Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Nimemaanisha vipi kama mwanamke hajisikii kula kwa muda huo? Wewe si ukafunue tu mahotpot ukale?

Teh teh wanaume kuchepuka huwa mnachepuka hata wake zenu wawe malaika uzuri hilo huwa mnalisema wenyewe kwamba hakuna mwanaume rijali asiyechepuka hivyo wala hakuna jipya hapo! Na hiyo ndiyo sababu wanawake wanawafanyia yote haya walau mngekuwa hata mnajiheshimu tungewafikiria!

Halafu huwa nawashangaa sana yaani unamsifia mchepuko wako ambaye kwake unaenda mara moja moja hivyo hata kukupikia anakupikia mara moja moja na kukupa anakupa mara moja moja na bado hakusaidii chochote kiuchumi wewe ndiyo unamhonga na kumpeleka shopping! Then unamfananisha na mkeo ambaye anatakiwa akupikie kila siku akupe unyumba kila siku na bado pesa akusaidie kutoa!

Hebu jaribu kumtwika huyo mchepuko hayo majukumu ya mkeo uone kama naye atabaki hapo! Dooh kumbe ndiyo maana wanawake wengi siku hizi hawataki kuolewa wanang'ang'ania waume za watu ili wawe michepuko tu maana wanajua michepuko inakula good time sawa na au pengine hata zaidi ya hao wake wa ndoa!

Siku hizi tofauti kati ya mke na mchepuko ni pete na kubadilishwa jina tu kitu ambacho kwa wanawake wengine hiyo siyo issue tena kwao wanaona ni mzigo tu! Na tofauti nyingine ni kwamba mke ndiyo ana majukumu mengi kwa mwanaume kuliko mchepuko ila huduma wanapata sawa au mchepuko anapata zaidi dooh ndoa hizi!
Umemaliza kila kitu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teh wala sikulazimishi uamini! Watu tumeachwa sababu ya hizo case za kupigana na wanaume na wanaume wenyewe ni wale wa kanda ya ziwa mnaowaita wababe sembuse wewe mpare sijui mchaga wa wapi duuh hebu nikae kimya asee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiih.
 
Bwege ni yule anaekaa kimya hata mke akikosea anaona sawa, Mke anarudi asubuhi yeye usiku kucha alikua busy kubembeleza watoto!!!

Binafsi hapana aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na ugumu wa ndoa tokea enzi na enzi watu hatutaacha kuoa na wengine kuolewa.
Tutafuniana, tutapigana,wengine wataumizana na kuuana lakini ndoa zinafungwa kila siku.
Wengine watalia walikosea kuoa na kuolewa lakini haita zuia ndoa.
Wengine watawanyanyasa wenzi wao lakini haitazuia.
 
Acheni kupangia watoto wenu maisha, kuna mtoto alimjibu baba yake bas njoo wee uwe mke, maana ulizidi ujinga lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi kumpangia maisha kama anajielewa ila kama atakuwa mjinga mjinga wa kukunishwa nazi baada ya kutoka standard chattered head office. Lazma niingilie kati
 
Pamoja na ugumu wa ndoa tokea enzi na enzi watu hatutaacha kuoa na wengine kuolewa.
Tutafuniana, tutapigana,wengine wataumizana na kuuana lakini ndoa zinafungwa kila siku.
Wengine watalia walikosea kuoa na kuolewa lakini haita zuia ndoa.
Wengine watawanyanyasa wenzi wao lakini haitazuia.
Hitimisho: Kupata ndoa bora ni suala la bahati nzuri tu.
 
Huna hoja, mie kama baba siwezi lalamika kutekeleza majukumu yangu ya msingi! Ni kama niwekee mgomo kutafta hela ya kulisha familia yangu na ya kulipa bill za utilties eti sababu mke wangu nawewe unaenda kazini kama mimi ni uzwazwa!

Nina uzoefu wa kuishi na mke tena mkorofi kuliko wewe😅 ndio maana nakuona chamdoli tu na mikwara yako ya kitoto! Hamna kitu ambacho mwanamke atafanya kiwe kigeni kwangu ila huwa nazingatiaga kumuweka katika nafasi yake anatulia tulii
Extrovert bhana hivi ni kadhia gani ambazo wewe unakutana nazo kazini ambazo mke wako hakutani nazo! Kama ni kufokewa na boss kama mtoto mdogo naye anafokewa kama ni kubakiza viporo vya kazi ili akamalizie nyumbani naye anabakiza naye ana stress za kazi kama zote yaani!

Sasa kinachofanya mwanamke awe na muda wa ziada kufanya na majukumu ya nyumbani ambao wewe huo muda unasema huna ni kipi hasa? Yaani mnatoka wote asubuhi mnarudi wote usiku kuna kazi za kupika na kuosha vyombo zinawasubiria mnashindwa kuingia jikoni huyu akashika hiki huyu kile mshunghulikie huo msosi chap uive ili mle?

Bila shaka hata wewe hujakaa muda mrefu kwenye ndoa kiasi cha kugundua kuwa mwanamke anapohitaji msaada kutoka kwako lengo lake siyo kukukomoa kama unavyobwata hapa! Wewe kama unaona mkeo hafai kusaidiwa majukumu yake kwa kuita eti hizo ni kazi za kike sijui na upumbavu gani basi wewe hufai kuwa mume na tarajia lolote kutoka kwa huyo 'mkeo' unayempamba hapa siku zote muda ni mwalimu mzuri!
 
Siwezi kumpangia maisha kama anajielewa ila kama atakuwa mjinga mjinga wa kukunishwa nazi baada ya kutoka standard chattered head office. Lazma niingilie kati
Uingilie kati wee inakuhusu nn? Muachee mwanao na ndoa yake, ndo nyie mnafanya watoto wenu wanaishi kwa kuigiza. Lol
Nasema tena huyo mtoto wako akifata matakwa yako ktk mambo yake binafsi, bas ni hatoshi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna vitu utakuta humu tunasema ila kiuhalisia hatuko hivyo!!!

Binafsi Mume wangu maji ya kunywa nampa na Chakula namtengea na ikiwezekana akiwa anakula nakaa pembeni nampa kampani ya story!!!

Mimi ninachokataa nimetoka kazini nianze sijui kupika hapo atasubiri sana
Kikubwa uhai tu😅 najua mnakuwaga wakarimu ila humu changamsha genge kila demu anajifanya kamanda
 
Uingilie kati wee inakuhusu nn? Muachee mwanao na ndoa yake, ndo nyie mnafanya watoto wenu wanaishi kwa kuigiza. Lol
Nasema tena huyo mtoto wako akifata matakwa yako ktk mambo yake binafsi, bas ni hatoshi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah hatoshi sio😅anatosha sana tu
 
Back
Top Bottom