Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Una confuse kitu gani? Wewe ni mam mfanyakazi je ukirudi home kwako hutataka kumtengea mumeo chakula? Mi nawashangaa sana wanawake wa humu😅.

Nina cousin ni auditor wa TRA na mumewe yuko TASAC. Walianzana jamaa akiwa senior auditor TRA baadae akahamishiwa TASAC. You can imagine uhasibu ulivyo demanding ila mwanamke wakirudi wote kazini anapika wanakula na watoto wao na dada wa kazi yupo lakini😅 saingine wanakuwa hawana dada!

Sijawahi sikia yule binti wa watu akilalamika eti kupika anachoka😅 yani ni aibu na fedhea ila kuna watu humu kufanya kazi ni kisingizio kikubwa😅
Ni uvivu tu unawasumbua, hakuna lolote. 😁
 
Hakuna mwanamke asiyependa kumdekeza mumewe apatapo nafasi, ila inategemea kwa mama mfanyakazi kama atapata muda jioni ni vizuri kupika na kumtengea mume ila ikitokea amechelewa kurudi labda , mume amuelewe na asicomplicate maisha kama dada yupo basi atasaidia kupika, ila mimi sitopenda dada amsevia mume wangu chakula ntajitahidi nimsevie mwenyewe ama ajisevie mwenyewe.

Ila on weekends kupika ni lazima mama mjengo nioneshe maujuzi jikoni harufu nzuri nyumba nzima hadi baba mjengo aseme leo kaingia mama mwenyewe jikoni rahaa.😀

Ila wanaume nyie mnadeka sana eti tuwatengee chakula, maji ya kuoga wakati mlivokua single mlikua mnasugua hadi sufuria na michanga na kubeba madumu ya maji, ila ghafla umeoa basi umegeuka mtotoo huwezi hata kusogeza maji ya kuoga bafuni🤪. Ila fresh tu tunawapenda hivo hivo watoto wetu.
What a wife material!
 
Naishi hapa hapa Tz.

Ila nimeamua kuacha kuishi kimazoea na kipumbavu,haiwezekani mtu na mkewe wote wanaenda kazini alafu mtu anafosi mke akirudi aanze kupika,kufua,kushughulikia nyumba n.k sasa huyo mke au chuma ?

Ukitaka hayo mwambie asifanye kazi akae nyumbani,mtimizie kila unachoweza alafu hapo akiwa hafanyi hizo kazi ndo mtu aje aanze lawama humu
Mwanaume uliyeoa kama unapika, unafua, unadeki na kazi nyingine za nyumbani ujue wewe ni bwege... Usisingizie kazi ya mkeo, hiyo siyo excuse. Wewe ni bwege tu, ubadilike.
 
Upuuzi tu na kuiga wazee wa zamani.

Kuwekewa maji ya kuoga sio vibaya ila vibaya ni kulalamika endapo mtu hujawekewa maji ya kuoga.

Mimi upuuzi huu kwwngu siutaki.
Upuuzi wa kuwekewa maji ya kuoga.
Upuuzi wa kuagiza maji ya kunywa wakati mwenyewe naweza kwenda kuchukua hizi ni puuzi za kuachwa tu hazifai katika jamii ya kitanzania.

Maji ya kuoga unatakiwa uweke mwenyewe chooni.
One man down! 😥
 
Ila nimeshangaa sana mke hata kumpikia mume wake tuu inakuwa ni big deal eti kisa na yeye katoka kazini!!! Real!! Yaani na makichen utilities yote kwa ajili ya kurahisisha kazi za jikoni bado mtu anakuwa mvivu!! Chaaaa!
Kisingizio wametoka kazini wote... Sasa kama kazi inamzuia kutimiza majukumu yake si aiache!
 
Wanaume tuhudumie familia, wanawake nao walee familia.

Mkiamua kusaidiana ni sawa, lakini huo msaada, hasa kwa wanaume, usivuke mipaka. Kwa mfano baba mzima unapika, unaosha vyombo, unainama kupiga deki, n.k. na mkeo yupo kweli! Hii siyo sahihi.

Hebu tusipoteze uanaume wetu, na nyie wanawake msipoteze uanamke wenu. Kuwa mwanaume au mwanamke kunakuwa determined na sex pamoja na responsibilities zinazoletwa kwa kuwa na jinsia husika.

Instead of fighting for gender equality, let's be more interested in gender equity especially when it comes to division of labour.

Tuondokane na vita za wanaume vs wanawake, hazitujengi. Kila mmoja atimize majukumu yake kama mwanaume ama mwanamke.
 
Yeye ndo alikosea kuolewa na wewe.

Corporate women are not for the weak men.

Only Alphas can and believe me, a man can change a woman only if he is man enough.

Nakubaliana na wewe. Changing a woman’s perspective and attitude requires deep psychological influence.

I have done it and as we speak, nina nimeoa mke wapili mzungu, anamtambua na kuheshimu mke mwenzake vilivyo yet she (mzungu) is also a cooperate woman and she does all household chores which she wasn’t good at in the beginning.

Mwanamke anahitaji mwanaume mwenye kujitambua, msimamo, maono thabiti ya maisha na uwezo wa kusimamia anachokiamini. Huyo ndo mwanaume anayeweza kusimamisha familia na kumkalisha mwanamke chini hata kama ni wa daraja gani.

It is simply psychology.
 
Mwanaume uliyeoa kama unapika, unafua, unadeki na kazi nyingine za nyumbani ujue wewe ni bwege... Usisingizie kazi ya mkeo, hiyo siyo excuse. Wewe ni bwege tu, ubadilike.


Kuna wanaume wanakuwaga na mtazamo kama huo uloandika hapo, basi iwapo ikitokea wakaenda nchi za Ulaya na America mfano kwenda kusoma au kuishi kwa muda fulani reasonable hujifunza kuona jinsi wanaume wa jamii zile wanavyosaidiana na wake zao kazi za nyumbani na kuona kumbe ni jambo la kawaida kabisa na wala sio ubwege kama uunavyozani na wengine wa nchi maskini.!

Wengine wanarejea bongo huanza kuwaambia wake zao sababu watoto walau wamekua kiasi basi hainahaja ya kuishi na mayaya sababu ya usumbufu wao, hivyo tujipange mimi na wewe tusaidiane kazi za hapa tukishatoka kwenye shughuli zetu kisha maisha yanaenda vizuri.
 
Labda ungewashauri tuu vijana wasioe kabla hawajipanga lkn sio kuwakebehi vijana walio na kipato cha chini katika nchi yenye asilimia zaidi ya sabini ya watu wasio na ajira rasmi tia maji tia maji.
Swadakta.
Wajipange ndo waoe.
Wabebe majukumu yao.
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Pole mkuu, ndoa ni kuvumiliana wanasema
 
Kama mbele mbele yaani. Maisha ndio hayo sasa. Mungu akupe nini tena.
Sababu mwanaume alishajiandaa kuchukua majukumu yake na mie nilishajiandaa kuwa mama.
Kila mtu ana nafasi yake na majukumu yake.

Akikwama nikimsaidia haimaanisha eti ndo nianze kumpangia majukumu ya kazi za ndani sijui niache kumuandaa akiwa anatoka, sijui eti nimuambie nayeye apike sababu nimemsaidia kifedha.
Ninampikia kama sipo nitahakikisha amepata chakula kizuri amekula, ninamtengea maji ya kuoga siku zingine na kumuogesha juu ninamvalisha hii ni kila siku, ninamfulia japo siku moja anasema anafua mwenyewe na vijana wake, nainahakikisha mahitaji yake ya nje na ndani ninamtimizia, ninamsikiliza ninamuheshimu ninamuombea.
Siku anaonyesha pochi haina hela ninampa anaweka mambo yakiwa sawa ananrudishia.

Lakini hajawahi kusema sijui lipia umeme maji ada ya shule.
Sababu hayo ni majukumu yake na anayajua anapambana mwenyewe.

Chanzo cha migogoro mingi ni mwanamke kutake over majukumu ya mwanaume.
 
Kuna wanaume wanakuwaga na mtazamo kama huo uloandika hapo, basi iwapo ikitokea wakaenda nchi za Ulaya na America mfano kwenda kusoma au kuishi kwa muda fulani reasonable hujifunza kuona jinsi wanaume wa jamii zile wanavyosaidiana na wake zao kazi za nyumbani na kuona kumbe ni jambo la kawaida kabisa na wala sio ubwege kama uunavyozani na wengine wa nchi maskini.!

Wengine wanarejea bongo huanza kuwaambia wake zao sababu watoto walau wamekua kiasi basi hainahaja ya kuishi na mayaya sababu ya usumbufu wao, hivyo tujipange mimi na wewe tusaidiane kazi za hapa tukishatoka kwenye shughuli zetu kisha maisha yanaenda vizuri.
Wanakuwa brainwashed. Ni hawahawa huunga mkono ndoa za jinsia moja, n.k.

Just because kinafanywa na Wazungu haimaanishi ndiyo kipo sahihi.

Tunafeli sana.
 
Swadakta.
Wajipange ndo waoe.
Wabebe majukumu yao.
amu! Hilo ndilo Tatizo la siku hizi. Kijana less than 30 years unakimbilia ndoa ili iweje? Tulipokuwa vijana, tulielezwa kuwa kabla ya kuoa lazima ujipange! Hata ukimuoa Samia lazima ujue kuwa wewe ni provider. Lazima ujipange kiuchumi na kijamii. Kuoa maana yake ni mwanaume kuwa head of household (angalia definition ya sensa ya mwaka kesho). Huwezi kuoa wakati wewe si head of household (yaani mwanamke anakuzidi elimu, kipato, umri na madaraka) huko si kuoa bali ni kuolewa. Utaoaje uishi katika nyumba ya mkeo - hapo yeye ndiye head of the household. Hii hali ndiyo cariha anasema inachochea inferiority complex kwa wanaume hasa wanaolelewa.

Kingine acheni mawazo ya kizamani. Ukiwa unafanya kazi na mkeo anafanyakazi na anachangia pato la familia! Hapo uhead of household mnaugawana. Nyote ni wanaume ndani ya nyumba, hawezi kutoka job ati akupikie, never! Lazima muwe na housemaid na si ajabu mkawa pia na housegirl kwa ajili ya watoto. Kupika mama atapika siku anajisikia bwashee! Lazima umuone kama mwanaume mwenzio. Nitatoa mfano, mke analetwa na STL V8 nawe unaingia na Passo yako! Umwambie akuwekee maji ya kuoga? Jiongeze ili aone umuhimu wako. Ndoa tamu kabla ya kupata mtoto ila ni chungu baada ya Kupata watoto 3. Mwanaume ukioa jipange kujiongeza ili asije akakupita ukawa marioo
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Mnaambiwa mke , mchumba hasomeshwi hamtaki kuelewa, acha mnyooshwe kwanza
 
Back
Top Bottom