Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

I totally agree with you.

Corporate jobs sio kama kufungua duka Kariakoo unaweza kumuacha kijana na ukaenda nyumbani kuanza kujipikilisha.

Kuna critical meetings ambazo huwezi kujua siku wala saa, kuna deadlines kuna mengi yasiyoelezeka.

Sasa huyo mwanaume kama sio gubu ni nini? Kama nguo zinaweza kutakata kwa kufuliwa na washing mashine kwanini alazimishe mwanamke apinde mgongo kufua nguo zake.

Kama kunaweza kuwa na domestic assistant wa kusaidia kusugua masufuria then why the hell not!

Ndo maana sometimes tunaambiwa tujiangalie katika equality lakini watu wanakuja kuelewa vibaya.

Mwanamme aliekatika same setting ni rahisi kuelewa kuliko dereva wa daladala na ma ovaroli yake.
Usiolewe ,

Endapo utaolewa kutumiza majukimu yako ni lazima sio ombi wala haina mjadala
 
Usiolewe ,

Endapo utaolewa kutumiza majukimu yako ni lazima sio ombi wala haina mjadala
Unafikiri tunakataa basi wala hatukatai! Ila tu ukubali kuwa hutokaa uione hata mia yangu na nikihitaji pesa lazima unipe na kila kitu kinachonihusu mimi watoto pamoja na nyumba utagharamia wewe bila kuulizia mshahara wangu napeleka wapi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Si rafiki yako alikupa mkuu au?
Mbona kumletea makasiriko dada wa watu na wakati maji ulipewa!?
Hukunywa maji nyumbani?[emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe na nyie mlikuwa mnaongea tu!
Ungeenda kuchukua.
Shwaini mmoja😅 happy new year
 
Kuna siku baba yangu alikuwa anapika,
Tunatoka safari na mama tunakuta mzee ashatengeneza mambo.

Akibaki nyumbani na wengine hampo basi mtakuta kila kitu ashaweka sawa.
Na alikuwa msafi sana mzee wangu akifanya kitu utapenda.



Hakuwa anapiga deki lakini alikuwa akifanya usafi wa nje ya nyumba.
Mama anapika,baba anafanya usafi nje na kukamua maziwa ya chai,mtoto anapiga deki.
Kwahio unalazimisha na sie ma chief tuwe kama baba yako?
 
Wasukuma wana hizi tabia.
Kuna huyo dada yangu mmoja ameolewa na msukuma aisee nadhani siku ya mwisho atatunukiwa taji ya ushindi yule dada.

Hataki mtoto wa kiume aguse jikoni na ana wa kiume tu.
Ndiyo baadaye mitoto itaanza kuishi kama milemavu.
Huyo jamaa ni mwamba😅 na kimsingi ndio inavyotakiwa. Mtoto wa kiume kukaa kaa jikoni ni umama.
 
Mama mkwe tumekaa naye yule bibi mwaka mzima,na kazi zote anafanyiwa bila kinyongo maana ni mdhaifu na upendo ulitamalaki.
Uzuri anajua kuappreciate kila anachofanyiwa na ni mcheshi mno anapendeka.
Hadi alipoondoka haachi kuuliza binti yangu hajambo,nimemmiss hivi na hivi.

Watu tu baki,dada wa mbali ndio wana huo ulemavu.



Nina dada yangu aisee ana mama mkwe wake wanapendana hatari.
Yule mama anafanya kazi hadi unamwambia acha.
Ashazoea kwake hakai idle bila kazi..basi popote atakapoenda ni kupiga kazi tu.


Mama yangu mwenyewe mzazi anafanya kazi hata aende wapi.
Tena bila kuambiwa.
Nadhani nahitaji mama mkwe aina hizi.
Ila cha ajabu mama yako ana binti mvivu ambaye hata kutumwa glasi ya maji na mumewe anajionea kero 😅
 
Kumbe malalamiko yoote na kuwaponda waliosoma kumbe bado mnawataka haohao
Hamtaki wasiosoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani mnawadis wasomi ila mnawakubali kiaina.
Kweli mti wenye matunda hupigwa mawe.
Wapo waliosoma wakaelimika na wapo waliosoma kukamilisha ratiba. Walioelimika wanaheshimu values zao katika jamii ila wakamilisha ratiba bado elimu haijawakomboa na ndio hawa ambao they misuse their brains na kutaka kuweka ligi na men!
 
Unafikiri tunakataa basi wala hatukatai! Ila tu ukubali kuwa hutokaa uione hata mia yangu na nikihitaji pesa lazima unipe na kila kitu kinachonihusu mimi watoto pamoja na nyumba utagharamia wewe bila kuulizia mshahara wangu napeleka wapi!
Kwa huu muandiko Hakuna mwanamke hapa.


Nyie Ni wa kupiga Mambo na kuwa dumped
 
Hamna watu watakupa stress kama ambao hawako daraja moja na wewe. Yaan complex inferiority yaweza ua mahusiano yenu. Mmoja wenu akiwa kasoma mwingine hajasoma mbona mmeishaa[emoji28][emoji23][emoji23] utasikia unanidharau kisa sijasoma eh? Kuna kaka mmoja ananikeraga balaaa. Ananitongozaga weee... ana darasa la saba tu. Kazi yake tu siyo guaranteed japo siyo ishu. Ishu ni kunitumia bible verses kunishawishi na kuniambia nisijali kwakua hana elimu. Mara usinidharau kwa kutokua na elimu tutafika. Yaan nakerekwaaa... mtu haelewi maana elimu wala haina uhusiano kbs. Baba zetu ni la saba ya mkoloni ila walaaaa... sasa la saba yao weeee[emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Huyo bwege anataka apple hilo amenye😅 japo elimu hana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I'm not a naive but that's the naked truth my dear. Uneducated kazi yao kubwa ni kushinda na midela, undawea na mikanga. But educated ones wanavaa bikini, nguo nzuri zinazoshawishi.

Muelewe huyo jamaa....Miss Pablo. You never know. And hope he will be a nice husband.
Wao power kubwa huwa wanaipata kupitia ushirikina😅 thats the only way anaona atakumiliki. Hilo ndio baya kuhusu un educated guys
 
Hahahaha u are very naive jamaa yangu[emoji23][emoji23] nimechekaaaa

Sasa muone huyu la saba b. Na hapo ana watoto watatu kila mmoja na mamake na na hela bado hana na kila muda anajihami kwnagu juu ya elimu na pesa. Ukatoke jasho udangwe halaf wakishapataga pesa hawa wanabadilika balaa. Ni mwendo wa kuchapwa matukio tu[emoji23][emoji23][emoji119]View attachment 2040119View attachment 2040120View attachment 2040121

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mjuba kama Mjuba aaniii😅
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah halafu huwa nashangaa.

Ukikaa na mwanaume ukimuuliza atakwambia hataki mwanamke mlevi kupindukia,ila ndio wanaokesha nao kunywa.
Wanawake wanaokunywa wana vibe lake flani amazing sana yani😅 si sawa na wanywa juisi wale ambao wamepooza sana!
 
Back
Top Bottom