Wapo wanaume hawana shida mke akimzidi kipato.
Wanaume wanaojielewa...wanaojiamini...na wanaojua kuwa wao ni kichwa always......
Kuna wanaume wanapambana kuhakikisha si tu ndoto zao zinatimia...bali hata ndoto za wenza wao zinatimia....wanakuwa huru kwenye kipato
Ila kama ni hawa wanaume tia maji tia maji...hawajiamini...watataka always mwanamke asiwe na kipato....asiwe na kazi na kama anayo iwe ya kipato kidogo....hawa ambao hata kufua nguo hafikirii namna ya kubadilisha maisha anujue hata mashine ya kufulia... hawa ambao binti wa kazi akimwandalia chai tu anahisi binti anajua ratiba yake kuhusu mkewe.....
Itateseka sana.........
Kama ni coperate lady olewa na alpha males (in
Karucee voice..... hawa wengine utaishia kuonekananuna kiburi jeuri na humuhudumii kwa kuwa tu ulibanwa na kazi yenye deadline binti wa kazi akapika chakula....(ika ndio hawa hawa wanaopangia hesabu mpaka mishahara ya wake zao)