Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Huwezi kuhudumia by 100% ila minor stuffs kama kutenga sahani mezani mkala na familia pia ni ishu! Eti ooh si wote tumetoka kazini! Nashukuru Mungu amenipa akili tu ya ku analyze mambo kwa upana.Ndio maana nimekujibu ni mfumo dume, lakini pia inaweza kuwa kipindi hizo tamaduni za majukumu ya nyumbani ni ya mama zinawekwa kina baba walitimiza wajibu wao kwa kuhudumia familia mke akabaki na majukumu ya nyumbani tu. Lakini tamaduni hizo haziwezi kuendelea kushikiwa bango sasa hivi kipindi ambacho mke na mume wote wanatoka kutafuta. Muda unapoamua kuoa mke mfanyakazi jua tu hawezi kukuhudumia kama yule anaeshinda nyumbani full time.
Nawaonea sana huruma wanawake wa kileo yani ambao mnaendekeza usasa ila nilichogundua wengi ni wavivu by nature! Mnatafuta justifications tu za kukwepa majukumu yenu😀!
Haiwezekani eti mke ana complain kuweka chakula mezani ama kukupa glass ya maji ya kunywa au kutenga maji bafuni ambayo hata yeye hajayabandika. Housemaid kafanya yote.
Sometimes its better kukaa na housemaids kwa sisi mabachelor ukajua kabisa kuwa huyu kazi yake ni kufanya nyumba iwe safi na kupika tu! Akimaliza aache funguo aende zake. Kesho tena anaamkia usafi na kufua na kupika kisha anaacha chakula kwenye hotpot anaishia zake! Unamlipa hela tu kwa mwezi it saves alot kuliko kuwa na mtu unayemuita mke ila hawezi kufanya hata 20% ya yale ambayo anayafanya beki 3!