WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Staile William wa Mtwara anatafuta mtu wa kubadilishana nae aliye Dar wilaya yoyote,aliye tayari atalipwa vzuri
 
Jaman idara ya msingi aliye Makete anataka kwenda Tabora tafadhari mwenzenu my wife yuko Nzega.
 
Staile William wa Mtwara anatafuta mtu wa kubadilishana nae aliye Dar wilaya yoyote,aliye tayari atalipwa vzuri! kwa mawasiliano piga 0688007371
 
Waungwana idara ya elimu ya msingi aliye Makete na anataman kwenda Tabora-Nzega tuwasiliane kwa namba 0757305672, msaada wenu ni mhmu ndugu zangu.
 
kuna mtu amepangiwa ualimu Grade A(shule ya msingi) Mkoa wa Pwani wilaya ya Rufiji anatafuta mtu aliepangiwa Arusha au maeneo ya karibu na Arusha ili wabadilishane nae.Tafadhali kama unamfahamu mtu aliepangiwa Arusha au karibu na Arusha na anataka kubadilishana ili aende Mkoawa Pwani basi tuwasiliane.Simu:0719232254
 
Nipo Singida municipal idara sekondari aliyetayar tubadilishane toka kibaha,chalinze,morogoro municipal 0754245636
 
Idara msingi aliye magu, ilemela au nyamagana, na unataka kwenda geita
tuwasiliane. 0766086636
 
niko newala (mtwara) secondary nataka kubadilishana na mtu kutika dar, au morogoro 0684224478
 
Dem wa rafiki yangu anatafuta mtu wa kubadilishana

yeye kapangiwa MAFIA yuko teyari kwenda kuishi MOSHI,TANGA,KIBAHA,MORO AU DAR.
 
Kuna mtu ana shida ya kuhamia Mwanza yupo Tanga mjini !!!!!

nipo tayari kuja Tanga kaka.Tafadhali nitumie mawasiliano ya huyo nduguyo ili tuanze kufanya mchakato.Mimi pia nipo hapa Mjini Nansio.
 
Ndugu zangu mimi ni mwalimu wa sekondari nipo Ukerewe Mwanza.Nahitaji kubadilishana na Mwalimu aliye mikoa ya Tanga,Pwani,Morogoro na Dar es salaam.Aliye tayari tuwasiliane 0757920263 na 0718073753.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…