Busara Kali
Member
- Jan 7, 2021
- 59
- 78
Leta kisa chakoSisi tuliokosea kuolewa tunacomment wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta kisa chakoSisi tuliokosea kuolewa tunacomment wapi?
Yaan lol.Ni kujisahaulisha tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa Nkamu....kama unatingwa Nkamu atafutwe tu mdada[emoji3]
Maana mimi ni yule mama wa Kinyakyusa nimekuja namkuta mwanangu anaosha vyombo halafu mke umekaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]patachimbika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitaandamwa ukoo mzima[emoji16][emoji23].
Japo kusaidiwa kazi na housegirl hainogi...inanoga na mume[emoji2960]
Wanyakyusa kwa majungu😀🙌Si unatujua lakini[emoji23][emoji23][emoji23]
Duuu,Mzee unijua Hadi kisongo nimecheka sanaHahahahah yani we uninyuke mimi? Labda uniwashe moto ila sio man to man! Tutazika mda si mrefu na mie kwenda kisongo moja kwa moja
[emoji1][emoji1][emoji1]acha kabisaa!!!Nkamu [emoji3][emoji3][emoji3]
Huo muda anaosha vyombo wewe unakua unafanya nini?
Kuna sababu kadhaa za kwanini watu wanaoa au kuolewa..Hivi kwanza mnaoa ili iweje..??
Hapana kwa kweli! Hayo mahaba wasifanye mbele yangu![emoji1]siwi mnaafiki lazima kiumane!!Binamu wewe utakubali mwanao wa Kiume aoshe vyombo, apige deki, apike huku ameoa?
Sahihi mkuu,ujue muundo wanamna yakuendesha hyo ndoa ,mlitakiwa kuujua mapema kabisa either kwamazungumzo rasimi au kuona Tu niaiana gani yamtu unaenda kuingia nae Katika ndoa,ukweli ningumu kwamwanamke mhangaikaji/au mwajiriwa anaeweza kuleta kipato home,atekeleze majukumu yaleyale kama wifemaid ningumu,mno,nikweli mwanamke aliyehome Tu masaa24,kufanya inshu zahapanapale nikawaidaMlizungumza jinsi ya kulea familia na mgawanyiko wa majuku kabla ya ndoa. Sababu u-busy wake haukuanza ndani ya ndoa.
Ndoa nyingi zina feli sababu watu wanashindwa kuwa na mazungumzo muhimu kabla ya ndoa.
Naomba mwenye deep education kuhusu chemistry ktk mapenzi au mahusiano inamaana gani haswa,naje nikweli chemistry inamatter Sana ktk mahusiano yakimapenzi au ndoa??msaada wanajamvi wenzangu,nnateseka nahiliKumbadilisha mtu mzima Ni kazi na swez kupoteza mda kufanya hvo.
Kwa nn nilazimishe kukaa na mtu ambae naona chemistry zinakataa.
Ms cariha hebu tuelezee kidogo kwann hii hutokea maranyingi,why ndoa Hufa as mwanamke anapoendelezwa either kibiashara/kielimu nammewe,kuna mifano halisia Sana kwawatu wetu,Ila alikuja kuzidi mahali ndio maana ndio ikawashinda kwa uzoefu wangu wanaume wanaoendelezewa kielimu au kibiashara ndoa zao hufa, a moment mke akipata kazi au hela humuona mume si chochote
Naomba kutambua MTU mwenye inferiority complex anakua nadalili zipi mkuu, au sifazipiThanks Kwa ku notice huyu bwana shida ilikuwa inferiority complex
Duuu,mbona mnatutisha mkuu,watoto utaleaje pekeyako mkuu,mfano unawatoto wakike utawafundishaje,juu Yamaisha YaoPole sana kwa yaliyoikukuta mkuu. Kiukweli ni changamoto sana kuishi na mwanamke mwenye kiburi na dharau.
Ila mkuu nawewe usingemshauri akasomee uanasheria kwa mustakabali wa ndoa yenu. Unaoaje mwanamke mwanasheria labda muwe kada moja ila kama ni tofauti hao watu ni much know sana.
Kwa ambae hujaoa nakushauri usioe kwani hakuna faida yoyote ya ndoa.
Mara nyingi sana honestly mtu akiwa na shida ana fake uhalisia na kujifanya mwema na upendo Ili atimiziwe haja yake ya kifeza na kimwili, na anakuwa pale kwa ajili ya shida na sio upendo wa kweli so akipata alichokitaka ndio huanza kuonyesha true color zake na wewe kukuona sio hadhi yake na mshamba, so ni vizuri kwa kweli mpendane kila mtu akiwa na kipato chake hapo ndio mtajua ana upendo wa kweli na sio kufata fedha au unafuu, ni heri ukutane na mtu yuko vizuri na hela zake na utamjua tabia yake kuliko maskini wa kipato na akili akipata fedha kwanza anakuwa limbukeni na hashikiki, kiukweli hii tabia ya kujifanya wapenda maskini eti umwendeleze lazima siku moja ulieMs cariha hebu tuelezee kidogo kwann hii hutokea maranyingi,why ndoa Hufa as mwanamke anapoendelezwa either kibiashara/kielimu nammewe,kuna mifano halisia Sana kwawatu wetu,
Naendelea kusisitiza kuomba elimu juu ya chemistry nisifa zipi zinafanya muwe machemistry inafanana,nakwann nikitu muhimu mno ktk maisha yamahusianoHapo kwenye bond na chemistry nmepaelewa aisee...unaweza kuwa na demu mkali had washkaj wanakuonea wivu ila ukawa huna bond nae na chemistry hakuna..ila ukawa na demu wa kawaida tu ila mka connect vibaya mno...yameshanitokea haya mambo
Someone who is insecure in every thing, hana jema yeye ni malaika anakosewa yeye tu, pia anaji feel less a man Kwa vile mwanamke ana vitu flani flani kiasi hata wakitofautiana yeye anaona mkewe kamdharau kisa kamzidi vitu flani, kumbe kutofautiana kupo tu, au wengine wanaamini forinstance mkewe kumfulia kwa mikono instead ya machine anaona ni dharau flani.Naomba kutambua MTU mwenye inferiority complex anakua nadalili zipi mkuu,au sifazipi