Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Usiolewe ,I totally agree with you.
Corporate jobs sio kama kufungua duka Kariakoo unaweza kumuacha kijana na ukaenda nyumbani kuanza kujipikilisha.
Kuna critical meetings ambazo huwezi kujua siku wala saa, kuna deadlines kuna mengi yasiyoelezeka.
Sasa huyo mwanaume kama sio gubu ni nini? Kama nguo zinaweza kutakata kwa kufuliwa na washing mashine kwanini alazimishe mwanamke apinde mgongo kufua nguo zake.
Kama kunaweza kuwa na domestic assistant wa kusaidia kusugua masufuria then why the hell not!
Ndo maana sometimes tunaambiwa tujiangalie katika equality lakini watu wanakuja kuelewa vibaya.
Mwanamme aliekatika same setting ni rahisi kuelewa kuliko dereva wa daladala na ma ovaroli yake.
Endapo utaolewa kutumiza majukimu yako ni lazima sio ombi wala haina mjadala