WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

njoo nzega idara ya sec ukitokea iringa wilaya yoyote,kibaha,songea manspaa, moro town, makambako, na mbeya jiji no 0752430195
 
njoo Serengeti-Mara;nije Mbeya jiji;pwani;morogoro manispaa;Dar;Geita;Mwanza.Contact 0787-350747;Idara ya Sekondari
 
Njoo kasulu nije wilaya yeyote nyanda za juu kusin, idara ya sekondar. Sitaki wale wanaojifanya wa TAMISEMI au kunifanyia mpango kwa ndugu yako. Nicheki kwa 0759167916 au 0715167916
 
Natafuta mwl.wa kubadilishana nae aje laela sumbawanga idara ya sekondary nije halmashauri. Yoyote ya mbeya
 
jaman kwa anaetaka kuja mwanza magu mie niende arusha arumeru au meru+arusha mjin msing
mawasiliano 0789296522
 
MIMI NIKO MAMLAKA YA MJI KOROGWE KTK IDARA YA ELIMU SEKONDAR.
MBADALA WANGU ATOKEE KAHAMA MJIN MPAKA MAENEO YA ISAKA(KAHAMA),NZEGA MJIN AU TBR MJIN.no yng ya cm 0755-106024 or 0788-290546
 
mimi nipo wilaya ya rombo tarakea mjini idara ya msingi nataka kuhamia moshi vijijini kwa aliye tayari tuwasiliane kwa private message
 
kuna mwl yupo shinyanga idara ya msingi anataka kuhamia moshi vijijini kwaaliye tayar ani pm
 
Mimi ni mwalimu wa secondari nipo kibondo kigoma naitaji kubadilishana na mtu wa dar es salaam
 
Nani ayashepu mazingira huko vijijini kama kila msomi anataka kukaa mjini? Tumeumbwa kuyashepu mazingira jamani. Wala sio mbaya kuhama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…