Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hiiiiiiiiiih..., hao wanawake wanaowatuma kazi na mnafurahia ni kawaida au kuna namna akili zenu zimechezewa?

Swala la kumsaidia wife naweza kufanya kwa natakiwa yangi mwenyewe tu, na haliwezi kabisa kutokea kwakua wife kataka. Eti baba fulani leo fua nguo mimi nipike...πŸ˜„ (Kwanza hata mwanamke mwenyewe hawezi kukuruhusu kufanya kazi za ndani kama anajitambua).

Ukinikuta napika(hii huwa ni fantasy yangu), nafua, au kazi nyingine unusual basi ujue nimetaka mwenyewe tena kwa kumlazimisha wife apumzike maana bila hivyo hawezi kuniruhusu kabisa. Mimi kazi yangu ni kutimiza mahitaji ya familia yangu na kupiga shoo ya maana kila ninapopata muda.

Kuishi kwa amani na mwanamke hauna ulazima wa wewe kujitoa heshima ya uume wako kufanya kila analotaka, wewe timiza majukumu yako kama mwanaume na yΓ©yΓ© atekeleze yake.

Tatizo mnaoa wanawake wasiowapenda na wanakuwa after vitu fulani kwenu na sio mapenzi ndomaana baada ya miaka 2 tu mwanamke kashakuchoka na hawezi kukufanyia kazi bila kunung'unika.

Uoe mwanamke anaekupenda, unatimiza kila kitu vizito (pesa + migegedo) alafu utumwe kazi???

Vijana acheni huo ujinga, ndomaana hΓ’ta wazee wamebaki kuwashangaa tu.
 
Mrombo wapi huyu fala wa bukoba... kuchafuana tu. Humu wanaume wanaojipaishaga tunawaangalia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hela zipo.?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wabovu? Wewe uzuri wako uko wapi bloo.?? Ndo mnachoweza kukandia wanawake wanaoweza kuwalisha kuanzia ukoo wenu mpaka na majirani? Halaf wa kwkao uliyemuumba yuko wapi?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu
Naona mke amekukamata vilivyo...mume anaanzaje kufua na kupika ikiwa mke yupo mzima wa afya kabisa?
Amemkamata wapi, haya ndo mapenzi yanayotakiwa!

Huyu mwanaume ni mjanja na atakula vinono kwa mke wake mpaka basi!

Mwanamke ukimuwezea na hizi care ndogo ndogo ni umemuwin milele, utapendwa mpaka ujishangae[emoji848]

We endelea kukaa kibabe, utakutana nayo mbele huko
 
Halafu ishu ya kupendwa watu wamependwa. It only didnt last. Hata wanaoooana ndoa hufa baada ya mapenz kufa. Mapenzi hayaangalii sura wala nyoko nyoko... kucrash wanawake kwa outlook zao ni kwa small boys wasiojielewa. ... men are supposed to be gently. Musijipe sana umuhimu kwa watu. Halaf sasa unakuta anayekupenda humpendi. Na unayempenda hakupendi. Vice versa is true. Kila mtu ana mtu wake ampendaye.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Niko hapa kumpa cariha backup[emoji23][emoji23][emoji23] ishu si matukio maana waweza pia kuwa mpiga matukio ungali ukijiona mwema.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
House girl anafua mpaka boxer za baba mwenye nyuma na chupi za mama mwenye nyumba.


Mnh hiyo sasa itakuwa dhambi jamani kuwafanyisha kazi za namna hiyo watoto wa watu.

Hata kama mke amejifungua au anaumwa bora kumuomba ndugu yake wa damu amfulie na siyo yaya jamani!

Yani mtu anashindwaje kufua nguo za ndani ?

Unaloweka na sabuni kisha unafikicha kidogo na kusuuza kwa maji mengi na kuanika juani.
 
Wanaume wengi wana mtazamo wa kale just imagine this century kuna washing machine badala ajiongeze aweke ndani mkewe asiteseke
Au wakae chini wazungumze anataka nini yeye anakimbilia kumdunda ona alichofaidika
 
Kuna namna nimekugusa au ndo umekuja kuwapa wenzio backup?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…