Sio kweli. Ukiwa na kichwa kigumu labda.sure usisahau na ile ya kufanyiwa assignments
Chuo kama
i) haugelezei wenzio kwenye pepa
ii) haufanyiwi assignment
iii) hauna mazoea na Leactures
iv) Huna wowowo/mzuri au hushawishi anybody 😸😸😸😸
tegemea kupata Lower second n pass otherwise inahitaj juhudi na msuli mkubwa sana kutoboa
Ila ni kweli.....me nakumbuka nilikua kampuni flani nafanya kazi kitengo kimoja na wenye GPA kubwa lakini mshahara wote tunalipwa sawa.Wewe ulipata 4.3, mimi nilipata 2.5! Tunafanya kazi moja na mshahara ni mmoja, una kipi cha kujivunia kunizidi kutokana na GPA yako?
Vichwa ngumu ndio nguvu inahitajika. Soma uelewe.nimekwambia a part na hayo mambo unahitaji nguvu zaidi ufaulu
soma uelewe sio unasoma u reply
eeh ww mwenye kichwa chepesi komaa bobVichwa ngumu ndio nguvu inahitajika. Soma uelewe.
Halafu kuna GPA za Cambridge na za jalalani. Mnajikutaga magenious balaa vijana wa jalalani (mna conservative mindset).Vile mnajipa matumaini.
Vile Inferior people wanapenda kujilinganisha na waliowazidi ili kujipa matumaini.
Kufanya kazi na wenye gpa za 4 hakukuondolei uhalisia wa vile kilaza ulikuwa.
Halafu kuna zile gpa za saut au Tumaini university halafu kuna gpa za Udsm au Muhimbili.
Serikalini kuna upuuzi mwingi sana. Unaweza usione kabsa tofauti ya form 4, certificate Diploma degree n.k. Serikalini hakuna kazi za kuumizwa kichwa hivyo mwenye kiherehere ndio huonekana mchapa kazi. Ukiwa umesoma sana na kuwa na ufaulu mzuri kuna muda unajiona "Useless" kabisa.
Sometimes maapuuza tusure usisahau na ile ya kufanyiwa assignments
Chuo kama
i) haugelezei wenzio kwenye pepa
ii) haufanyiwi assignment
iii) hauna mazoea na Leactures
iv) Huna wowowo/mzuri au hushawishi anybody [emoji75][emoji75][emoji75][emoji75]
tegemea kupata Lower second n pass otherwise inahitaj juhudi na msuli mkubwa sana kutoboa
@Meneja Wa Makampuni usijilinganishe na akina John kisomo mrembo , dunia haiko fairKiongozi una GPA ya ngapi?? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅sawa@Meneja Wa Makampuni usijilinganishe na akina John kisomo mrembo , dunia haiko fair
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kwenye test unapiga below mchawi anakuwa ni U.E hapo na U.E ukizungua imekula kwakoSometimes maapuuza tu
Mtu unasainiwa assignment hata kushiriki hushiriki kufanya kama ni ya group kama ni individual unasubiri mikeka na ukikosa mikeka unaenda stationary unajibanza wakisepa kwakua kazi ime kuwa saved unaenda mpa hela unamwambia itoe hii iliotoka kutolewa
Unafanyiwa quiz nyengine unazi miss wana wanakataa maana umezidi kuwafanya lofa
Kama PROf ni mtata au DEPARTMENt ya watu wasio na utani upo ghetto kitumbowazi unacheza fifa text inaingia oyaa wanahesabu namba au quiz mda huohuo unapanda pikipiki tu unafika umechelewa unajaza registration number tu maana bora hivyo kuliko kutokusanya
Utokei class unatuma registration number yako kwenye sms mwamba akujazie kwenye attendance sheet
Husomi hata ratiba za test unazisahau unasoma leo usiku kesho test au unasoma asubuhi unaanza kumuuliza wana kwenye simu oyaa PROf ame cover mpaka wapi
Hujui ratiba ya vipindi una kazi ya kuuliza tu baada ya hichi tuna kipindi gani kama kipindi ni saa nane saa nne ukitoka ndio hurudi tena mpka kesho
Wikiendi yako inaanzia Ijumaa kwa maana vipindi vya Ijumaa unaviua hutokei kabisa tukutane Jumatatu
Nitaendelea......
Bado amekuzidi.Wewe ulipata 4.3, mimi nilipata 2.5! Tunafanya kazi moja na mshahara ni mmoja, una kipi cha kujivunia kunizidi kutokana na GPA yako?
Kwenye CV si unaandika accademic qualifications?Huko Serikalini ndio wanaangalia GPA. Huko kwenye taasisi kubwa hawahitaji cheti chako wakati wa kuomba kazi, unaambiwa leta CV na motivation letter tu. Vyeti utavileta wakati umepata kazi
Halafu mtu anapata gpa ya 4 ya tumaini anataka kufanana na gpa ya 4 ya sua au udsm.Usisahau GPA za SUA kuwa kundi moja na UDSM ns MUHAS.
DaahhLower second ni vijana wa hovyo kabisa
[emoji1787]
2.1<>3.7 wako kundi moja3.8 ndio wanaunafu