Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hiiiiiiiiiih..., hao wanawake wanaowatuma kazi na mnafurahia ni kawaida au kuna namna akili zenu zimechezewa?Na ndo sababu nikasema ushamba mkuu! Ogopa sana kuwa na mke mwenye mashosti ni hatari kwa afya ya ndoa... Mke wangu mimi ndo rafiki ake yani akitoka job anakuja officen kwangu tunakaa mpaka muda wakufunga ndo tunasepa dereva wake kazoea anamshusha hapo officen kwangu yeye Mbele....!!!! Kuwa na Pesa au elimu haimaanishi usimize wajibu kama mke au mama lakini wanahitaji msaada wetu zaidi" yani usimfanye mtumwa na wewe saidia kama anapika wewe fua maana sisi ndo tinavyoishi om dada ni kwaajili ya mtoto na vikazi vidogo vidogo lakini izo heka heka nyingine tunasaidiana!!!! Sasa sijui maybe na mimi ipo siku nitayaona haya yanasemwa hapa ya wasomi
Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Swala la kumsaidia wife naweza kufanya kwa natakiwa yangi mwenyewe tu, na haliwezi kabisa kutokea kwakua wife kataka. Eti baba fulani leo fua nguo mimi nipike...😄 (Kwanza hata mwanamke mwenyewe hawezi kukuruhusu kufanya kazi za ndani kama anajitambua).
Ukinikuta napika(hii huwa ni fantasy yangu), nafua, au kazi nyingine unusual basi ujue nimetaka mwenyewe tena kwa kumlazimisha wife apumzike maana bila hivyo hawezi kuniruhusu kabisa. Mimi kazi yangu ni kutimiza mahitaji ya familia yangu na kupiga shoo ya maana kila ninapopata muda.
Kuishi kwa amani na mwanamke hauna ulazima wa wewe kujitoa heshima ya uume wako kufanya kila analotaka, wewe timiza majukumu yako kama mwanaume na yéyé atekeleze yake.
Tatizo mnaoa wanawake wasiowapenda na wanakuwa after vitu fulani kwenu na sio mapenzi ndomaana baada ya miaka 2 tu mwanamke kashakuchoka na hawezi kukufanyia kazi bila kunung'unika.
Uoe mwanamke anaekupenda, unatimiza kila kitu vizito (pesa + migegedo) alafu utumwe kazi???
Vijana acheni huo ujinga, ndomaana hâta wazee wamebaki kuwashangaa tu.