Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Bado lipo jikoni nduguhili suala lilifikia wapi????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado lipo jikoni nduguhili suala lilifikia wapi????
Nice, how did you find it mkuu,,,toa mrejesho wadau waendeNilitembelea hapo siku ya Pasaka.
Mwaka jana ilikuwa 250usdBudget ya hotel please?
Ila wadau vacation ni muhimu sana kuweka kichwa sawa.
Hata kama umepigika kiasi gani jitahidi kwenda vacation at mara moja kwa mwaka ukakae sehemu na familia hata siku mbili tatu. Inasaidia sana kutuliza kichwa na kuweka muunganiko wa familia.
Maisha mafupi haya tusiishie kuchangia harusi tu, tuweke na akiba kidogo kwenda vacation na familia hata mara moja kila mwaka. Kuna raha sana kukaa fukwe za bahari na familia zetu. Kubadilisha mazingira ya nyumbani na pia kula misosi tofauti na ya nyumbani.
Napenda vacation
Mbanda Mbili kwa Mama Zaituni🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tanga ndogoMbauda na Nyarugusu
Ingawa umeandika lugha gani sijui ila nimeelewa. Vacation zina gharama sana na zinataka maandalizi ya muda mrefu kwa mtu wa kipato cha kati. Mie nitaenda Zanzibar Desemba na familia huwezi amini nimeshaanza kuzichanga toka Januari na nimeshafikia half way kwa gharama za malazi hotel tuliyoichagua. Inakatika hela ya IST mojatatz wtzed weng wamekarir kuw kila mwny kwnd vacation ni ana uwez but for sur ishu ni kujipang 2
Ingawa umeandika lugha gani sijui ila nimeelewa. Vacation zina gharama sana na zinataka maandalizi ya muda mrefu kwa mtu wa kipato cha kati. Mie nitaenda Zanzibar Desemba na familia huwezi amini nimeshaanza kuzichanga toka Januari na nimeshafikia half way kwa gharama za malazi hotel tuliyoichagua. Inakatika hela ya IST moja
Tuombeane uzima
Tatizo ni kwamba mtu akipata kazi wiki ya pili baadae amempachika mimba mtoto wa watu, majukum yameanzia hapo. Akifikiria mshahara wa miez 2 dubai na mtoto ndio kwanza yupo tumboni kichwa kinaumaKama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Dareda
Dongobeshi
Tumati
Endamilayi
Ikola
Mpanda mjini mtaa wa Simba + Fisi
Inyonga
Uvinza ....hapa kunamakitu ya kisirisiri
EPLAS RECREATION CENTERWakuu ni msimu wa valentine, tusemezane kidogo wapi tutaenda kufurahi siku hii ya wapendanao
Ni kwa nini bei na gharama za huu utalii hazipo wazi zikajulikana kwa watu...Ila wadau vacation ni muhimu sana kuweka kichwa sawa.
Hata kama umepigika kiasi gani jitahidi kwenda vacation at mara moja kwa mwaka ukakae sehemu na familia hata siku mbili tatu. Inasaidia sana kutuliza kichwa na kuweka muunganiko wa familia.
Maisha mafupi haya tusiishie kuchangia harusi tu, tuweke na akiba kidogo kwenda vacation na familia hata mara moja kila mwaka. Kuna raha sana kukaa fukwe za bahari na familia zetu. Kubadilisha mazingira ya nyumbani na pia kula misosi tofauti na ya nyumbani.
Napenda vacation
Kabisa mkuu!! Naunga mkono hoja!!O Lushoto ni ulaya
My dream!! Huwa napenda Hali ya hewa yake!!ICELAND. Was nice vacation..