Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mkuu unaishi ughaibuni?
 
Hatari sana
 
Oohh kwahiyo hata mwanaume awe na kipato kidogo kuliko mkewe bado atatakiwa kusimamia majukumu yake yote like kulipa bills na kumhudumia mkewe na watoto wake? Na asiulize kabisa kipato cha mke wake kinaenda wapi right?
Ndivyo inavyotakiwa baba asimame km baba mpe baba majukumu yake,shida inaanza tunataka tujipendekeze Mara ufanye hiki,Mara kile automatically atajihis inferior tuu...labda aamue kukuomba umsaidie tena sio kila itokee kwa mwaka Mara 1 au Mara 2 hivi!
Pesa yako fanyia mambo yako au kama mnachanga hakikisha yeye amezidi kea kila hatua!!
Mfanye ajiskie baba ,ukitaka kujifanya wewe ndo mwenye uwezo Mara sijui ufanye hiki unnue kile rafiki ,mtakwaruzana tu atajiona hana thamani.

Muache Annue mpk kiberiti,hii Tabia ya kujifanya eti na miye naweza kwa kua na kazi inatugharimu then tunaonekana tuna kiburi tuna jeuri n.k..!!!
Msaidie inapobidi sio ubebe majukumu ya baba au Mme!hamtaelewna never ever....!!!!Ada wewe,pango wewe,Mara sijui kila kitu kaaah,na unamuambia kama huwezi baasi ntafanya mwenyewe...hii mbaya kabisaa ndo tunapofeli hapo!
 
Being a woman isn't easy..ukikaa nyumbani utaitwa golikipa hata ukifanya majukumu yote utatafitiwa sababu

Ukienda kutafuta 'msaidiane' ukirudi bado utatafitiwa sababu na kuonekana less of a woman, ukisema umechoka unaambiwa kipato kinakupa jeuri
Mkuu ni bothways hata mwanaume huwa lawama hazikwepeki inategemea na partner gani uliyepo nae kwa wakati huo!

Kuna wanawake tunawaplease ila hawana shukurani hata kidogo😅 matatizo yake lazma akulaumu wewe tu no matter what!
 
Hongera sana!sio hawa wa kwetu!yaani mnarudi wote yy anangalia Mpira we unaingia jikoni anataka chakula cha mkewe au mpenzi wake...!
Ila naona kawaida sana mhimu maelewano pre nuptial agreement zinasaidia sana
 
Kivipi mkuu, Mimi mwanaume anayetaka eti kubebewa ndoo bafuni sijui kupika daily na nimetoka kazini kwangu naona hafai kuwa mume, zama zimechange sikuhizi wooi
I second you. Wanawake sikuhizi wanaweka dada wa kazi training ya maana ya kupika plus usafi kila kitu. Kuingia jikoni mara moja moja especially weekend mume akiwa nyumbani. Hawafui kitu labda nguo za baba za ndani na za kwake. Bado hapo mwanaume atasema ukitoka kazini nataka kula chakula chako na maji unipelekee bafuni wakati kila kitu nyumbani kipo perfect
 
Alafu siku huyo dada wa nyumban akikupindua unaanzisha uzi kusema wanaume wabaya.
 
Kivipi mkuu, Mimi mwanaume anayetaka eti kubebewa ndoo bafuni sijui kupika daily na nimetoka kazini kwangu naona hafai kuwa mume, zama zimechange sikuhizi wooi
Kwahio unataka mumeo umlishege chips kila siku ambayo hutaki kupika😅!

Nakusihi jikite kwenye kuwa demu wa mtu achana na ndoa! Muwe mnakutana weekend na kulana uroda tu
 
Shangaa sasa[emoji28][emoji28][emoji28]! Mke anapikiwa siku akiumwa sio eti kakaa anazurura instagram kidume unamenya nyanya na vitunguu!!
Sio tu akiwa anaumwa nitafanya hivyo endapo dokta kasema mke akiingia jikoni moshi wa jiko au gesi utamletea shida au kama kabisa hawezi tembea. Otherwise ni lazima aingie jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…