Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka mama yetu alitufanyia kusudi siku ya sikuu ya mwaka mpya hakupika pilau tukagoma kula ase [emoji23][emoji23][emoji23] mzee akaja akasema jioni msipike ugali wa mchana watakula usiku af wao wakawa wanakula matunda usiku [emoji23][emoji23][emoji23] maisha tuna toka mbali
🤣🤣😂😂😂
 
Niliwah kutoroka nikaenda kwa rafiki yangu kwao maisha ya kawaida wakanipa chakula niliharisha sitasahau Hadi nikapelekwa hospital usiku wazaz wa rafiki yangu wakakamatwa na urafiki wetu ukaishia hapo, nisamehe bwana Simon popote ulipo.
Aisee ulikula makande nini?
 
Ukitoka nje ya geti wanakushangaa? Wapi huko?

Siku hizi Hadi uswahilini kuna mageti mtaa mzima
Kuna watu wanakaa kwenye mageti ila wananjaa kali wanapiga miayo tu.

Sasa kwao kulikuwa pakishua,kwahyo akitoka watu wanashangaa jinsi katoto kakishua kanavyong'aa
 
Mkuu ni ukweli tunajidanganya bure, tunafanana wote tunatofautiana viwango tu navipaumbele tu, sioni tajiri hapo, bourgeoisie au lords kama kule ulaya.......we are just lupens nikijimwambafai, hamna mwenye babu wawili matajiri, ikipata kazi TRA ya 5m@monthly na rusha ya 4m anajiona tajiri kwasbb ana vigari viwili Ist na ka crown Pumbavu.
Ulaya hakuna matajiri ila wananchi wa ulaya wana maisha mazuri wana uhakika wa kula, kulala na matibabu, na Elimu. Matajiri ni waarabu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikae kimya coz JF ukitaka uonekane kua ni mkweli basi jitangaze kua unapitia magumu na upo kwenye dhiki,kila mtu atakuonea huruma na kukuombea dua kisha kukutia moyo, sijui pambana utatoka tu,

Ukisema kua una good life, utasikia acha uongo,mtu mwenyewe upo kwa Shemeji yako unagombania remote na watoto wa Dada yako.

😀 😀
Naunga hoja mheshimiwa
 
Maisha ya kishua ni yapi hapa bongo ya kuendesha hizi mitumba ya magari ya mjapani, au kuweka ligate la chuma la kusukuma, kuishi kwenye hizi nyumba zisio kua na Ac ndani, chakula chenyewe ndo nafaka hizi sembe Michele makande.....kusema ukweli sioni maisha ya ajabu hapa Tz, hapa TZ, Africa is the same na Africans are the same, isipo kua tunapishana tu mitizamo na vipao mbele, wote ni masikini tu but with varying degree of poverty, hamna mtu mwenye maisha ya kishua isipo kua ufisadi na showoff za kijinga.
Unakuta ni BMW X5 ya 2009 halafu eti tunasema ni tajiri
 
Back
Top Bottom