Masele Joe
Member
- Sep 8, 2013
- 45
- 4
nimepata mtu wa kubadilishana nae nilianza process nikaandka barua kwenda kwa afisa elimu kaniambia haiwezekan bcoz mmejaza mkataba ko mpaka miaka 3, je! kuna watu wamefanikiwa kwel kuhama? na wamefanyeje had wamefanikiwa? naomba mwongozo plz cantact 0789624998
Mie ni mwalimu toka halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kutoka huku nilipo ili niende Mkoani Mtwara....wilaya ya Masasi mjini.
Njoo Kinondoni, mie nije Mtwara-Masasi
anaetaka ani pm.
anaetaka kuja kilosa, idara ya sekondari
Karibu wilaya ya Kasulu mkoa wa kigoma kwa mwalimu anayehitaji kuamia wilaya hii tuwasiliane kwa namba hizi 0714963829,0768183143 na 0786375069.KARIBUNI KASULU
Mwalimu njoo Bariadi mjini mkoA WA simiyu nije kasulu. Bariadi NI karibu name MWANZA. MUSOMA name shinyanga 0769109775