cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Niache tu mkuu kwani wewe ni oksigen yangu ukisema uniache nife jamani, staki stress za binadamu wenzangu mimiNanina kuacha tarehe 1st January 2022!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niache tu mkuu kwani wewe ni oksigen yangu ukisema uniache nife jamani, staki stress za binadamu wenzangu mimiNanina kuacha tarehe 1st January 2022!
Simfuatilii kabisa ila kwa sababu tunalea watoto pamoja kila mtu na mji wake na wakija wanakuja na dada yao wa kazi basi baadhi ya taarifa zinafika kote automatically ...nafikiri umenielewaWewe bado una mpenda mkeo Hadi unafatilia kuwa aliolewa na kuachika huko aliko bado una mpenda rudisheni mpira kwa kipa na muache ujeuri za kijinga na mambo ya ajabu mzeeke pamoja
inategemea na uliyopitia.....Hakuna maisha machungu kuliko ya kuvunjika ndoa.
Anyway, Mungu awatunze.
Sawa!Niache tu mkuu kwani wewe ni oksigen yangu ukisema uniache nife jamani, staki stress za binadamu wenzangu mimi
Eeeh kazi kweli kweliSimfuatilii kabisa ila kwa sababu tunalea watoto pamoja kila mtu na mji wake na wakija wanakuja na dada yao wa kazi basi baadhi ya taarifa zinafika kote automatically ...nafikiri umenielewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Niache tu mkuu kwani wewe ni oksigen yangu ukisema uniache nife jamani, staki stress za binadamu wenzangu mimi
Hakuna maisha machungu kuliko ya kuvunjika ndoa.
Anyway, Mungu awatunze.
Mimi wanawake wananielewa hapo nilishagawaweza,usije kuonekana mnyonge Kisa k,utalia kila siku.
Usiogope kuoa kwa sababu ya shuhuda za kuvunja moto za wanandoa walioshindwa,mimi leo nimetimiza miaka 18 kwenye ndoa na sijawahi kujuta kwa nini nilioa.Mapungufu kwa wanawake yapo hata kwa wanume yapo tena makubwa ila kwa sababu ya mfumo dume ya wanaume hayaonekani.sana
Huyu mwanamke alikutwa hana kitu..😷😷😷Yaani unampiga mkeo kisa hajapika au hajafua! Hivi sijui kwanini mnafananisha mwanamke anayetafuta pesa na anayeshinda nyumbani, mkae mkijua hawa ni wanawake wa aina mbili tofauti yaani hawatakaa wawe sawa, kama ambavyo mwanaume tajiri na mwanaume masikini hawako sawa kwenye hii dunia!
Mwanamke anayekusaidia wewe kutafuta pesa usitegemee ataweza kutimiza majukumu yake kikamilifu kama anavyofanya mama wa nyumbani, ninyi wenyewe si ndiyo mmetaka haya mambo ya kusaidiana maisha, kwa kukimbia majukumu yenu! Basi kama vipi oeni wanawake wasiosoma muwahudumie tu!
Tutafika tumechoka sana.Yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajipinda mtoto wa watu na mikazi yote,mwenzio ametulia tu anadhani wewe una mwili wa chuma usiochoka[emoji16]
Wanaume wanataka waishi kama walemavu[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kudeka tu. Watoto wakudekee bado na jitu zima lenye ndevu zake lideke. Ubebane na ndoo ya lita 20 kupeleka bafuni halafu baadae anakuja JF mke wangu siku hizi hanivutii kakomaa mikono. Hapo amesahau mikazi uliyokua anaifanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo mkuu vinyeo vya kuku wewe hulii??NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.
Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!
Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.
Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala
Kwahiyo mkuu vinyeo vya kuku wewe hulii??