Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Huna hela wewe usingekuwa unalalamika kufuliwa nguo na mkewe kwa mikono, hayo ni malalamiko ya wanaume wasio na hela, wenye hela wanapeleka kwa dry cleaners
Tusi la nguoni😅 hilo
 
Na mimi nishachoka kuchangia michango ya harusi..ofisi ninayo fanyia kazi ndoa nyingi zimesha enda ali jojo.
Ndani ya ndoa ni kushindana tu kila mtu anataka kuwa juu mwanamke hataki kushuka kisa ana kazi na mshahara na mwanaume nae anataka aonekane ndiyo father house.
Mvurugano tu😅!!!
Mwanamke anaona kazi yake muhimu kuliko mume, Mume nae ataki ujinga anamkata makofi tu!
Mara paap chalii
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Hiiiiiiiiiih..., hao wanawake wanaowatuma kazi na mnafurahia ni kawaida au kuna namna akili zenu zimechezewa?

Swala la kumsaidia wife naweza kufanya kwa natakiwa yangi mwenyewe tu, na haliwezi kabisa kutokea kwakua wife kataka. Eti baba fulani leo fua
Huu ndio uhalisia ambao hata mimi naelewa na hio inachagizwa na upendo baina yenu😅!

Yani kama mke anakupenda na wewe unampenda huwezi ona kero kumsaidia tena willingly..Huwezi kuta mke mwenye adabu anakulazimisha kumpikia au kukufanyisha kazi za ndani!

Pia mke kuwa best yako ni very important yani! Inafanya maisha kuwa easy sana hamna insecurities wala mambo ya kuwaza kupekuana simu sijui. Yani mnaishi kizungu sana siku unaamua tu leo jamani twendeni tukale mjini mahali flani aidha hotelini.

Guys get ready na wife anawaandaa madogo na beki tatu hao mnaingia zenu mjini.
 
cariha miss pablo
Leo Niko busy Sana Jana ilikua holidays tutaonana kesho nyie wachaga toleo la mwisho kabisa.Endelea kubwabwaja maneno ...! We cariha nimeona comment yako kua Jana ulikua unaongea na babe wako aisee nimecheka Sana wewe na Mwanaume wapi na wapi?
 
Na huyu shirima inabidi tumchangie nauli ya kupanda Tilisho au Dar express ya kuelekea rombo tena hyo Dar express iwe Ile VIP tumpe na hela ya nyama na mbege kabisa ya kutumia kipindi cha xmass asije enda huko akaishia tu kutumwa tumwa na watu wenye hela zao.
[emoji23][emoji23] Hafu ujue madai mengine ya kupelekwa maji ya kunywa ni uvivu tu wa wanaume why awe anapelekwa yeye tu na yeye hamupelekei maji ya kunywa, na hili la kunawishwa mikono sikuhizi kuna masink kabisa why ubebe maji kwa jagi la plus kitu ambacho ni uchafu
[emoji23][emoji23] yewomiiii... ama apandishwe esther luxury. Pia hela ya kula njiani tumpe. Siyo kila mtu ameshuka rock hill kula ila yeye analinda mizigo ya kwneye basi mwishowe aibeee... watakuuliaaa hapo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hafu wengi humu wanadaganyana wanaume wanapenda wanawake wenye kazi vile wao ni wavivu, hafu humu wanaponda wanawake wafanya kazi
Eeh, shogaaa, ukiwa huna ajira hakuna anayekushobokea. Pata sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kila mtu anakutakaaa.... mi nimeamua kuwa mchoyo kwa sasa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
cariha miss pablo
Leo Niko busy Sana Jana ilikua holidays tutaonana kesho nyie wachaga toleo la mwisho kabisa.Endelea kubwabwaja maneno ...! We cariha nimeona comment yako kua Jana ulikua unaongea na babe wako aisee nimecheka Sana wewe na Mwanaume wapi na wapi?
Bebe, naomba plz, hiyo bajet haitoshi ongeza bidii[emoji23][emoji23] naomba uniwowe...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi kazi za kumsaidia wife pia zipo yani siwezi KUOSHA VYOMBO...KUPIGA DEKI NA KUFUA labda awe anaumwa otherwise atafanya tu hasa ikitokea beki 3 akizingua akasepa na mimi mwanamke wangu sio Mvivu na anapenda Usafi pia anajua kupika sana.

Kuna vitu kama kujipakulia chakula sijui kuletewa maji ya kunywa naona havina mashiko kabisaa vifanyike kwa mahaba sio kwamba ndio utaratibu hapana. Msome mwanamke wako kabla ya kumuweka ndani tengeneza mazingira ya yeye kufanya hizo kazi kabla hujamuoa ASIPOLALAMIKA bhasi huyo umepata ila ukipata mwanamke hata Kutandika kitanda kazi yani utaosha vyombo na kuwa beki tatu ukimuoa.
Hahahahahahahah hiki kizazi kilichosomea Christ the King, wakaenda Kenton kisha St. Matthew hapo tegemea maumivu kama ndio mke unatarajia kuoa.

Wengi hawajazoea kazi toka wako makwao wanakuzwa na mabeki 3 tu! Kuna mtoto wa msister flani yeye yuko form 6 anasoma St.Mary Goreth huwa anatumiwa dereva wa kumfuata na kumpeleka shule hapo Moshi privately. Huyo binti hata kupika tu hajui tunamuombea mama amshikilie vyema ili aingie kwenye network ya kazini maana ikitokea hali ni tofauti 😅 niko sure 100% atazalia home tu 😅
 
Mkuu sifui nguo aisee naweka kwenye machine huko, hata kuogesha na delegate power Mimi, aisee kwanini nijitese wakati I can pay someone to assist me, Yani nijichoshe makazi yote ya nini aisee, Mimi in nature sipendi kujichosha sana bana,

Wewe atakayekuja kukuoa lazima aanzishe uzi kama huu
 
Back
Top Bottom