The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ndio lazima uwepo Ili mambo yaendeKwani wapi imeandikwa wajibu wa mwanamke ni kufanya kazi za nyumbani? au ni mfumo dume tu uliowekwa na nyinyi wanaume wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio lazima uwepo Ili mambo yaendeKwani wapi imeandikwa wajibu wa mwanamke ni kufanya kazi za nyumbani? au ni mfumo dume tu uliowekwa na nyinyi wanaume wenyewe
Hata hapa tunajadili matatizo ambayo na wewe unayo ila hujijui tuu.Aisee! Nimesoma coment zako mimekuonea huruma,unatatizo matatizo sana ila hujijui.
Hawa ndo wanaosema wanaoa kusaidiana maisha ilhali wao kama wao hawataki kuwasaidia wake zao majukumu.Jibu murua
🤣🤣🤣Hehehehe huyo na mimi ntampa vichwa[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
Hayo umetaja ni mambo madogo dogo sana mtu kushindwa kufanya, ingawaje kama unasikia kiu ya maji ukiyafuata kunywa mwenyewe unapungukiwa nini? au kupakua chakula kitu gani kinakushinda kufanya hivyo? Mimi nasema kazi zile kubwa kubwa za kusema usifuliwe au kupikiwa chakula na house maid wakati mke nae anachangia pato la familia.Huwezi kuhudumia by 100% ila minor stuffs kama kutenga sahani mezani mkala na familia pia ni ishu! Eti ooh si wote tumetoka kazini! Nashukuru Mungu amenipa akili tu ya ku analyze mambo kwa upana.
Nawaonea sana huruma wanawake wa kileo yani ambao mnaendekeza usasa ila nilichogundua wengi ni wavivu by nature! Mnatafuta justifications tu za kukwepa majukumu yenu😀!
Haiwezekani eti mke ana complain kuweka chakula mezani ama kukupa glass ya maji ya kunywa au kutenga maji bafuni ambayo hata yeye hajayabandika. Housemaid kafanya yote.
Sometimes its better kukaa na housemaids kwa sisi mabachelor ukajua kabisa kuwa huyu kazi yake ni kufanya nyumba iwe safi na kupika tu! Akimaliza aache funguo aende zake. Kesho tena anaamkia usafi na kufua na kupika kisha anaacha chakula kwenye hotpot anaishia zake! Unamlipa hela tu kwa mwezi it saves alot kuliko kuwa na mtu unayemuita mke ila hawezi kufanya hata 20% ya yale ambayo anayafanya beki 3!
Mama ya misimamo yake...Mimi nisaidiwe tu tena nitafurahi sana huwa nafanya kitu nikijiskia if I don't feel doing it naacha, Yani nafanya jambo kwa kuamua na sio kuwaza Ili nisisaidiwe what I know you can't please people hata ufanyeje binadamu haturiziki, so nafanya kujifuraisha I would rather allow my partner kufanya anachojiskia kuliko Kuni force kufanya nisichotaka kabisa.
Mume kama wewe na mke wa kipindi hiki hiyo nyumba ligi zisingeisha. ndio maana ndoa za sasa hivi talaka mwaka hauishi sababu wanawake wameamka na wao wanajua haki zao.Jukumu lako la msingi ni kufanya kazi za nyumbani na malezi kwa ujumla... Whatever you do, hakikisha jukumu hili unalitimiza at the expense of other issues.
Duuuh Mungu aniepushe na mwanamke wa aina hii, kwa hiyo mmeo hana shukrani, ila sidhani kama umeolewaSiwezi kutoka kazini nimechoka huko eti nianze kuosha vyombo, kupika Hadi saa nne kisa mume never on earth instead ya kutafta mtu afanye nihangaike tu Hadi nizeeke kwa kweli hapana, wote tumetoka tumeenda kazini nirudi nihangaike na yote hayo?
Maisha ni mafupi kujichosha na kazi mara kupika pika jamani Ili kufuraisha binadamu asiye na shukrani
Hahahahahah kweli kila mtu na mtuwe bila shaka ulipokuwa mdogo wakati mama yako anakutuma kila wakati ulikuwa unalalamika kwanini anakutuma tuma pamoja na kukunja sura!Hayo umetaja ni mambo madogo dogo sana mtu kushindwa kufanya, ingawaje kama unasikia kiu ya maji ukiyafuata kunywa mwenyewe unapungukiwa nini? au kupakua chakula kitu gani kinakushinda kufanya hivyo? Mimi nasema kazi zile kubwa kubwa za kusema usifuliwe au kupikiwa chakula na house maid wakati mke nae anachangia pato la familia.
Wanaume tunapotea kwa kasi sana. Na twanamke tulivyotujanja hawa wanaume mabwege tunawasifia kuwa majentlomen... Basi ubwege ndiyo unajaa. Haha...😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kukua ni Kwa aina mbili, kimwili na kiakili..Wakubwa kabisa ni watu wazima hawahangaiki na kitu
HahahahaKukata vinyeo [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mwanaume asiwe anaenda kutafta hela atakuwa na mApepo huyo, wengine watafta hela yeye yuko nyumbani kufanya kazi za house girl si mwendawazimu huyoNdio nasema ukimpata mwanaume ambae atafanya shughuli za nyumbani kama mwanamke uje kutupa mrejesho.
Eeh jamaa anaitwa jentomen anachekelea halafu upande wa pili mwanaume jeuri na mbabe anamchapia uwa lake kila akisafiri😅Wanaume tunapotea kwa kasi sana. Na twanamke tulivyotujanja hawa wanaume mabwege tunawasifia kuwa majentlomen... Basi ubwege ndiyo unajaa. Haha...
Kuna wanawake wengi tu wanaojitambua na kutimiza majukumu yao kama mke na mama. Isipokuwa feminists wachache ndiyo hawa wanaongezea kundi la single mothers kwenye jamii.Mume kama wewe na mke wa kipindi hiki hiyo nyumba ligi zisingeisha. ndio maana ndoa za sasa hivi talaka mwaka hauishi sababu wanawake wameamka na wao wanajua haki zao.
Sindio hawa mnaitaga majentromenz 😅 wanawa care sana yani!Yani mwanaume asiwe anaenda kutafta hela atakuwa na mApepo huyo, wengine watafta hela yeye yuko nyumbani kufanya kazi za house girl si mwendawazimu huyo
Labda hiyo type unayo izungumzia ww ndiyo unayo kutana nayo, ila wanaume wanaotimiza majukumu yao kuanzia kwenye kulipa mahali mpaka kutumiza majukumu yao ndani ya familia wapo wengi tu.Dah sikuhizi Hali imekuwa vice versa wanaume wanapenda kulelewa na wanawake wengi wana jishughulisha kutafta hela wanaume wao ni mwendo wa kubet tu, kwetu hata mtu ukitaka kuolewa wazazi wanauliza huyo mtu ana shughuli ya kumuingizia kipato halali na ni mzima kichwani, but unfortunately sikuhizi wanaume hawafanyi kazi na mahari hulipiwa na wanawake Sasa ukichangia na kutokujiamini kwa kukosa hela basi wanaume wanageuka toxic na kuanza kunyanyasa wanawake kila jambo basi Inakuwa dhambi kubwa
Tupo mkuu tunaojua majukumu yetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna wanawake wengi tu wanaojitambua na kutimiza majukumu yao kama mke na mama. Isipokuwa feminists wachache ndiyo hawa wanaongezea kundi la single mothers kwenye jamii.
Sasa haki ipi ambayo inaruhusu wewe kukwepa majukumu yako kama mama wa familia 😅 mbona mnajiaibisha nyie!?Mume kama wewe na mke wa kipindi hiki hiyo nyumba ligi zisingeisha. ndio maana ndoa za sasa hivi talaka mwaka hauishi sababu wanawake wameamka na wao wanajua haki zao.