Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Huna hela wewe usingekuwa unalalamika kufuliwa nguo na mkewe kwa mikono, hayo ni malalamiko ya wanaume wasio na hela, wenye hela wanapeleka kwa dry cleaners
Tusi la nguoni😅 hilo
 
Mvurugano tu😅!!!
Mwanamke anaona kazi yake muhimu kuliko mume, Mume nae ataki ujinga anamkata makofi tu!
Mara paap chalii
 
Reactions: 7ve
Huu ndio uhalisia ambao hata mimi naelewa na hio inachagizwa na upendo baina yenu😅!

Yani kama mke anakupenda na wewe unampenda huwezi ona kero kumsaidia tena willingly..Huwezi kuta mke mwenye adabu anakulazimisha kumpikia au kukufanyisha kazi za ndani!

Pia mke kuwa best yako ni very important yani! Inafanya maisha kuwa easy sana hamna insecurities wala mambo ya kuwaza kupekuana simu sijui. Yani mnaishi kizungu sana siku unaamua tu leo jamani twendeni tukale mjini mahali flani aidha hotelini.

Guys get ready na wife anawaandaa madogo na beki tatu hao mnaingia zenu mjini.
 
cariha miss pablo
Leo Niko busy Sana Jana ilikua holidays tutaonana kesho nyie wachaga toleo la mwisho kabisa.Endelea kubwabwaja maneno ...! We cariha nimeona comment yako kua Jana ulikua unaongea na babe wako aisee nimecheka Sana wewe na Mwanaume wapi na wapi?
 
[emoji23][emoji23] yewomiiii... ama apandishwe esther luxury. Pia hela ya kula njiani tumpe. Siyo kila mtu ameshuka rock hill kula ila yeye analinda mizigo ya kwneye basi mwishowe aibeee... watakuuliaaa hapo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hafu wengi humu wanadaganyana wanaume wanapenda wanawake wenye kazi vile wao ni wavivu, hafu humu wanaponda wanawake wafanya kazi
Eeh, shogaaa, ukiwa huna ajira hakuna anayekushobokea. Pata sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kila mtu anakutakaaa.... mi nimeamua kuwa mchoyo kwa sasa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Bebe, naomba plz, hiyo bajet haitoshi ongeza bidii[emoji23][emoji23] naomba uniwowe...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahahahah hiki kizazi kilichosomea Christ the King, wakaenda Kenton kisha St. Matthew hapo tegemea maumivu kama ndio mke unatarajia kuoa.

Wengi hawajazoea kazi toka wako makwao wanakuzwa na mabeki 3 tu! Kuna mtoto wa msister flani yeye yuko form 6 anasoma St.Mary Goreth huwa anatumiwa dereva wa kumfuata na kumpeleka shule hapo Moshi privately. Huyo binti hata kupika tu hajui tunamuombea mama amshikilie vyema ili aingie kwenye network ya kazini maana ikitokea hali ni tofauti 😅 niko sure 100% atazalia home tu 😅
 
Mkuu sifui nguo aisee naweka kwenye machine huko, hata kuogesha na delegate power Mimi, aisee kwanini nijitese wakati I can pay someone to assist me, Yani nijichoshe makazi yote ya nini aisee, Mimi in nature sipendi kujichosha sana bana,

Wewe atakayekuja kukuoa lazima aanzishe uzi kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…