu msafi, ukiwa mtu wa kukaa kaa tu naamini hata usafi wako wa ndani ni wa mashaka sana, mtu anayetumatuma ovyo ni mvivu naturally hivyo hata usafi binafsi hawezi.

Tulee watoto, tusaidiane majukumu, nyumba sio ya mmoja na watoto sio wa mmoja.
 
Jamani nimeufatilia huu mjadala Kwa karibu sana, wanaume mmefunguka, mmelalamika, Ila Naomba niulize, unalalamika mkeo hakupikii, hapangi nyumba, ni lini ulimsifia mkeo Kwa hizo shughuli? Jamani udhaifu WA mwanamke ni masikio yake, maneno matamu yanaweza kumfanya mke awe mtumwa wako na awakane hata ndugu zake.
Mimi huyu mbaba Kwa kweli nashukuru, anajua kuappreciate....nikimpikia ananisifia, si ofisini kwake, si Kwa ndugu zake wote wanajua mkewe anajua kupika😂...
Pia ananihamasisha, kidogo mara kanisuprise oven, mara mashine ya kusagia Nyama, mara food processor....Kwa nini nisimpikie hata Kama narudi kazini saa Saba ya usiku?
Sasa wewe huna muda WA kununua viamba upishi, unasubiri acheze vikoba anunue kisha unataka upikiwe....😂😂

Wanaume mjiangalie mnajikwaa wapi, wengi mna visirani viso msingi.
 
Nashangaa hii mada ni kwaajili ya WANAUME WALIOKOSEA KUOA... Lakin yanakuja manamake manungayembe yaliyoshindikana kwa tabia zao chafu huko... inawezekana hata na yenyewe yameisha achika huko na sasaiv ni masingo maza, yanatetea ukubuhu wao kwa nguvu sana 🚮🚮🚮 Idiots!!
 
Samahani mkuu...
Hauna mdogowako wakike Kama wewe...😋
 
Mkuu, ebu punguza hasira kwanza..😜
Kwani skuzile haukuepo kwenye kikao..☹️
 
Wanaturudishaa nyuma, kwa hiyo ule muhutasari tunarudia?
Naona mwenyekiti anatakiwa atangaze kikao cha ghafla, na siku ya kikao atakae lewa/chelewa hato ruhusiwa kushiriki kikao aiseeee...😕
 
Reactions: Lee
Ni kweli hili ni janga na hyo inferiority complex huwafanya muanze kuwanyanyasa wanawake zenu kihisia na kuwa control too much, kiasi mkifikiri mnajenga kumbe mnaharibu na hizo gubu zenu.
Unajifanya kutoa ushauri hapa lakin inawezekana wewe ni msimbe na singo maza, na hauoleki ( Nungayembe)
 
Ni kweli hili ni janga na hyo inferiority complex huwafanya muanze kuwanyanyasa wanawake zenu kihisia na kuwa control too much, kiasi mkifikiri mnajenga kumbe mnaharibu na hizo gubu zenu.
Unajifanya kutoa ushauri hapa lakin inawezekana wewe ni msimbe na singo maza, na hauoleki ( Nungayembe)
 
House girl anafua mpaka boxer za baba mwenye nyuma na chupi za mama mwenye nyumba.
 
Mamy K wewe utakua Ni mzuri unapendwa na kupendeka pia ndo maana unafanyiwa yote hayo..! Nikisema mzuri namanisha mzuri wa kila kitu heshima busara nk....! Hawa wanawake wanaoleta porojo za 50/50 Ni wabovu Kuanzia sura na kila kitu na hawako kwenye ndoa ma single maza walijochokea na maisha na hamna wa kuwapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…