WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetaka maswa idara sec. kutoka mbeya, tukuyu, iringa na morogoro tuwasiliane 0765419096
 
Njoo wilaya ya kyela mkoa wa mbeya mimi nije wilaya ya kilindi mkoa wa tanga anayetaka tuwasiliane 0768049294. Idara ya elimu msingi
 
Niko mtwara wilaya ya newala, nataka mkoa wowote wa kaskazini na pembezoni, (arusha, kilimanjaro, manyara, tanga, singida, dodoma) 0687817171. Idara ya sec
 
Anayetaka kasulu mjin kutoka shinyanga mjin,kahama,geita mjin ARUMERU, na sengerema mjin tubadilishane,idara ya sec ni pm

Njoo shy Nindo(iselamagazi) npazuri,kwn we ni mcngi/sec mawacliano 2mia Bahebeb@gmail.com
 
mwalim yupo MBULU MANYARA anataka mwalim wa kubadilisha nae kituo cha kaz atoke DODOMA wilaya DODOMA MJIN, CHAMWINO au BAHI, idara ya secondary contact 0769695672
 
Njooo wilaya ya mufindi iringa nije songea mjini au wilaya ya mbinga mjin idara ya sec 0767734214
 
NJOO NGORONGORO nije MWANZA,KAHAMA,NZEGA,IGUNGA,MBEYA,IRINGA,GEITA,TABORA,BUNDA piga simu namba 0762770455
 
Natafuta mtu wa kubadilishana naye aje Urambo mimi niende Njombe, Iringa au Mbeya (Wilaya yoyote). Awe wa Idara ya Msingi....Kama upo tayari ni PM
 
nafundisha halimashauri ya wilaya ya mkuranga shule ya msingi, nahitaji mwl wa kubalishana naye anayetoka halmashaur ya mji kibaha au kibaha vijijini tafadhali tuwasiliane

Ingekuwa Mwanza ingekuwa fasta tu.
 
Njoo Newala Mtwara nije Dar,Moro mji,Dodoma mji,Kibaha mji au Bagamoyo...
Ni pm
 
mwl njoo shinyanga mjini shule ya old shinyanga mm nije hapo tanga,dar,moro au pwani
 
mwl njoo shinyanga mjini shule ya old shinyanga mimi nije hapo tanga/dar/pwani/moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…