Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Tusi la nguoni😅 hiloHuna hela wewe usingekuwa unalalamika kufuliwa nguo na mkewe kwa mikono, hayo ni malalamiko ya wanaume wasio na hela, wenye hela wanapeleka kwa dry cleaners
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusi la nguoni😅 hiloHuna hela wewe usingekuwa unalalamika kufuliwa nguo na mkewe kwa mikono, hayo ni malalamiko ya wanaume wasio na hela, wenye hela wanapeleka kwa dry cleaners
Mvurugano tu😅!!!Na mimi nishachoka kuchangia michango ya harusi..ofisi ninayo fanyia kazi ndoa nyingi zimesha enda ali jojo.
Ndani ya ndoa ni kushindana tu kila mtu anataka kuwa juu mwanamke hataki kushuka kisa ana kazi na mshahara na mwanaume nae anataka aonekane ndiyo father house.
Fanya kazi acha kuchati mrembo.Hahaha na hiyo mbege ole wake iwe ngera. Tutamuua. Na kuosha magari yetu...
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Huu ndio uhalisia ambao hata mimi naelewa na hio inachagizwa na upendo baina yenu😅!Hiiiiiiiiiih..., hao wanawake wanaowatuma kazi na mnafurahia ni kawaida au kuna namna akili zenu zimechezewa?
Swala la kumsaidia wife naweza kufanya kwa natakiwa yangi mwenyewe tu, na haliwezi kabisa kutokea kwakua wife kataka. Eti baba fulani leo fua
[emoji23][emoji23] yewomiiii... ama apandishwe esther luxury. Pia hela ya kula njiani tumpe. Siyo kila mtu ameshuka rock hill kula ila yeye analinda mizigo ya kwneye basi mwishowe aibeee... watakuuliaaa hapoNa huyu shirima inabidi tumchangie nauli ya kupanda Tilisho au Dar express ya kuelekea rombo tena hyo Dar express iwe Ile VIP tumpe na hela ya nyama na mbege kabisa ya kutumia kipindi cha xmass asije enda huko akaishia tu kutumwa tumwa na watu wenye hela zao.
[emoji23][emoji23] Hafu ujue madai mengine ya kupelekwa maji ya kunywa ni uvivu tu wa wanaume why awe anapelekwa yeye tu na yeye hamupelekei maji ya kunywa, na hili la kunawishwa mikono sikuhizi kuna masink kabisa why ubebe maji kwa jagi la plus kitu ambacho ni uchafu
Hakuna michambo bobuuu... tunaelekezana tu. Wewe hujambo nini?[emoji23][emoji23]Mchaga na kuchamba wapi na wapi, unatutia aibu watu wa kaskazee, sisi ni hoja michambo unajua inatoka wapi! Acha hizo habari mtoto mzuri...
Exactly. Maisha yametufunza sana. Hawafundishiki hawa. Hawaeleweki.. hawanaga shukrani majority yao..mpandiahe chat atoboe uone cheche zakeMwanaume usijiloge umpe hela au umsaidie majukumu atalemaa na nyingine atahonga michepuko
Eeh, shogaaa, ukiwa huna ajira hakuna anayekushobokea. Pata sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kila mtu anakutakaaa.... mi nimeamua kuwa mchoyo kwa sasa.Hafu wengi humu wanadaganyana wanaume wanapenda wanawake wenye kazi vile wao ni wavivu, hafu humu wanaponda wanawake wafanya kazi
Exactly. Maisha yametufunza sana. Hawafundishiki hawa. Hawaeleweki.. hawanaga shukrani majority yao..mpandiahe chat atoboe uone cheche zake
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Na tutaijaza duniaaa. Kazi iendeleeYani kazi yetu kuzaa then wanatukana tena kwa jukumu letu kuu la kuja duniani
Hapana BILGERT. Mimi namtaka BILL GATES.[emoji119][emoji23][emoji23]Nakuomba Inbox Miss Pablo.
Wewe, nina vitega uchumi vya kutosha. Nakusanya pesa mida hii wewe[emoji23][emoji23]Fanya kazi acha kuchati mrembo.
Bebe, naomba plz, hiyo bajet haitoshi ongeza bidii[emoji23][emoji23] naomba uniwowe...cariha miss pablo
Leo Niko busy Sana Jana ilikua holidays tutaonana kesho nyie wachaga toleo la mwisho kabisa.Endelea kubwabwaja maneno ...! We cariha nimeona comment yako kua Jana ulikua unaongea na babe wako aisee nimecheka Sana wewe na Mwanaume wapi na wapi?
Phaller kwelioi... nani wa kutegemea pesa za kuhongwa? Ijapokua pesa ya kuhongwa nayo tamu sana. Nihonge basiMna hela nyie? Hela za kuhongwa mnakuja kutusumbua humu JF.
Hahahahahahahah hiki kizazi kilichosomea Christ the King, wakaenda Kenton kisha St. Matthew hapo tegemea maumivu kama ndio mke unatarajia kuoa.Kiufupi kazi za kumsaidia wife pia zipo yani siwezi KUOSHA VYOMBO...KUPIGA DEKI NA KUFUA labda awe anaumwa otherwise atafanya tu hasa ikitokea beki 3 akizingua akasepa na mimi mwanamke wangu sio Mvivu na anapenda Usafi pia anajua kupika sana.
Kuna vitu kama kujipakulia chakula sijui kuletewa maji ya kunywa naona havina mashiko kabisaa vifanyike kwa mahaba sio kwamba ndio utaratibu hapana. Msome mwanamke wako kabla ya kumuweka ndani tengeneza mazingira ya yeye kufanya hizo kazi kabla hujamuoa ASIPOLALAMIKA bhasi huyo umepata ila ukipata mwanamke hata Kutandika kitanda kazi yani utaosha vyombo na kuwa beki tatu ukimuoa.
Mkuu sifui nguo aisee naweka kwenye machine huko, hata kuogesha na delegate power Mimi, aisee kwanini nijitese wakati I can pay someone to assist me, Yani nijichoshe makazi yote ya nini aisee, Mimi in nature sipendi kujichosha sana bana,
Mmeanza na challenge kabisa😅Twendeni twitter tukachague wanawake leo wana challenge ya the flag the face. Mimi nimewaona watatu wapole sana, twendeni
Hongera sana Miss Pablo. Wanawake kama nyie ndiyo mnatakiwa.Wewe, nina vitega uchumi vya kutosha. Nakusanya pesa mida hii wewe[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Phaller kwelioi... nani wa kutegemea pesa za kuhongwa? Ijapokua pesa ya kuhongwa nayo tamu sana. Nihonge basi
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app