Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mapenzi ya kudumu katika ndoa hayapo kiukweli.....Kumpenda mtu ni kwa muda mfupi na ndiyo maana mnaachana kila mtu amove on....Kwenye ndoa unahitaji heshima, busara, uvumilivu , kuondoa mihemuko na kutoangalia vitu visivyo vya msingi kuvifanya vya msingi ...
Sure ndio maana inabidi umpende mtu ka alivo na relationship Ili idumu inabidi zaidi ya upendo ibebwe na chemistry, urafiki na waswahili husema damu iendane tu. Yani mkubali mtu unconditionally mtadumu, ila ukimpendea shape sijui hela baada ya mda utaona ni utopolo tu
 
Si ndiyo hapo sasa mimi hili nitapinga miaka buku! Haiwezekani mume na mke wasaidiane kulipa bills!

Then linapokuja suala la kazi za nyumbani wote mnaenda kazini asubuhi mnarudi usiku mmechoka! Ila mkirudi mke ndiyo apike aoshe vyombo na bado afue na afanye usafi mume kumsaidia hataki na mkiweka housegirl lawama duuh!

Yan kuanzia vitabu vya dini hadi mila na tamaduni zetu waafrica,mwanamke lazima amtii na kumuheshim mume wake pia mwanamke n kiumbe ambacho kipo chini ya mwanaume.

Usinielewe vbaya yap mwanamke anauwezo wa kumshauri na kufanya vitu sawa sawa na hata kumzid mwanaume ila nafkiri ni nature ambayo Mungu katuekea wanaume.

Amini mwanaume yoyote aliyekamilika awez kukubal kuendeshwa au kua chini ya mwanamke,no matters what, sasa hapo ndo linapokuja suala la busara na hekima ya mwanamke kuweza kumvumilia, kumshauri na kuongea nae kwa upole endapo atahisi mwanamme kakosea mahali.

Bila hivyo dada hutaweza kuishi na mwanaume yoyote duniani hata kama ni baba yako
 
Amekwambia nani hizi habari ? Umezipata kwenye makongamano au kampeni ?

Mke ni pamoja na kumpikia mume. Mke si kaxi yake kuzaa tu bali analea.

Kwani kila mpishi ni chef ? Ukishakuwa na jukumu la kulea na kujimaiwa huwezi kuwa chef tena.
Sasa ka unataka kupikiwa owa huyo chef Sasa Ili akufuraishe vizuri mkuu, Mimi kazi ya kuzaa tu na kuwa na mayaya
 
Baadhi ya wachangiaje wanaume wanachangia kutokana na upeo wao wa kuelewa mambo na hali zao za kiuchumi [emoji108]

Mfano ukiona Mwanaume anasema apelekewe maji ya kuoga bafuni ujue kiwango chake cha uchumi na mazingira ni duni Kwa hiyo anashauriwa aendelee kufanya kazi kwa bidii aongeze kipato ili aboreshe makazi.

Maaana kwa wenye mazingira mazuri Mwanaume anatakiwa aende bafuni master ambako atakuta maji tayari moto na baridi achague sasa hiyo ndoo ya maji atapelekewa saa ngapi na mkewe?

Ukija wakati wa chakula Mwanaume atakae lalamika kuoshwa mikono na mkewe wakati kuwa washing basin dining room ni yule alokariri kunawa kienyeji [emoji38][emoji38]
 
Baadhi ya wachangiaje wanaume wanachangia kutokana na upeo wao wa kuelewa mambo na haki zao za kiuchumi [emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23] umemaliza na Hawa wanaume ndio wanaotesa wanawake vile hawajui sikuhizi maji hunawishi kwenye jagi na beseni Kuna sink la kunawia mikono dining, bafuni sikuhizi kuna mabomba una press hot water au cold unaogopa kwa Raha na hapo hata hugombani na mke hajakuwekea maji maana wanaume wenye vipato duni naona ndio kero sana wanaishi kijima
 
Mbona simple tu kua na happy marriage boss. Kama wewe ni me usioe a corporate bitch, kama wewe ni mwanamke na ni kicorpate au career woman ooh sorry you messed up your life bitch.
Why do you call someone by rude names? "Bitch" 🤷‍♂️you just say a woman or a lady, it sounds good.

Back to point , you would marry a corporate/career woman but she might be a wife material and vice versa is true. So tunatakiwa kufamiana vizuri kabla ya kufikia kuoana naamini kuna wasomi wastaarabu na kuna wasiosoma wasiowastaarabu pia.mke na mume Kila mtu afanye majukumu yake na panapowezekana kusaidiana kwa upendo it's well and good.
 
Hahahahahahah yani mwanamke anakuwa kama kaolewa na kazi yake[emoji28]!

Mume ndio priority ila yeye anaona mume ndio option boss ndio priority. Kimsingi ukiweza kumuachisha mke kazi aache tu akae home![emoji28]
Kazi ndio mume wa kwanza acheni masihara au hamujui mambo ya financial independence na umuhimu wake
 
House girl ni house keeper.

Uzoefu unaonesha kutoeleweka kabisa kwa kazi za yaya majumbani.

Sasa nawapa take home assignment mka google muone majukumu ya house keeper ni yepi?!

Kinachotakiwa ni mke ndani ya nyumba kuwa meneja/supervisor wa kazi zote za ndani baba baba akiwa Director.

Kuwa close supervisor maana yake unatakiwa uwe unashiriki kwenye utendaji wa activities husika mara kwa mara kwa kadiri iwezekanavyo kivitendo.

Na mke anatakiwa asijisahau kila wakati chakula kiwepo mezani kwa wakati na kwa ubora ambao angepika yeye.
 
Baadhi ya wachangiaje wanaume wanachangia kutokana na upeo wao wa kuelewa mambo na hali zao za kiuchumi [emoji108]

Mfano ukiona Mwanaume anasema apelekewe maji ya kuoga bafuni ujue kiwango chake cha uchumi na mazingira ni duni Kwa hiyo anashauriwa aendelee kufanya kazi kwa bidii aongeze kipato ili aboreshe makazi.

Maaana kwa wenye mazingira mazuri Mwanaume anatakiwa aende bafuni master ambako atakuta maji tayari moto na baridi achague sasa hiyo ndoo ya maji atapelekewa saa ngapi na mkewe?

Ukija wakati wa chakula Mwanaume atakae lalamika kuoshwa mikono na mkewe wakati kuwa washing basin dining room ni yule alokariri kunawa kienyeji [emoji38][emoji38]
Kuwekewa maji ya kuoga ,kunawishwa mikono na vyote ulivo andika Ni vitu vidogo sana kuvi quote kwenye huu Uzi.
 
Why do you call someone by rude names? "Bitch" [emoji2369]you just say a woman or a lady, it sounds good.

Back to point , you would marry a corporate/career woman but she might be a wife material and vice versa is true. So tunatakiwa kufamiana vizuri kabla ya kufikia kuoana naamini kuna wasomi wastaarabu na kuna wasiosoma wasiowastaarabu pia.mke na mume Kila mtu afanye majukumu yake na panapowezekana kusaidiana kwa upendo it's well and good.
Kati ya wananwake wachache hum JF wenye Hekima financial services mekuelewa Sana we Bibi haha[emoji23]
 
Kiongozi theories na reality ni paka na panya. Tuna miaka si chini ya 35 pamoja ila bado changamoto zipo!
You mean mna miaka 35 ya ndoa and still counting right? Aisee hongereni changamoto hazikosekani mkuu tena watu wenyewe tunakutana ukubwani kila mtu kawa raised katika misingi fulani tofauti. Hamuwezi kuwa sawa, kama mapacha wenyewe wanazinguana sembuse sisi. Muhimu ni kuchukuliana mapungufu tu. Tuone kama we are perfect with imperfections 🤗
 
Changamoto zipo palepale! Ila nilichojifunza, ndoa kama hakuna mtu kati yenu (mchepuko uwe wa kiume au wa kike), changamoto zinakabilika na maisha yanasongambele. Ndiyo maana nahusia vijana wanaotaka kuoa au kuolewa mwanaume awe kama 35 na mwanamke 30 years. Hapo watafika hata 100 wakiwa pamoja si vipande vipande
 
Yan kuanzia vitabu vya dini hadi mila na tamaduni zetu waafrica,mwanamke lazima amtii na kumuheshim mume wake pia mwanamke n kiumbe ambacho kipo chini ya mwanaume.
Usinielewe vbaya yap mwanamke anauwezo wa kumshauri na kufanya vitu sawa sawa na hata kumzid mwanaume ila nafkiri ni nature ambayo Mungu katuekea wanaume.
Amini mwanaume yoyote aliyekamilika awez kukubal kuendeshwa au kua chini ya mwanamke,no matters what,sasa hapo ndo linapokuja suala la busara na hekima ya mwanamke kuweza kumvumilia,kumshauri na kuongea nae kwa upole endapo atahisi mwanamme kakosea mahali.
Bila hivyo dada hutaweza kuishi na mwanaume yoyote duniani hata kama ni baba yako
Kubishana na huyo Bibi kizee Ni kupoteza mda mkuu ...! Kuna Uzi niliona eti Ni soja Sasa unaweza imagine
 
Mke lazima akusudie na awe full committed kwenye majukumu ya kifamilia ikiwemo idara ya chakula na usafi.

Mke aoneshe kuwa hilo ni jukumu lake isipokuwa kutokana na kazi kumzidi analazimika kufanya outsourcing lakini bado anapaswa kuwa na close supervision ili kuepuka ku-compromise na quality ya outputs kwa mume wake na members of family as whole.

Kiukweli inapendeza mke akipika chakula cha familia, chakula kilichopikwa na mama huwa kitamu ingawa siku hizi wamama wengine hata hawajui kupika vikawa vitamu wala nini [emoji3][emoji3]

Inasikitisha sana.

Unapokuwa mke kwenye ndoa halafu hujui kupika kwa viwango vya radha Tamu?!

Mtu anapika mradi vimechemka jikoni na kuwekwa viungo na kuchemka basi?! Hapana inapaswa kuwa zaidi ya hapo.
 
Hata ukienda kwenye bucha ya samaki ukawaambia watoe matumbo na magamba bado yapo yanayobaki ya kwenda kumalizia nyumbani unapowaosha kabla ya kuweka kwenye sufuria. Hakuna bucha ambayo wanatengeneza samaki wa kufika tu na kuweka kwenye chungu.
Sasa si ukae nae siku moja umfundishe badala ya kuendelea kulaumu

Wengine tunajua cz tulifundishwa kuandaa nyumbani tukiwa wadogo
Ukute ye hakupata hio fursa
 
Back
Top Bottom