Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Ndio maana nimekujibu ni mfumo dume, lakini pia inaweza kuwa kipindi hizo tamaduni za majukumu ya nyumbani ni ya mama zinawekwa kina baba walitimiza wajibu wao kwa kuhudumia familia mke akabaki na majukumu ya nyumbani tu. Lakini tamaduni hizo haziwezi kuendelea kushikiwa bango sasa hivi kipindi ambacho mke na mume wote wanatoka kutafuta. Muda unapoamua kuoa mke mfanyakazi jua tu hawezi kukuhudumia kama yule anaeshinda nyumbani full time.
Huwezi kuhudumia by 100% ila minor stuffs kama kutenga sahani mezani mkala na familia pia ni ishu! Eti ooh si wote tumetoka kazini! Nashukuru Mungu amenipa akili tu ya ku analyze mambo kwa upana.

Nawaonea sana huruma wanawake wa kileo yani ambao mnaendekeza usasa ila nilichogundua wengi ni wavivu by nature! Mnatafuta justifications tu za kukwepa majukumu yenu😀!

Haiwezekani eti mke ana complain kuweka chakula mezani ama kukupa glass ya maji ya kunywa au kutenga maji bafuni ambayo hata yeye hajayabandika. Housemaid kafanya yote.

Sometimes its better kukaa na housemaids kwa sisi mabachelor ukajua kabisa kuwa huyu kazi yake ni kufanya nyumba iwe safi na kupika tu! Akimaliza aache funguo aende zake. Kesho tena anaamkia usafi na kufua na kupika kisha anaacha chakula kwenye hotpot anaishia zake! Unamlipa hela tu kwa mwezi it saves alot kuliko kuwa na mtu unayemuita mke ila hawezi kufanya hata 20% ya yale ambayo anayafanya beki 3!
 
Kuna wanaume wanaojielewa Hawa mind vitu vidogo sijui kubebewa maji sijui ku saviwa msosi kah in our family una jisevia, Sasa Hawa humu eti anavunja ndoa kisa mke alikuwa akitoka kazini hapiki Yani upendo unapimwa kwa kumugeuza mke house girl.
Hakuna mwanaume wa design hiyo unless awe analelewa na mwanamke........Yaani hata kitanda kutandika mnabishana kisa wote mnafanya kazi ? Na wewe ni wale wale , huwezi kuja kuolewa unless uoe
 
Hahaa wala hata Witie. Maisha yapo tight kwa vijana wengi lkn haimaanishi waishi nje ya utaratibu tuliokuta bali ni kujipanga na kupambana. Biblia yenyewe ipo wazi kabisa katika hili kwamba mwanaume atakula kwa jasho.
Ni kweli kabisa mkuu...maisha yamebana sana wala hili sio la kumcheka mtu bali kumsaidia kama uwezo upo
 
Kwanza mimi biashara ya kujifunika shuka moja kukumbatiana na kugusanisha matako siwezagi ,ukiona nimefanya hivyo ujue ni siku ya mechi otherwise biashara za kutiana kila siku siwezi.

Nikisogelea mwanamke akizingua huwa silazimishi natafuta mchakato wa nje mpaka atakapokuwa tayari so naweza maliza hata mwezi na wiki kadhaa sijasex na wife na hakuna shida tulishazoea hivyo toka kitambo .
Aisee! Nimesoma coment zako mimekuonea huruma,unatatizo matatizo sana ila hujijui.
 
Vingi ninavo share vinatokea kwenye jamii yangu na watu ninao wa fahamu maana NAMI ni sehemu ya jamii I must know, pia we came from different backgrounds so kila siku ni lessons Kwa vitu mbalimbali, hata hizi experience ka za mleta mada zipo zinakuta wengi just because ya kushindwa kuelewana ni nini partner wako anataka, na vilevile binadamu kinacho tu cost ni kutaka watu wazima wenzetu waishi kwenye roadmap zetu kilazima lazima misundestanding itokee watu hawataki kuchukulia madhaifu ya wengine ka watu wazima wataka mtu Aishi jinsi mtu anavyo waza yeye something which is difficult.
Above all hamna kitu kinachotesa wanaume sikuhizi ka inferiority complex kwenye mahusiano Yao wao walilelewa kuamini ni provider Sasa akipata mwanamke independent msomi na mwenye kila kitu huua confidence yake, vilevile wanaume bado mnataka turudi zama za maisha ya dark ages while we are in 21 century mie namshangaa mwanaume anayelalamika eti mke wangu yuko busy hanifulii nguo wakati sikuhizi kuna washing machine, sijui haoshi vyombo nowdays Kuna dish washing, why umtese binadamu mwenzako hata asipumzike kisa ndio umuone mke
Can you please define inferiority complex according to your understanding.
 
Huwezi kuhudumia by 100% ila minor stuffs kama kutenga sahani mezani mkala na familia pia ni ishu! Eti ooh si wote tumetoka kazini! Nashukuru Mungu amenipa akili tu ya ku analyze mambo kwa upana.

Nawaonea sana huruma wanawake wa kileo yani ambao mnaendekeza usasa ila nilichogundua wengi ni wavivu by nature! Mnatafuta justifications tu za kukwepa majukumu yenu😀!

Haiwezekani eti mke ana complain kuweka chakula mezani ama kukupa glass ya maji ya kunya au kutenga maji ambayo hata yeye hajayabandika. Housemaid kafanya yote.

Sometimes its better kukaa na housemaids kwa sisi mabachelor ukajua kabisa kuwa huyu kazi yake ni kufanya nyumba iwe safi na kupika tu! Akimaliza aache funguo aende zake. Kesho tena anaamkia usafi na kufua na kupika kisha anaacha chakula kwenye hotpot anaishia zake! Unamlipa hela tu kwa mwezi it saves alot.
Uko sahihi...mimi nilifikia kumwambia kwamba its okay kila kitu afanye houseirl lakini yeye afanye finishing tu ...yaani hata anipakulie tu chakula, au anipangie vizuri nguo zangu ambazo zimeshafuliwa lakini tuliendelea kubishana....
 
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili wenye jinsia tofauti kuishi pamoja na kutatua matatizo yatakayo tokea kwenye maisha ya hiyo ndoa yao,cha ajabu matatizo hayo waliyokubaliana kuvumiliana na kuyatatua kwa pamoja yasingetokea kama wasingeoana.
 
Ni hulka ya mtu wapo wenye madegree wanafanya hayo mambo!
Mimi nna Dada angu anamtreat mmewe kama wamekutana juzi na ana degree yake na kazi yako,akifika nyumbani cha kwanza mumewe...!
Wapo jamani!wapooo!
Shida moja tu ukitaka mke akuheshimu na kukujali usiruhusu abebe majukumu yako!
That's very true....mwanaume ukijilegeza tu eti mke akusaidie majukumu yako mwanaume utaomba poo, hataona tena ule umuhimu wako
 
Hakuna mwanaume wa design hiyo unless awe analelewa na mwanamke........Yaani hata kitanda kutandika mnabishana kisa wote mnafanya kazi ? Na wewe ni wale wale , huwezi kuja kuolewa unless uoe

Mabishano yanaanza pale ambapo mwanamke ametafuta mtu wa kuwasaidia hayo majukumu wewe unang’ang’ania afanye yeye. Kivipi Mkuu na wote mnafanya majukumu ya kulea familia??

Yaani mtu anataka mke aende kazini kama yeye na pia arudi nyumbani awe beki 3. Hapo ndo anamuona mke.
 
Hili hakuna mtu kalikataa [emoji14] swala ni kusingizia eti hata glass ya maji kumpa mumeo huwezi kisa mmetoka wote kazini! Huo ni utoto wa hali ya juu, au kupakuwa chakula mle unaona kama utumwa you must be death!
Oooh!! Hapo sasa ndio tunarudi kule kwa kuchokana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu ulomchoka hata kumuongelesha unaona taabu, hata akiongea point wewe unamuona kilaza tu!

Oaneni marafiki na kwasababu mnapendana ili hicho kipindi kikifikia atleast mtahangaika kutafuta namna za kuendelea kuwa pamoja.

Sie wengine atleast kazi hazitubani sana, natoka mapema nafika home napumzika kidogo then naendelea na majukumu mengine. Mambo ya homework za watoto, kuhakikisha uniforms ziko poa kwaajili ya kesho, kuhakikisha nao wamepata muda wa kupumzika hata kwa lazima. Na advantage kubwa niliyonayo i like cooking na nafurahia sana ninapoandaa chakula kwaajili ya familia.

Hivyo sio kwamba hatufanyi, tunafanya ila tunataka muelewe kuwa haiwezi kuwa hivyo kila siku, kuna siku ambazo inabidi tu msaada uhusike na msione kuwa tusipofanya basi hatuwapendi au tunawadharau.

Lakini kwa wanawake ambao kazi zinawabana sana inapaswa muwe waelewa zaidi, hivyo msitulinganishe kuwa mbona fulani anafanya kama ambavyo tu nanyi hampendi kulinganishwa kuwa mbona Bakhressa ni mwanaume na ni bilionea na wewe sio?
 
That's very true....mwanaume ukijilegeza tu eti mke akusaidie majukumu yako mwanaume utaomba poo, hataona tena ule umuhimu wako
Mimi mwenyewe lazima nikunyooshe aiseee yaani ujilegeze kiboya nikulee wewe na wanao.
Hakuna rangi utaacha kuona.

Mwanaume kupambana kutunza familia.
 
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili wenye jinsia tofauti kuishi pamoja na kutatua matatizo yatakayo tokea kwenye maisha ya hiyo ndoa yao,cha ajabu matatizo hayo waliyokubaliana kuvumiliana na kuyatatua kwa pamoja yasingetokea kama wasingeoana.
Hahahahahah definition imebadilika sikuhizi! Ndoa ni makubaliano ya watu wawili amabapo mmoja amekubali kumhudumia mwenzie katika hali zote na ni pamoja na kuvumilia vimbwanga kibao katika safari yao ya maisha😅!

Inapotokea huyo mtu amekataa kuendelea kubeba jukumu la kumhudumia mwenzie basi ndoa ndio imefika tamati hapo😅 hamna ndoa tena ni uwanja wa vita incase wasipoachana!
 
Wale mambo yao hufanyika kisayansi baada ya tafiti, hawafanyagi mambo kienyeji kama sisi wabongo!
Kwahiyo kwa kuwa Wazungu wamekuambia ushoga ni salama na unafaa, na wewe unawaunga mkono?
 
Mwanaume uliyeoa kama unapika, unafua, unadeki na kazi nyingine za nyumbani ujue wewe ni bwege... Usisingizie kazi ya mkeo, hiyo siyo excuse. Wewe ni bwege tu, ubadilike.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwani wapi imeandikwa wajibu wa mwanamke ni kufanya kazi za nyumbani? au ni mfumo dume tu uliowekwa na nyinyi wanaume wenyewe
Siyo lazima kila kitu kiandikwe.

Mwanamke alipopewa jukumu la kuzaa kwa uchungu automatically alipewa jukumu la malezi.

Unless upingane/usiamini maandiko matakatifu na imani kama hizo.
 
Back
Top Bottom