Watu WA Manyoni SINGIDA hamupataki kwenu?
Njooni Manyoni idala ya Secondary Mimi niende eidha MWANZA wilaya yoyote, Geita wilaya yoyote, Shinyanga manispaa, Musoma manispaa, kigoma manispaa, Bukoba manispaa, au Lushoto
idara gan?
kwa anaetaka kuja manyara mbulu,mm nije tabora mjin au katavi mpanda, idara sec.nichek 0783689788
Hivi wanaotaka kuja meatu -simiyu hamna naona mikoa mingine tu.
Natafuta Mwalm Wa Kubadilishana Kituo Yeye Aje Singda Mjini Na Mim Nije Sengerema Idara Ya Secondari, Mawasiliano Yangu 0764520372
INAKUHUSU,,,,,, mwalm njoo au sogea shy, mi nije mwanza (nyamagana,ilemela, misungwi au sengerema) idara ya msingi 0762600121
Songea shule gani upon sogea muheza tanga kama vipNatafuta Mtu Wa Kuja Songea Mimi Nije Mwanza Ususani Mwanza Jiji/ Ilemela Au Sengerema Idara Sekondar. Mawasiliano Yangu Ni 0756821163 Au 0788343508.
sigua gagaaaaaaasaaaaaNishachemka na kukata tamaa na hii mambo ya kubadilishana maana cpati mtu. Walimu wa SEKONDARI walopangwa Tanga hawataki kuja KIBITI-RUFIJI, haya kaeni nyie mfaidi lakini huko ni kwetu sie....
Njoo muheza tanga
kama unataka kuja mkoa tanga wilaya ya kilindi idara ya sekondari mimi nije halmashauri ya mtwara[m] nitafute 0786043373
njoo muheza nije b.moyonpo HALMASHAUR YA BAGAMOYO idara ya sec. Natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka HALMASHAUR YA MOSH. Kwa aliye tayar tuwacliane z0784035214
Njoo muheza tanga nije Songea 0764711735Njoo Songea Manispaa( Songea boys) Mimi nije Ilala au kinondoni Kwa mawasiliano 0715666424.