Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Labda Dada Zako Mkuu.

Acha wazalishwe wivu wa nini, ulitaka uzalishwe na wewe?

Utapigwa miti tu na mimba hubebi.

#emperor my ass kuja na lingine am ready.
Peleka huko usingo maza na kuzalishwa nyumbani..hakuna mwanaume anaweza kufunga safari na ndugu zake wa heshima kuja kutoa mahari kwa takataka kama wewe. Msipotoshe mabinti wengine wenye maadili yao
 
Peleka huko usingo maza na kuzalishwa nyumbani..hakuna mwanaume anaweza kufunga safari na ndugu zake wa heshima kuja kutoa mahari kwa takataka kama wewe. Msipotoshe mabinti wengine wenye maadili yao
Wenyewe watapima na watachagua kama wazalishwe kama mashangazi zako au watasoma na kujiendeleza kimaisha na kuchagua wanaume wanaoendana nao.
 
Na njia nzuri ya kupongeza msichana wa kazi ni kumla.unapandisha daraja, ukiweza mtafute chumba mpangishe. Huduma zifuate kulekule
 
Uzi ufungwe maana umemaliza yote
 

Hata kununua washing machine hawataki wanataka mke afue wakati zipo hadi za laki nne
 
Sasa ulikua unashindaje kesi na wewe sio mwanasheria na kapuku?
 
Teh watakuambia uliona wapi kiongozi akaendelea kupiga kampeni hata baada ya kuchaguliwa? Hayo yote wameshaambiwa ila wanashupaza shingo tu!
Basi wasilalamike, mke kuwekwa ndani hakuondoi hulka ya kike kupenda kusifiwa...jamani Mimi huyu Baba kaniteka hapo tu, naweza kupika akala, akatoka mara unaona SMS, "mke wangu chakula kilikuwa kitamu", guess what, akirudi ananikuta mlangoni nimemuandalia juice ya tende na maziwa....
Wanaume tupeni hamasa, yashibisheni masikio yetu Kwa maneno matamu, maneno tu..
 
Na ndo sababu nikasema ushamba mkuu! Ogopa sana kuwa na mke mwenye mashosti ni hatari kwa afya ya ndoa... Mke wangu mimi ndo rafiki ake yani akitoka job anakuja officen kwangu tunakaa mpaka muda wakufunga ndo tunasepa dereva wake kazoea anamshusha hapo officen kwangu yeye Mbele....!!!! Kuwa na Pesa au elimu haimaanishi usitimize wajibu kama mke au mama lakini wanahitaji msaada wetu zaidi" yani usimfanye mtumwa na wewe saidia kama anapika wewe fua maana sisi ndo tunavyoishi om dada ni kwaajili ya mtoto na vikazi vidogo vidogo lakini izo heka heka nyingine tunasaidiana!!!! Sasa sijui maybe na mimi ipo siku nitayaona haya yanasemwa hapa ya wasomi

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ