WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu idara ya msingi nipo Wilaya ya meru mkoa wa Arusha naomba kubadilshana na mwalimu aliye Wilaya za Iringa yaani Kilolo, Mufindi, Manispaa na Iringa vijijini.kwamawasiliano zaidi piga namba 0755543978
 
Mimi Mwl wa Nyatako high School-Bukoba natafuta Mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi,mwl aje bukoba mm niende Arusha(jiji,arumeru/meru,arusha dc au monduli) Au Mwanza(Nyamagana ,ilemela au Misungwi).MOB Na 0755 357462 / 0787 289647
 
Nataka nihamie IFAKARA MOROGORO kwa sasa nipo MUFINDI IRINGA idara MWALIMU MSINGI

MAWASILIANO email-(phileqaday@gmail.com)
 
nataka wa kuja hapa skonge tabora mimi nije iringa mjin au njombe au karatu arusha. idara sekondari 0757378561
 
Ndugu yangu ni mwalimu idara msingi, anayetaka kubadilishana naye, yeye yupo dodoma mjini na mwalimu toka dar es salaam(kinondoni, temeke au ilala).
 
nipo kasulu mjin idara ya sec wa bukombe,singida mjin, babati dodoma au korogwe tubadilishane
 
Nataka nihamie IFAKARA MOROGORO kwa sasa nipo MUFINDI IRINGA idara MWALIMU MSINGI

MAWASILIANO email-(phileqaday@gmail.com)

Njoo Arusha mimi nije mufindi au nisaidie kutafuta mtu anayehitaji kuja Arusha -meru mimi nije mufindi. Idara msingi Piga 0755543978 au email.eliazakaria45@gmail.com
 
Njoo moro goro aje mbeya idara ya Secondary check this no 0718369467 au ata uKija moro yeye aje iringa njombe makambako cyo mbaya no iyo iyo
 
njo halmashauri ya kigoma nami nije halmashauri ya singida mwalimu idara ya sekondari 0752409219
 
Njoo Tarime nije Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga wilaya yoyote. Npo Sirari 0752490349.
 
Njoo songea manispaa nije moro manispaa,mji kibaha au dar..0713715772,0787419289

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi wanaotaka kuja meatu -simiyu hamna naona mikoa mingine tu.
 
Mimi mwl idaara ya msingi nafundisha wilaya ya rombo tarakea mjini.nataka kuhamia moshi vijijini kwa aliye tayar tuwasiliane 0756530665
 
Mimi ni mwalim wa shule ya sekondari wilaya ya Manyoni.Naomba kwa yeyote atakayekuwa tayari kubadilishana vituo awe anatoka wilaya ya Mvomero tuwasiliane kwa kutumia namba hizi 0765940777,0684399496.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…