Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu. Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika! Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu. Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Mmmhh!daahh!no comments
 
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana ingawa nimecheka hapo kupika kinyeo Cha kuku huwa ni kitamu sana, [emoji23][emoji23][emoji23] I understand you hivo vitu vidogo dogo huua ladha ya mahusiano kabisa imagine kumuelekeza mtu mzima huwa inachosha, angalia asiwaambukize watoto ujinga maana wataalamu husema watoto hurithi akili za mama
 
Aya ya kwanza unasema ulioa akiwa corporate lady mwanasheria mwenye connection then badae unasema wewe ndo ulimlink na kumsomesha kitu ambacho kinapingana na mwanzo wako mkuu kwa jinsi hii shida ipo kwako ulioa pesa zake anyways inaonekana uyo manzi ni wale don care na wewe ni wale wanaojali flani pole kwa kuachika
Thanks Kwa ku notice huyu bwana shida ilikuwa inferiority complex
 
Pole sana kwa yaliyoikukuta mkuu. Kiukweli ni changamoto sana kuishi na mwanamke mwenye kiburi na dharau.

Ila mkuu nawewe usingemshauri akasomee uanasheria kwa mustakabali wa ndoa yenu. Unaoaje mwanamke mwanasheria labda muwe kada moja ila kama ni tofauti hao watu ni much know sana.

Kwa ambae hujaoa nakushauri usioe kwani hakuna faida yoyote ya ndoa.
 
Nataka kusema kitu kimoja

Wadogo zangu mlioolewa na msioolewa ndoa ni sacrifice kwa mwanamke!
Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke,tunafeli kutaka kua sawa na wanaume.Hiko kitu hakipo na hakitakaa kiwepo hata usome mpk wapi au uwe na mshahara billions of cash...!!!Labda uolewe na wazungu hukoo au mukubaliane kimkataba b4 hamjaona kua mtaishi kizungu zungu ila hawa wa kitanzania utaenda kazini,utarudi na utamhudumia yeye binafsi uchoke usichoke utajiju.
Ukihisi huwezi kumtake care mwanaume au unapretend ukiolewa unaonesha makucha yako mtashindwana mwisho kutafutiana lawama kuzungushana mahakamani Bure.
Kingine hakuna mwanaume anapenda mkewe amzidi kipato ikitokea ndo hvyo atakubali lakini wengi inakua shida plus mawivu na maugomvi.
So choose wisely mwenza wako,na Mungu awasimamie sana.
Ndoa ni changamoto sana,siku hizi sihukumu wanandoa mmegundua wake na waume wotee vimeo Siku hizi.
 
Miaka hii kuoa ni kujitafutia majanga yanayoweza kuepukika. Sitaki kuharibu utulivu wa nafsi, akili pamoja na uhuru nilionao nyumbani kwangu.
Upo sahihi mkuu, kuoa ni kujiweka kwenye kifungo zaidi ya gereza la ukonga..😂😂 na hata kuzaa ni uaribifu wa rasilimali na fedha unazozitafuta kwa bidii...😜😜
 
Si ndiyo hapo sasa mimi hili nitapinga miaka buku! Haiwezekani mume na mke wasaidiane kulipa bills!

Then linapokuja suala la kazi za nyumbani wote mnaenda kazini asubuhi mnarudi usiku mmechoka! Ila mkirudi mke ndiyo apike aoshe vyombo na bado afue na afanye usafi mume kumsaidia hataki na mkiweka housegirl lawama duuh!
Hz hela.zenu mnazosema mnatafuta mnachangia 50/50 ?? Au mnaishia saloon na kwa waganga
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu. Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika! Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu. Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Mkuu Kwa tatizo lako wanaume tunapaswa kukaa kikao cha dharura kukuombea..umepitia wakati mgumu sn Kwa miaka 12 na bado mambo hayajakaa Sawa

Una mke kilaza sn,pole sn mkuu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.

Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Hapo kwenye bond na chemistry nmepaelewa aisee...unaweza kuwa na demu mkali had washkaj wanakuonea wivu ila ukawa huna bond nae na chemistry hakuna..ila ukawa na demu wa kawaida tu ila mka connect vibaya mno...yameshanitokea haya mambo
 
Mimi nimgekuwa jamaa hapo ningefanya juu chini huyo mwanamkw ajione si lolote si chochote kwangu

Kwanza ningedili na hio kazi yake inayompa jeuri ningechafuaia reputy akose wateja anonymously bila yeye kujua

Pumbavu sana[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom