Mwl Ezekia yupo BUKOMBE-GEITA idara msingi nataka kwenda IRINGA,NJOMBE,MOROGORO AU RUKWA na 075579122 au 0756231236
mi nipo tayari kuja geita lakini we mwl wa ngaz ip
kubadilishana kituo cha kazi mi nimepangiwa GEITA-GEITA nahitaji mtu aliyepangiwa SIMIYU BARIADI MJI aliye tayari tuwasiliane ni mwl. ngazi ya shahada
njoo mbeya vijijini nije dodoma au manyoni au mwanza jiji 0764118282 0652858586
Njoo geita nije mbeya,iringa,morogoro
Ww ni idara gan? Na huko mbea vjjn ni wilaya gani?njoo Kagera nikaribu na mwanza
tulia ww... pm kama 50000...
Hapana Kaka,nataka Kahama,
nitafutie wa kutoka kilwa idara ya msingi, mimi nje kilwa yeye aje geita- bukombe.