Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Utajua hujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah Mimi na control uzazi na nitazaa mfululizo kama nitataka, kama staki sizai ng'o
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua hujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah Mimi na control uzazi na nitazaa mfululizo kama nitataka, kama staki sizai ng'o
HahahahahahahMkuu unaweza kuta sio chamgamoto za malezi
Wengi wao wamekengeuka ukubwani baada ya kuwa uwezo wa kuingiza senti mbili tatu ukichagiza ma harakati za ufeminisn ndio kabisa
Vichwa vimeota mapembe.
Hawa ndio sasa watu tunaowataka they know their places.Aisee unatumia kinywaji gani bili zote kwangu tafadhali[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanamke utaenda jikoni hili halina mjadala.
Yaani kama unajielewa nafsi itakusuta tu utasikia kisu na nyanya utaanza kazi
Wakati mimi miguu juu nabadili channel tu
Hahahahahhaha wale watu wanajua kukaa maeneo yao sanaHawa ndio sasa watu tunaowataka they know their places.
Hawa hata ukihonga range utaumja siku 2 utaishia kusema "aaaah!!! Halali yake bhana."
Niliwahi kumuonga mchepuko hela ndefu sana kisa nilipewa tu treatment fulani nilijihisi mfalme aisee maana huko nakotoka majanga tupu
Kwahiyo mimi hata Sayona hunipi? Huu no ukorofi hakika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee unatumia kinywaji gani bili zote kwangu tafadhali[emoji28]
Ofcoz hatowaza cos wewe utafanya mwenyewe voluntarily bila kushurutishwa in constantly basisKaoe type yako mkuu unaoendana maono Sasa Karne hii ya 21 unabebewa maji kwa ndoo bafuni ka si ushamba nini?
Mume wangu awaze vitu vikubwa vya kimaisha sio kuwaza mie nimubebee maji kwa ndoo maana hapo bado tutakuwa tunaishi kwenye poverty line
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo ndio maamuzi yetu, tutaoa working class women, na watafanya kila kitu cha nyumbani...walileta fyko ni spana za kwenda tu[emoji23], msitupangie coz huyo Mungu alisema sisi tunaitawala dunia.[emoji23]
Au bado anamtaka maana asingeandika hapaKuna kila dalili ya chai hapa[emoji848][emoji848][emoji848]
Hshahahh kama hujui utarudishwa kwa mama yako akufunze[emoji2][emoji1787]Wacha bwana!! Kwahiyo sie wapishi eeh? Na kama sijui kupika?
Kama hayupo?Hshahahh kama hujui utarudishwa kwa mama yako akufunze[emoji2][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie nataka yule junior aje kukunishwa nazi ili tuone kama utafurahia [emoji28] kumkuta kakalia kigoda mkewe yupo snapchat [emoji28]
Una id ngapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au bado anamtaka maana asingeandika hapa
I can't imagine bi mkubwa ananikuta nakata nyanya wakati mamsapu anasoma ubuyu wa mangeMie nataka yule junior aje kukunishwa nazi ili tuone kama utafurahia [emoji28] kumkuta kakalia kigoda mkewe yupo snapchat [emoji28]
@cariha unamaanisha wanawake wote wenye uwezo ukiwatongoza ni kwamba umefata connection na hela?Hukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.
Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Ahsante kaka!umemalizaIla mitandao inapotosha sana. Mtu anavimba hawezi fanya hiki na kile lkn kwa ground mambo ni tofauti kabisa ili mradi tuu apate attention. Tupunguze kufake life wandugu.
Shetani ni mshkaji wao tangu edenNi shetani tu ameamua kuwatumia kuharibu ndoa.
[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724] wrooooooong,,, no one can tame a wild woman,,, hata alpha haweziYeye ndo alikosea kuolewa na wewe.
Corporate women are not for the weak men.
Only Alphas can and believe me, a man can change a woman only if he is man enough.