Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

🤣🤣😂😂😂
 
Niliwah kutoroka nikaenda kwa rafiki yangu kwao maisha ya kawaida wakanipa chakula niliharisha sitasahau Hadi nikapelekwa hospital usiku wazaz wa rafiki yangu wakakamatwa na urafiki wetu ukaishia hapo, nisamehe bwana Simon popote ulipo.
Aisee ulikula makande nini?
 
Ukitoka nje ya geti wanakushangaa? Wapi huko?

Siku hizi Hadi uswahilini kuna mageti mtaa mzima
Kuna watu wanakaa kwenye mageti ila wananjaa kali wanapiga miayo tu.

Sasa kwao kulikuwa pakishua,kwahyo akitoka watu wanashangaa jinsi katoto kakishua kanavyong'aa
 
Ulaya hakuna matajiri ila wananchi wa ulaya wana maisha mazuri wana uhakika wa kula, kulala na matibabu, na Elimu. Matajiri ni waarabu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Naunga hoja mheshimiwa
 
Unakuta ni BMW X5 ya 2009 halafu eti tunasema ni tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…