Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Yaani mimi naandikaga bajeti ya chakula mwezi mzima, malipo ya dada, king'amuzi, gas, umeme, matumizi ya dada kama pads mafuta matumizi ya watoto , hela ya saloon na lotion hela za kila week za mbogamboga na maziwa.
On top of that ninaomba pesa yangu binafsi ya matumizi kila mwezi, nikitaka kutoa out na vijana anapewa mkeka wake.

Huwezi kumsikia akilalamika sababu ni majukumu yake kwetu.
Nami natimiza majukumu yangu kama mama.

On top of that house chores ananisadia hasa jumamosi tunapokuwa wote home lengo lake ni vijana wetu wajifunze kujihudumia kujipikia walau chai ĺna waweze kujihudumia, usafi wa vyumbani mwao na miili yao.
[emoji15]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Si rafiki yako alikupa mkuu au?
Mbona kumletea makasiriko dada wa watu na wakati maji ulipewa!?
Hukunywa maji nyumbani?[emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe na nyie mlikuwa mnaongea tu!
Ungeenda kuchukua.
Nikiona tena mwanaume analalamika ndoa humu, sitamlaumu au kumruhusu maana kama nyinyi ndo aina ya wanawake wanaooa wanatrajia nini?

Au labda mmeolewa na vi-babyboy mwanaume atumwe na mwanamke😲?mimi nikishakaa sebuleni kwangu hâta akitaka kunituma atajifikira sana. Nitafanya kazi yoyote ndani kwakupenda mwenyewe au kama mke wangu hawezi kutokana na sababu vivid kabisa, ila kutumwa haitatokea mpaka nirakapoingia kaburini.

Hivi haya mnayo-brag humu ,mlushuhudia hâta baba zenu wakifanyiwa na mama zenu?
 
Nyie mmejua kunichekesha,[emoji23][emoji23][emoji23]...sasa mmezidi Kaka zangu, Hadi kutumwa ni nongwa?
Mkija kwangu mtazimia, shemeji yenu mtamkuta anakanda ngano na akitoka hapo anaenda sokoni analeta Hadi pilipili...!
Acha kumzeesha ndugu yetu, kukanda chapati tena jamani...aagr, bora kupika nyama..roast..[emoji23]
 
Sema nimewaza kwa upana would you like to see this happening when you go to your sons house?[emoji28]

Hebu nipee jibu? Yani mwanao anatoka ofisini na kuja kupikishwa na mkewe mbele ya macho yako tena kibabe.
Atajijua mwenyewe ila nachotaka kusema kazi za ndani kama nafanya kazi ni lazima tusaidiane asee....usitarajie ntafanya mikazi yote daily we umeshikilia remote na simu uko jf[emoji848]

Back to my son...huyo mwanamke asimfanyishe hizo kazi mbele za watu au na mimi nisione maana ntampa vitasa huyo bitch[emoji57][emoji57]

NB
Haya mambo ya kusaidiana na mwanaume kazi ni btn me n my man hakuna kiumbe yeyote nje atashuhudia, wakija wageni of course siwezi mtuma mbele yao huo ni ukosefu wa heshima
 
Mahaba tu. Kama namkoleza afanyaje Baba wa watu. Hadi ndugu wakija kututembelea namzuia, wasije sema nimemlimbwata bure.
Wewe ni mpemba/mzanzibari?

Nikuulize, hivi kijana wako siku akiwa na nyumba yake akawa anafanya kukanda chapati na kupiga deki mbele yako na mkewe yupo utaona kawaida tu?

Be honest!
 
Atajijua mwenyewe ila nachotaka kusema kazi za ndani kama nafanya kazi ni lazima tusaidiane asee....usitarajie ntafanya mikazi yote daily we umeshikilia remote na simu uko jf[emoji848]

Back to my son...huyo mwanamke asimfanyishe hizo kazi mbele za watu au na mimi nisione maana ntampa vitasa huyo bitch[emoji57][emoji57]

NB
Haya mambo ya kusaidiana na mwanaume kazi ni btn me n my man hakuna kiumbe yeyote nje atashuhudia, wakija wageni of course siwezi mtuma mbele yao huo ni ukosefu wa heshima
Atleast una protect the Niggas Pride😅 and this is what is called respekt!

Huyo bitch anakusoma tu anamsubiri mwanao ajichanganye😂😂😂
 
Nikiona tena mwanaume analalamika ndoa humu, sitamlaumu au kumruhusu maana kama nyinyi ndo aina ya wanawake wanaooa wanatrajia nini?

Au labda mmeolewa na vi-babyboy mwanaume atumwe na mwanamke[emoji44]?mimi nikishakaa sebuleni kwangu hâta akitaka kunituma atajifikira sana. Nitafanya kazi yoyote ndani kwakupenda mwenyewe au kama mke wangu hawezi kutokana na sababu vivid kabisa, ila kutumwa haitatokea mpaka nirakapoingia kaburini.

Hivi haya mnayo-brag humu ,mlushuhudia hâta baba zenu wakifanyiwa na mama zenu?
Baba yangu hakuwahi kuishi kama mlemavu.
Nawashangaa watu humu mnaishi kama walemavu.
 
Tunataka mtupunguzie mzigo wa kazi kupita kiasi na msipime upendo kwa kigezo Cha kutufanyisha makazi ka punda wakati wote ni bread winner's wa familia
Upendo ni nini sasa kama nyie tu mnasema mwanaume kama hakusaidii au hakukei (hakupi hela/hahongi) hakupendi😅 wewe kama kunifulia na kunipikia na kunipa tunda hunipi ntajuaje unanipenda?
 
Back
Top Bottom