Yani shemeji ako ananituma mimi? Dunia itakuwa imefikia mwishoKwanza akikutuma mbele yangu, hâta kama hautafata lazima nikuchane kabla sijaondoka.
Anapata wapi courage ya kukutuma mbele yangu? Hebu tuweni serious kidogo.
Kwamba nifike kwako nianze kutafuta jiko lilipo nikajifatie kikombe kabatini?Unakuta wala hana tatizo la miguu,miguu yake ipo imara ila anasumbua watu wakamchukulie vikombe.
Wageni wa hivi ni mzigo nyumbani.
Hahahahah meaning you would do the inverse?😅Naaah! That was facetious qoute to my man Wyatt Mathewson ....sikuwa serious on it!
Dah mwanangu kwani pisi haipaswi kupewa vyeo hivyo?Daaah nimekupa vyeo kibao kumbe pisi tu[emoji23][emoji23][emoji23] dunia imekaa kushoto sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly [emoji817][emoji23]Hahahahah meaning you would do the inverse?[emoji28]
Mkienda kwa watu punguzeni usumbufu usio wa lazima.Kwamba nifike kwako nianze kutafuta jiko lilipo nikajifatie kikombe kabatini?
Bora umutume tu huyo mmewako aniletee hayo maji.
Wewe ulitakiwa ufate mwenyewe unajua kuna vitu mtu jihudumue kabati unaliona hapo hapo,lingekuwa halipo hapo ndio ungeomba ,mnapenda sana kutuma tumaHayo mambo wafatafanya wanaume wenu mlenda mlenda, mnaowatuma wawafulie hadi vyupi?
Mwanamke mwenye akili atamtuma mumewe kikombe kabatini mbele ya wageni, ilihali yéyé amekunja miguu juu ya sofa?
Friggin hillarious😅!!!Exactly [emoji817][emoji23]
Hahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]Wewe ulitakiwa ufate mwenyewe unajua kuna vitu mtu jihudumue kabati unaliona hapo hapo,lingekuwa halipo hapo ndio ungeomba ,mnapenda sana kutuma tuma
Sasa hapo unazungumzia suala la malezi na personal attitudes ambazo tunatofautianaSwala sio kuwasomesha aisee ishu ni mnavyo wa mould! Usidekeze mtoto wa kike hata siku moja. Muwafunze kuwa siku moja wataolewa na watatakiwa kufanya yote ambayo wanategea kufanya. Chapeni watoto wafanye kazi wazoee kazi!
Kiafrika mwanamke akiolewa household management ni kazi yake ya kudumu! Iwe usafi ama upishi na mazingira kwa ujumla. Bila kusahau malezi ya watoto.
Matokeo ya kuwadekeza ndio haya sasa mwanamke inafikia stage hata kuipikia familia anataka viwekwe vikao 😅😅😅 vya maridhiano!
Hahahah tunaomba kutambua kuwa babaako huenda ni Bhakresa au Gulam Dewji ila kama hayuko miongoni mwa hao na still alipikiwa na kufuliwa tafadhali ungekaa kimya ingefaa kusitiri ujinga wako kuliko kuuonesha hadharani!Changamoto za wanaume wanaolalamika humu ni wale ambao hawana exposures na kukosa kuwa na kipato cha kutosha Kwa hiyo waongeze bidii ktk kufanya kazi na ubunifu wa kipato ili kutoka kwenye hayo malalamiko waliopo sasa.
Halafu mwenyewe kasema kikombe kilikuwa karibu,alishindwa nini kunyanyuka na kuchukua maji?!Wewe ulitakiwa ufate mwenyewe unajua kuna vitu mtu jihudumue kabati unaliona hapo hapo,lingekuwa halipo hapo ndio ungeomba ,mnapenda sana kutuma tuma
Nakunywa soda tu bossAgiza Serengeti chui lite baridi sana, muhudumu muelekeza nilipo!
Mgeni anakuja na kuanza kuwasumbua kuwatumatuma.Hahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtu anatuma tuma kama ana ukilema hivi[emoji38][emoji38]
Before kuoa, anafua anapika anaosha vyombo na steelwire, lakin akiwa na mwanamke tu ghafla kawa kilema...
Mi hunitumi tumi asee kipuuzi[emoji57][emoji57][emoji57]
Kuwaendekeza tu...mi nashukuru sijawahi kukumbana na mwanaume ambae kawa kilema baada ya kukutana na mimi....kazi za nyumbani tunasaidiana[emoji848]Halafu mwenyewe kasema kikombe kilikuwa karibu,alishindwa nini kunyanyuka na kuchukua maji?!
Mgeni wa hivi kwangu simtaki aisee!
Mzungu wa ukweli aliniambia mna penda hela zao tu hamuwapendi wao halafu mna penda ugovi kupiganaHuyo mzungu pori uchoyoo tu unamsumbua[emoji16][emoji16]
Hahahaha upoyoyo huoMgeni anakuja na kuanza kuwasumbua kuwatumatuma.