Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hahaha...

Tangu mwanzo mimi ninapinga unfairness.

Mwanamke first and foremost timiza majukumu yako ya nyumbani, kazi na mambo mengine ni secondary responsibilities.

Mwanaume ahudumie familia, ila ni mwiko kufanya kazi za nyumbani unless mke wako ni incapable - anaumwa au sababu nyingine ya msingi.

Mimi ninaamini hata wewe ukienda kwa mwanao wa kiume ukute anapika, anadeki, n.k. na ameoa hautafurahia... Sasa kwanini unataka kumfanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio?

Hebu play fair bhana...

Note: Acheni kuwajaza kichwa eti ni gentlemen, sijui wapo romantic wakati deep down mnajua kabisa mnawageuza mabwege na mnawadharau kimyakimya. Haha
Kwani kupika ni dhambi yeye apike ka anataka na anajiskia kufanya hivo no problem at all, Yani awe anaskia njaa na vitu viko afe njaa akisubiria mtu amfanyie, na ka amechoka ale huko huko ashibe Cha kufia nini?
 
Nishasema sana hapa HAYA WANAWAKE WENYE VIAJIRA SIO WA KUOA, NI WA KUTAFUNA NA KUTUPA KAMA CONDOM. Haya yamemkuta mtoa mada na corporate lady. Hawa kina #cariha ni ya kutomb..a na kutupa ukijifanya kuoa haya mamtu utajuta.
Soma comments kuna mmoja amemuoa mama wa nyumban na anamkera. Usikariri
 
Shoga ukiona utumwa utasaidiwaaa
Me yoote tusaidiane lakini swala la usafi wake, kunyoa na K nitayafanya hadi kufa hata niwe nimechoka.
Ma corporate ladies hawawezi kukuelewa!......wapo corporate ladies wachache sana ambao pamoja na vyeo vikubwa maofisini ,hela nk lakini wapo down to earth wakiwa nyumbani...Humu wengi hawajielewi
 
Sawa kama kipo mezani ila meza haijaandaliwa kabisa na mke kajinyoosha anataka mume akajipakulie
Meza inaachwaje kuandaliwa jamani hiyo kitu si constant na utaratibu wa nyumbani hauwezi kuhadilika kamwe
 
"Pata hela tujue tabia yako"

Huyo mkeo hajabadilishwa na hela,position yake wala elimu yake,hiyo ndio tabia yake aliyokua nayo hata kabla hujamuoa ila aliificha tu ndio maana ulikua hujaiona,kuna watu wakipata pesa ndio unaziona tabia zao za asili,hata mtu akilewa hua anakua mwenyewe hasa,akianza matusi au kupigana sio kwamba anafanya coz amelewa,hapana ile ndio tabia yake ila hua anaificha but akisha lewa anakua out of self control.
Very possible mkuu
 
Wapo wanaume hawana shida mke akimzidi kipato.

Wanaume wanaojielewa...wanaojiamini...na wanaojua kuwa wao ni kichwa always......

Kuna wanaume wanapambana kuhakikisha si tu ndoto zao zinatimia...bali hata ndoto za wenza wao zinatimia....wanakuwa huru kwenye kipato


Ila kama ni hawa wanaume tia maji tia maji...hawajiamini...watataka always mwanamke asiwe na kipato....asiwe na kazi na kama anayo iwe ya kipato kidogo....hawa ambao hata kufua nguo hafikirii namna ya kubadilisha maisha anujue hata mashine ya kufulia... hawa ambao binti wa kazi akimwandalia chai tu anahisi binti anajua ratiba yake kuhusu mkewe.....

Itateseka sana.........


Kama ni coperate lady olewa na alpha males (in Karucee voice..... hawa wengine utaishia kuonekananuna kiburi jeuri na humuhudumii kwa kuwa tu ulibanwa na kazi yenye deadline binti wa kazi akapika chakula....(ika ndio hawa hawa wanaopangia hesabu mpaka mishahara ya wake zao)
Hapo pa wanaume tia maji tia maji nimepapenda sanaaaa.
 
Ma corporate ladies hawawezi kukuelewa!......wapo corporate ladies wachache sana ambao pamoja na vyeo vikubwa maofisini ,hela nk lakini wapo down to earth wakiwa nyumbani...Humu wengi hawajielewi
Kwenye swala la mapenzi vyeo inabidi vibaki mlangoni ziingie nafsi mbili tu ....vyeo vikiingizwa basi uasili wa neno mapenzi unakuwa haupo. Mwanaume awe mwanaume na mwanamke awe mwanamke kimajukumu ya asili. Hata uchepukaji ukiwepo kutakuwa na alama zisizofutika milele ambazo ndo zitakazia bond iliyopo.
 
Hongera kufikia hiyo hatua ya kuachana. Nina mwaka wa 17 kwenye ndoa ya mateso makubwa. Mwanamke jeuri hatari. Nimeendesha kiupole,kidini,kijeshi. Lakini wapi. Kuachana ndio hataki kabisa. Nimetumia kila mbinu,lakini anegomea ndani tu hataki kuondoka kabisa. Hongera kwako,umekiondoa kifungo cha moyo
Nashukuru, vinginevyo ningeua au ningekuwa chizi.....kweli kuna watu wanaongea tu humu lakini kuna wanawake majeuri na viburi siyo vya nchi hii....yaani inafikia kurudi nyumbani kwako unaona kama unakwenda jela?....yaani hata akiwahi kurudi au weekends au public holidays hajishughulishi na chochote zaidi ya kuwa bize na simu ,ipad nk......Wacheni nyie jamani!
 
Nishasema sana hapa HAYA WANAWAKE WENYE VIAJIRA SIO WA KUOA, NI WA KUTAFUNA NA KUTUPA KAMA CONDOM. Haya yamemkuta mtoa mada na corporate lady. Hawa kina #cariha ni ya kutomb..a na kutupa ukijifanya kuoa haya mamtu utajuta.
[emoji23][emoji23][emoji23] wanawake hatuna shida, nyie ndio mna matatizo vichwani kaoeni wanawake size yenu mtaacha kulia lia humu oooh
 
Hahahahahaha mwanamke unaoa wa nini sasa kama kazi zote unaweza fanya mwenyewe[emoji28]! Unajua lazma Gap lionekane bana kwa mjuba[emoji28] yani mke awe ame add value!

Sasa hamna value addition bado nguo unajifulia na kujipigia pasi, Unajipikia huyo mke kazi yake yeye kujimekap na kutoka na kuingia ndani kupika anataka muagiziege chips tu[emoji28]
Anajimekapu na kuvaa madera kwenda kwenye vikoba

Wakati jamaa mwenye mke kakalia kibao cha mbuzi korodani ziko nje anakuna nazi.[emoji1787]

Huyo ndio jentomeni corporate ladies wanemtaka[emoji1787][emoji1787]
 
Ndio maana nimekujibu ni mfumo dume, lakini pia inaweza kuwa kipindi hizo tamaduni za majukumu ya nyumbani ni ya mama zinawekwa kina baba walitimiza wajibu wao kwa kuhudumia familia mke akabaki na majukumu ya nyumbani tu. Lakini tamaduni hizo haziwezi kuendelea kushikiwa bango sasa hivi kipindi ambacho mke na mume wote wanatoka kutafuta. Muda unapoamua kuoa mke mfanyakazi jua tu hawezi kukuhudumia kama yule anaeshinda nyumbani full time.
Ndiyo ashindwe kujishughulisha hata weekends au holidays? anashinda kwenye simu,iPad bhaaas!?
 
Mwanaume mwenye akili hana mda mchafu kushindana na mwanamke wala hana malalamiko madogo yasiyo na kichwa wala miguu
Na kwa kuyajua hayo, tunakuwa hatuna muda wa kushinda na wanawake wenye viburi na ubeijing mwingi.
 
Hii ni rahisi kuongea ukiwa haujaowa" na ukiwa kwenye ndoa ni ngumu mno kutoka!!! Cuz kuna garama zakutoka na ndo panapokuwa pagumu maybe uwe muislam mkuu... Hii inabidi tufundishe mpaka dakika ya mwisho bila kuchoka, hawa wanawake tukienda nao speed hakuna utae weza kuishi nae mkuu

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Nimeoa na nimeacha nw single na enjoy maisha.
 
Mnaonaje badala ya kuhangaika na wanawake wa kazini wanawapasua vichwa hadi mnachanganyikwa,kwanini msioe tu wale majobless ili muwatumikishe mtakavyo na muishi bila kufanya kazi yoyote nyumbani kama walemavu!
Hayo ndio maamuzi yetu, tutaoa working class women, na watafanya kila kitu cha nyumbani...walileta fyko ni spana za kwenda tu[emoji23], msitupangie coz huyo Mungu alisema sisi tunaitawala dunia.[emoji23]
 
Typical career women' arguments here!

Mnajishaua na eti "low self esteem,mara toxic,mara narcissit,mara controlling,etc" as if ni wanaume pekee wana haya wagonjwa wao wanajitoa kwenye list!

Yaani mmejaa Feminist elements!

Hayo ni magonjwa gender zote mbili wanazo tena in equal amount sio una single out wanaume pekee...

Sasa basi,weka hoja inayo apply kwa group moja tu specific ndio tutakuelewa!
Feminists wengi kwanza ndoa zilishawashindwa.

Wanaishi miserable life kwanza unaweza note tu wana psychological disorders.

Wanawake wanaojilewa hukaa mbali na feminists.

Feminism is here for moral destruction.
 
Dah sikuhizi Hali imekuwa vice versa wanaume wanapenda kulelewa na wanawake wengi wana jishughulisha kutafta hela wanaume wao ni mwendo wa kubet tu, kwetu hata mtu ukitaka kuolewa wazazi wanauliza huyo mtu ana shughuli ya kumuingizia kipato halali na ni mzima kichwani, but unfortunately sikuhizi wanaume hawafanyi kazi na mahari hulipiwa na wanawake Sasa ukichangia na kutokujiamini kwa kukosa hela basi wanaume wanageuka toxic na kuanza kunyanyasa wanawake kila jambo basi Inakuwa dhambi kubwa
Ndiyo maana nilisema ma corporate ladies mnawezana na hao wapenda kitonga na ndiyo mnaweza mkakaa nao kindoa na si vinginevyo.Mwanamme anayejielewa hawezi akaoa ndani watu kama nyie wa mashindano...mimi nilioa wakati bado hajawa corporate lady. ELEWA HILO
 
Back
Top Bottom